Kwanza
Fixed Point niseme kwamba niliye naye hata sikufikiria mara mbili kumuuliza "will you marry me?" Maana hadi leo, 15yrs later (yes, you read that correct) sijawahi kujuta
Ila najiuliza what would have hapenned kama angekuwa "amechoka" na kuniuliza "utanioa lini"...ingewezekana nisiwe mimi niliye leo.
So, kwa sigle gals and searching, hii habari ya time limit kiafrika afrika haiapply sana,,,,,,, na by the way tunarudi kule kule kwenye kuwa wawazi mwanzo wa mahusiano kwamba status yenu ipi, malengo yenu yepi, nk,. ndoa itakuja tu automatikale
CC
Kongosho, (sijui Zombie kamfikisha wapi masikini)
snowhite gfsonwin Mtambuzi amu Paloma Filipo Kaunga Asprin MwanajamiiOne Mbu Mr Rocky Ablessed shansarie Heaven on earth