how to get the ring.

how to get the ring.

yaani, sijui nini kimeingia.......
sitaki kusema yaliyonitokea hapa maana watu watajua mimi ni nani. but it was fun, interesting...... mpaka leo nikikumbuka nabaki kutabasamu tu. kuulizia "utanioa lini?" mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!
Mmmmmmh kuuliza utanioa lini haiko sawa kabisa bora watafute mbinu nyingine kama vile kujua hatma ya mahusiano yenu. Huko nyuma mambo hayakua hivi twin wanawake tulikua wagumu na hata wakaka walikua wanajiheshimu sana . Akijua unajitunza walikua wanathamini sana hicho. Ngoja nikuchekeshe nimekulia eneo flani na palikua na purukushani nyingi mno . Nilipoolewa nikajikuta baada ya miaka 3 narudi kuishi eneo lile nililokulia maana ndiko alikonunua kipande cha kujenga kibanda mwenzangu. Basi tumekaa eneo hili kwa muda mrefu na familia yangu ina umaarufu flani kwa sababu ya huduma. Sasa huwa najiuliza ningekua najiachia kipindi cha usichana wangu ingekuwaje leo hii, Hivi si hata mume wangu angedharaulika manake ningekua nimepitiwa na watu kadhaaa. So ushauri wangu wadada wajitunze na wawe expensive kuwa kwao cheap sio assurance ya ring wengine ni play boys.
 
ninacho, ni swala la muda tu nitakisoma. niliangalia movie yake nikaipenda sana....
Naitafuta movie yake sijaiona . Sina maana nataka kununua hapana natafuta ya kuazima nimecheck youtube sijaiona ngoja nimuulize BAK kama anaweza kuipata site yoyote anipachikie .
 
Last edited by a moderator:

ha haaa, BAK mimi ndo nampaga link za kuwatch movie online, mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! !!!!!!!!!!
angalia kwenye link hii hapa
[video]http://watch32.com/movies-online/think-like-a-man-1145[/video]
 
Mmmmmmh kuuliza utanioa lini haiko sawa kabisa bora watafute mbinu nyingine kama vile kujua hatma ya mahusiano yenu. Huko nyuma mambo hayakua hivi twin wanawake tulikua wagumu na hata wakaka walikua wanajiheshimu sana . Akijua unajitunza walikua wanathamini sana hicho. Ngoja nikuchekeshe nimekulia eneo flani na palikua na purukushani nyingi mno . Nilipoolewa nikajikuta baada ya miaka 3 narudi kuishi eneo lile nililokulia maana ndiko alikonunua kipande cha kujenga kibanda mwenzangu. Basi tumekaa eneo hili kwa muda mrefu na familia yangu ina umaarufu flani kwa sababu ya huduma. Sasa huwa najiuliza ningekua najiachia kipindi cha usichana wangu ingekuwaje leo hii, Hivi si hata mume wangu angedharaulika manake ningekua nimepitiwa na watu kadhaaa. So ushauri wangu wadada wajitunze na wawe expensive kuwa kwao cheap sio assurance ya ring wengine ni play boys.
Ni kweli kabisa twin, ni vizuri kuonekana expensive, siyo kwa kuchuna bali kwa wewe mwenyewe ulivyo
 
ha haaa, <b><a rel="nofollow" href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=1397" target="_blank">BAK</a></b> mimi ndo nampaga link za kuwatch movie online, mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! !!!!!!!!!!
angalia kwenye link hii hapa
[video]http://watch32.com/movies-online/think-like-a-man-1145[/video]
Hahahahahahahahahahaa yaani nimecheka ngoja aje approve hili. Asante yaani umenisaidia manake ni muda mrefu nakitafutaga mpaka nikakata tamaa si unajua wapenda vya bure tena.
 
Nakipenda sana hicho kitabu,kiko realistic..
Na kuhusu setting a timeline,nadhani its best uangalie mlipotoka na mnakoelekea before making that decision maana nadhani miaka ya nyuma dating was strictly prohibitted na sasa its strictly advised so times have changed.
Ila uchumba sugu ni janga la taifa na ndio hapo timeline inakuja.
 
Ni kweli kabisa twin, ni vizuri kuonekana expensive, siyo kwa kuchuna bali kwa wewe mwenyewe ulivyo
Nakumbuka kuna mdada alianza urafiki na kaka flani basi ilikua siku ya kwanza kukutana . Aliniambia mengi mazuri juu ya kaka yule nikamuuliza je umejiachia akasema eeeeeh manake anaonyesha kunipenda. Nikasikitika sana yaani siku moja ushajua anakupenda ikabidi nigune kwa ndani na kwa nje nikaonyesha tabasamu tu. Uhusiano ule haukulast longer ulifika mwisho after few months .
 
Kitu kimoja ambacho sikielewi kwa wanawake ni "usikubali mwanaume asikuchezee"

Sielewi kabisa hii makitu.
 
......khe wewe?!!! Lizzy,
I missed you ujue?
Umepoteaaaa!....

Husninyo, nasikiza taarabu hapa "kuvishwa pete si kuolewa....!"

Sijui wenzangu mwaichukuliaje pete na maana yake, ila ukweli wa mambo hii taasisi ya uchumba na ndoa hauthaminiwi tena kwa uthamani unaostahiki kuthaminiwa!
Yani usingekuwa umenimiss haki ningerudi mafichoni Mbu. . lolz
Missed you too bana.

Siku hizi watu wanaona kupata zawadi, status na kuosha jina mjini ujue. Hayo mengine hayana maana kabisa, ndio maana kuna 'MARRIED SINGLES' kibao siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Nakipenda sana hicho kitabu,kiko realistic..
Na kuhusu setting a timeline,nadhani its best uangalie mlipotoka na mnakoelekea before making that decision maana nadhani miaka ya nyuma dating was strictly prohibitted na sasa its strictly advised so times have changed.
Ila uchumba sugu ni janga la taifa na ndio hapo timeline inakuja.
Kweli mpendwa ni janga humo humo kwenye uchumba mnakua mshafumaniana na kusameheana duuh. Sasa hapo ni muhimu sana uset standard zako .
 
hapo ndo tunapoambiwa sisi ni wa mwaka 47 na sasa ni karne ya 21, tumepitwa na wakati.........
lakini je mdada unajisikiaje unaishi kwenye ndoa ambayo umeilazimisha kuolewa? thamani yako?.....
hapo kwenye kutafuta free maid kuna topic nyingine ya kuijadili.... kwa nini huyo aliyekuoa kakuoa wewe? ni mapenzi au aliona unafaa kuwa maid kwa hiyo akuweke ndani?

Nadhani wanaona poa tu maana anachotaka ni ndoa tu. Haijalishi kaipata kwa kulazimisha, kutegesha mimba au kwa ndumba. Binafsi kwenye hili naona ni bora tuendelee kuwa 'OLD SCHOOL' ili tuendelee kujisikia ile raha ya kutakwa, kupendwa na kuhitajiwa. Sio mtu umeolewa siku mkikorofishana unarushiwa dongo "kwanza shukuru hiyo mimba..nisingekuoa wewe". Utajisikiaje kujua kwamba hukuwa chaguo lake kwasababu yoyote ile?! Inauma aisee, binafsi siwezi.

Hehehhe. .hiyo itabidi tuianzishie thread yake.
 
Kitu kimoja ambacho sikielewi kwa wanawake ni "usikubali mwanaume asikuchezee"

Sielewi kabisa hii makitu.

We babu nawe umezeeka sana. Kwani hujui kwamba mgegedaji ndio anaechezea and vice versa?!
 
Nadhani wanaona poa tu maana anachotaka ni ndoa tu. Haijalishi kaipata kwa kulazimisha, kutegesha mimba au kwa ndumba. Binafsi kwenye hili naona ni bora tuendelee kuwa 'OLD SCHOOL' ili tuendelee kujisikia ile raha ya kutakwa, kupendwa na kuhitajiwa. Sio mtu umeolewa siku mkikorofishana unarushiwa dongo "kwanza shukuru hiyo mimba..nisingekuoa wewe". Utajisikiaje kujua kwamba hukuwa chaguo lake kwasababu yoyote ile?! Inauma aisee, binafsi siwezi.

Hehehhe. .hiyo itabidi tuianzishie thread yake.
ndo maana nasema sisi "wa zamani" kuna ego ya uanamke.....
mimi ni mwanamke natakwa, natafutwa, nabembelezwa...... sijipeleki.....
na naona ni vizuri nikawa hivi hivi, nina amani.
kuna mtu aliambiwa "nilitaka kumuoa fulani wewe tu ulinilazimisha sana......." huyo mdada mpaka leo anamwinda huyo fulani ingawa ni mke wa mtu na hana mpango na mumewe....
kama hutakiwi hutakiwi tu, kama unatakwa mbona hiyo siyo ngumu kabisa? yaani kabla hata hujajiuliza umeshaulizwa
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!! Mie movie shurti kwenye theatre banaaaa, pembeni una mihogo ya kukaanga na juice ya ukwaju 🙂 theatre imetapika kwa watu walivyojaa....nne za usiku 🙂🙂 kwenye hii link nimeangalia movie moja tu. Kuna raha yake ya kuangalia movie theatre ukilinganisha na online, na tofauti ni kubwa sana.

ha haaa, BAK mimi ndo nampaga link za kuwatch movie online, mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!! !!!!!!!!!!
angalia kwenye link hii hapa
[video]http://watch32.com/movies-online/think-like-a-man-1145[/video]
 
Hio ideology unaweza kuifata kama una haraka na ndoa na huna muda ya kupoteza kwa mfano umri umekwenda na unataka mwenza na unajua malengo yako, tu ijapokuwa inaweza kula kwako...
Kwa utandawazi wetu huu hakuna mtu atakaekubali kuwekewa time limit ya ndoa hapa naongelea kwa ujumla kwa wote walokuwa kwenye uhusiano...Hata hao wawestern wenyewe hawafanyi hivo mtu anapokuwa tayari kwa ndoa ana purpose kwa wakati wake!Inakuwa sio uhalisia wa mapenzi kwasababu kila kitu kinatakiwa kitendeke kwa wakati wake sio kwasababu fulani kasema kitu fulani..Ni sawa na kumwambia mtoto usipokuwa na adabu hutopata zawadi ya sikukuu its kind of childish right....
Ila kwa upande mwengine (positive side) hio time limit inaweza iwe kipimo cha kiasi gani mtu anakuhitaji na una umuhimu gani katika maisha yake.Kwasababu kama ana mapenzi ya dhati kwako hatukubali kukupoteza kirahisi bali atatekeleza hayo matakwa yako!!
 
Kwi kwi kwi kwi lol!!! Mie movie shurti kwenye theatre banaaaa, pembeni una mihogo ya kukaanga na juice ya ukwaju 🙂 theatre imetapika kwa watu walivyojaa....nne za usiku 🙂🙂 kwenye hii link nimeangalia movie moja tu. Kuna raha yake ya kuangalia movie theatre ukilinganisha na online, na tofauti ni kubwa sana.
Wakati mwingine kwenda huko ngumu rafiki hasa sisi tuliokua hatuioni nyota ya kijani . Manake walipokua wakitangaza nyota ya kijani hiyooo sisi tulikua tunaona za blue tu. Ila ni kweli kuna maraha yake ya kwenda hukooooo. Umenikumbusha mihogo ya kukaanga na juice ya ukwaju ngoja nkautafute nitengeneze. Huwa najiuliza kwanini chipsi dume ukinunua ina ladha kuliko ya kukaanga home???????
 
Hio ideology unaweza kuifata kama una haraka na ndoa na huna muda ya kupoteza kwa mfano umri umekwenda na unataka mwenza na unajua malengo yako, tu ijapokuwa inaweza kula kwako...
Kwa utandawazi wetu huu hakuna mtu atakaekubali kuwekewa time limit ya ndoa hapa naongelea kwa ujumla kwa wote walokuwa kwenye uhusiano...Hata hao wawestern wenyewe hawafanyi hivo mtu anapokuwa tayari kwa ndoa ana purpose kwa wakati wake!Inakuwa sio uhalisia wa mapenzi kwasababu kila kitu kinatakiwa kitendeke kwa wakati wake sio kwasababu fulani kasema kitu fulani..Ni sawa na kumwambia mtoto usipokuwa na adabu hutopata zawadi ya sikukuu its kind of childish right....
Ila kwa upande mwengine (positive side) hio time limit inaweza iwe kipimo cha kiasi gani mtu anakuhitaji na una umuhimu gani katika maisha yake.Kwasababu kama ana mapenzi ya dhati kwako hatukubali kukupoteza kirahisi bali atatekeleza hayo matakwa yako!!
Mkuu ina maana usubiri tu hata 5 yrs, then aje kuambiwa you are not wife material je huoni atakua kapoteza nafac nyingi za kumpata mr right. Nafikiri time limit unajiwekea wewe haumuelezi muhusika na wakati huo huo unamsoma mwenzako ukiona haelekei basi bora kusepa.
 
Kama mtu ana nia ya dhati nawe hatokusubirisha five years lazima somewhere in between litagusiwa suala la ndoa na kama ana mipango yake mingine utamjua pia dalili ya mvua ni mawingu!!
 
Back
Top Bottom