Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,273
- 2,488
Nguruwe wa kizimkaziviwanja vya mwalimu J.K.Nyerere Kilwa Road jijini Dar Es Salaam gentleman 🐒
Nguruwe wa kizimkaziviwanja vya mwalimu J.K.Nyerere Kilwa Road jijini Dar Es Salaam gentleman 🐒
Manguruwe ya Samia ni mapumbavu kichwani emptyI think hilo sio muhimu gentleman 🐒
Endeleeni kujiangalia kwenye hicho kioo,huku sisi tunapiga KAZI.Da
Dar ndio kioo cha nchi
Hauwezi ukaitwa @tlaahtlaah ukawa sawa upstairs,kama una bundle kidogo pitia hapa hii video fupi ujione ulivyo huna akilihali ni shwari sana,
mamia kwa maelfu ya wananchi wanaingia na kutoka kwenye viwanja hivyo vya maonyesho kwa amani kabisa.
In fact maonyesho hayo yataendelea hadi July 13, na kupunguza msongamano, ikiwa unaweza kuja kesho au kesho kutwa itapendeza zaidi but hali ni shwari sana kwasasa, ila msongamano ni mkubwa zaidi ukilinganisha na vipindi vingine kama hivi.🐒
Mikoa ya mtandaoni au mikoa ya wapi?Jaman mbna sioni mrejesho kuhusu mandamano. Huku mikoani tumechafukwa polisi wamekamata kadhaa wengne ndo hvyo tumekandwa na kurudi home
Ila mahudhurio ya watu ni hafifu. Kwa maneno marahisi maonyesho yamedoda.Hali ni shwali kabisa hapa 7/7
Ukisema hafifu unakosea, ni kwamba hakuna watuIla mahudhurio ya watu ni hafifu. Kwa maneno marahisi maonyesho yamedoda.
Kwenye mashindano ya AFCON mwakani mchezo utatakiwa uwe huu huu.MZAZI gani mpumbavu anaweza kutoka familia yake kwenda sabasaba? Hata daladala zenyewe hakuna barabarani....hii hasara ya mwaka huu kwenye haya maonesho serikali haitasahau
Kuwa mkweli chief, 7/7 haina watu.....nilikuwepo Jana watu walikuwa wengi wa kutosha, leo nipo hapa hakuna watu, kama Mtanzania nasikitika maana naona Taifa linaangamia kwa porojo za viongozi..........tuache hizi propaganda, tumeshadanganya sana hatujafanikiwa lolote, tujaribuni kusema ukweli labda utabadilisha mwelekeo wa Taifa letu.usivuruge na kuhamisha mjadala kwenye hoja yako mahususi sana mezani gentleman,
plz calm down, punguza mihemko.
I beg you plz gentleman 🐒
Ni kuipuuza tu hii minyumbu.Watu mnajua kutunga,kama dar wamefunga hivyo Kila mkoa wamefunga😂😂
In fact hata ninavyoreply comment yako niko viwanjani, umauti wa wananchi wanaoingia na kutoka kwenye maonyesho ni mkubwa pengine kuliko hata wakati uliopita licha ya kua kuna hali ya mawingu na mvua za hapa na pale.Kuwa mkweli chief, 7/7 haina watu.....nilikuwepo Jana watu walikuwa wengi wa kutosha, leo nipo hapa hakuna watu, kama Mtanzania nasikitika maana naona Taifa linaangamia kwa porojo za viongozi..........tuache hizi propaganda, tumeshadanganya sana hatujafanikiwa lolote, tujaribuni kusema ukweli labda utabadilisha mwelekeo wa Taifa letu.
😀Nguruwe wa kizimkazi
Hahahahaaa... people kwa uongo hazijambo Kwakweli.Jaman mbna sioni mrejesho kuhusu mandamano. Huku mikoani tumechafukwa polisi wamekamata kadhaa wengne ndo hvyo tumekandwa na kurudi home
haupo 7/7 weweIn fact hata ninavyoreply comment yako niko viwanjani, umauti wa wananchi wanaoingia na kutoka kwenye maonyesho ni mkubwa pengine kuliko hata wakati uliopita licha ya kua kuna hali ya mawingu na mvua za hapa na pale.
halafu kupo shwari sana,
na utaratibu wa kuingia na kutoka umerahisishwa na kuboreshwa sana.
Nadhani bila unafiki na propaganda za vibaraka na mamluki wa mabwenyenye ya magharibi,
Tuwe wakweli tu,
maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba kwa mwaka 2026 yamefanikiwa zaidi kuliko wakati mwingine wowote 🐒