how to get the ring.

how to get the ring.

Husninyo

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2010
Posts
24,342
Reaction score
10,688
................. jana nilikuwa nachungulia kitabu cha steve harvey cha ACT LIKE A LADY THINK LIKE A MAN.ni kitabu kizuri sana ila sie wengine uvivu wa kusoma vitabu tunakosa mengi.

steve anasema wanaume wanajua kabisa kuwa wanawake wanataka ndoa. wanawake wanatakiwa kujiondoa katika mentality ya kizamani ya kusubiri mpaka mwanaume atangaze ndoa. tunatakiwa kuset timeline for the ring, mwambie mpenzi wako unachotaka na matarajio yako. haina maana kuwa katika mahusiano ambayo hayakupeleki kule unataka kwenda, kwa case hiyo tafuta mtu ambaye mna direction moja. wanawake wengi huwa wanashindwa kufunguka kwa wapenzi wao kuhusu ndoa vile wanaogopa au wanahisi ni vigumu lakini ni ngumu zaidi kudate na mtu mpaka mnazaa watoto na hana mpango wa ndoa (wakati wewe intention yako ni kuwin pete).

muoneshe mwanaume thamani yako na asikutumie kama vile amekodi nyumba mwisho wa siku akipata sehemu nzuri anahamia huko. set standards zako na angalia kama anafit huko.

"the
number one cause of failure in this country is the fear of failure.
Fear paralyzes you from taking action. Don’t be afraid to lose
him, because if a man truly loves you, he’s not going
anywhere"

tujadilini jamani, tuanze kuset timeline au twende na zama zetu za mwaka 47 za kusubiri kuambiwa.lol.

nawasilisha.
 
Nakubaliana nawe 100% yes! timeline is very important na inakuwa ngumu pale ambapo mwanamke unamawazo makubwa
alafu yeye anakufanya kama spear,ana mtu wake au anataraji kuoa mwingine.
kwakweli inauma sana maneno yako yamenigusa sana maana nimepitia huko bt this time am not doing the same mistake,
better stay single than being with a person anakupa majeraha.

by the way i love that man steve harvey sikosi kipindi chake kila siku FOX TV
 
FUNNY.jpg
 
Mkianza kuweka deadlines, sisi wanaume tutaanza kuchagua wale wanaoweka deadline iliyo mbali zaidi....teh teh teh!!!

Wakati mwingine acha mambo yawe kama yalivyo sawasawa na yapasavyo kuwa...
 
Nakubaliana nawe 100% yes! timeline is very important na inakuwa ngumu pale ambapo mwanamke unamawazo makubwa
alafu yeye anakufanya kama spear,ana mtu wake au anataraji kuoa mwingine.
kwakweli inauma sana maneno yako yamenigusa sana maana nimepitia huko bt this time am not doing the same mistake,
better stay single than being with a person anakupa majeraha.

mapenzi ya ajabu wewe, wakati huo wewe wamfanyia yale yote mema tena si ajabu huko anapopawaza na yeye amefanywa spear tu. kama kuwa single unakuwa happy basi hiyo ni best option.
 
Mkianza kuweka deadlines, sisi wanaume tutaanza kuchagua wale wanaoweka deadline iliyo mbali zaidi....teh teh teh!!!

Wakati mwingine acha mambo yawe kama yalivyo sawasawa na yapasavyo kuwa...

bila deadline utazeekea huko na matarajio yasitimie (kwa wenye nayo). vizuri kuelezana na mtu wako mjue ajue expectations zako na sio kubaki gizani.
 
Aisee Husninyo hii ishu ya kuolewa sijui kuvalishwa pete is not as simple as we all wish it was. It's more complex than that.

Yani unaweza ukaipata hiyo pete na isimaanishe kwamba UNATHAMINIWA, UNAPENDWA, UNAJALIWA n.k Mwenzio anaweza akawa anataka tu housemaid who can perfoms 'EXTRA DUTIES' whenever needed na asiyedai mshahara. Utafanya kazi kama slave, utazaa na kulea weeeee mpaka uso ukushuke wakati mwenzio ambae hajavikwa pete ndio anaekula goodtime. Stress zote za jamaa uta-deal nazo wewe, uchovu wake na matatizo yote ya kifedha na kiafya yatakuhusu wewe na pete yako kidoleni.

Nnachojaribu kusema ni kwamba watu wanaoa na kuolewa kwasababu za kila aina. Vile vile watu hawaoi na kuolewa kwasababu za kila aina. Unaweza ukawa na mtu asikuvishe pete lakini akawa anakuthamini, anakujali na kukupenda zaidi ya ambae anataka kukuvalisha pete kwasababu pete sio moyo useme ndo anakuwa amekukabidhi utembee nao. Pete ni kama mkufu tu, unaweza kuvalishwa ili utumike bila kuhisi/kuona unatumika.

Jambo la muhimu ni kuomba umpate atakaekuthamini with or without the ring. Usiweke thamani kubwa kwenye pete, weka thamani kubwa kwenye matendo yake na namna alivyokuweka kwenye maisha yake. Kama ana nia ya kukupa hiyo pete atakupa tu bila hata kuiulizia au hata kuitaka. Besides, kuiomba kunapunguza ile hisia ya wewe mwanamke kuombwa uwe mke wa fulani. Acha yeye mwenyewe akupe, mwenyewe aonyeshe nia ya kukuoa usije ukawa unalazimisha.

Ila kama mtu anataka pete alimradi pete . .mwambie tu "Ebwana ehhhh..mi nshachoka kuvaa na kuonyesha 'cocktail ring' tu kila siku..nataka na ya ndoa sasa, tusichoshane bila kuweka alama kidoleni".
 
Last edited by a moderator:
mapenzi ya ajabu wewe, wakati huo wewe wamfanyia yale yote mema tena si ajabu huko anapopawaza na yeye amefanywa spear tu. kama kuwa single unakuwa happy basi hiyo ni best option.
kusema kweli kuwa single ni stress zaidi unakuwa mpweke sana ila ni afadhali kuliko kuwa na mtu pasua kichwa
kama vipi u give it a try, but in a smart way ili usijejuta baadae
 
Aisee Husninyo hii ishu ya kuolewa sijui kuvalishwa pete is not as simple as we all wish it was. It's more complex than that.

Yani unaweza ukaipata hiyo pete na isimaanishe kwamba UNATHAMINIWA, UNAPENDWA, UNAJALIWA n.k Mwenzio anaweza akawa anataka tu housemaid who can perfoms 'EXTRA DUTIES' whenever needed na asiyedai mshahara. Utafanya kazi kama slave, utazaa na kulea weeeee mpaka uso ukushuke wakati mwenzio ambae hajavikwa pete ndio anaekula goodtime. Stress zote za jamaa uta-deal nazo wewe, uchovu wake na matatizo yote ya kifedha na kiafya yatakuhusu wewe na pete yako kidoleni.

Nnachojaribu kusema ni kwamba watu wanaoa na kuolewa kwasababu za kila aina. Vile vile watu hawaoi na kuolewa kwasababu za kila aina. Unaweza ukawa na mtu asikuvishe pete lakini akawa anakuthamini, anakujali na kukupenda zaidi ya ambae anataka kukuvalisha pete kwasababu pete sio moyo useme ndo anakuwa amekukabidhi utembee nao. Pete ni kama mkufu tu, unaweza kuvalishwa ili utumike bila kuhisi/kuona unatumika.

Jambo la muhimu ni kuomba umpate atakaekuthamini with or without the ring. Usiweke thamani kubwa kwenye pete, weka thamani kubwa kwenye matendo yake na namna alivyokuweka kwenye maisha yake. Kama ana nia ya kukupa hiyo pete atakupa tu bila hata kuiulizia au hata kuitaka. Kuiomba kunapunguza ile hisia ya wewe mwanamke kuombwa uwe mke wa fulani. Acha yeye mwenyewe akupe, mwenyewe aonyeshe nia ya kukuoa usije ukawa unalazimisha.

Ila kama mtu anataka pete alimradi pete . .mwambie tu "Ebwana ehhhh..mi nshachoka kuvaa na kuonyesha 'cocktail ring' tu kila siku..nataka na ya ndoa sasa, tusichoshane bila kuweka alama kidoleni".

kwanza karibu tenaaaaa jf! ni kweli ulisemalo lizzy, unaweza kula bata bila hiyo plate number (pete), lakini hapa nimegusa zaidi wale wenye matarajio ya kuolewa na wenzi wao na wapo kwenye relationship muda mrefu huku hamu na shauku ya ndoa inawashika wakati wenzao hawana habari. watu hao ndio wanapaswa kuset timeline na kama vipi wachape lapa wakiona hakuna dalili za cheleko. ujue kuna ambao wanahisi furaha yao itakamilika after ndoa so ni vizuri wanaodate nao wajue hilo. wanaweza wakafika miaka 50 wanasubiri tu wakati wangeweza pata wenzi wa kuwaoa.
 
Last edited by a moderator:
bila deadline utazeekea huko na matarajio yasitimie (kwa wenye nayo). vizuri kuelezana na mtu wako mjue ajue expectations zako na sio kubaki gizani.

Shemeji...nimeandika kimasikhara ila hivyo ndivyo wanaume wanavyowaza....
 
kusema kweli kuwa single ni stress zaidi unakuwa mpweke sana ila ni afadhali kuliko kuwa na mtu pasua kichwa
kama vipi u give it a try, but in a smart way ili usijejuta baadae

maisha ni vile unataka yawe, ukiamua kujinyima nyima furaha hata mungu akupe nini hutofurahia. furaha yako ipo ndani yako usitarajie mtu akupe furaha maisha haya.
 
Aisee Husninyo hii ishu ya kuolewa sijui kuvalishwa pete is not as simple as we all wish it was. It's more complex than that.

Yani unaweza ukaipata hiyo pete na isimaanishe kwamba UNATHAMINIWA, UNAPENDWA, UNAJALIWA n.k Mwenzio anaweza akawa anataka tu housemaid who can perfoms 'EXTRA DUTIES' whenever needed na asiyedai mshahara. Utafanya kazi kama slave, utazaa na kulea weeeee mpaka uso ukushuke wakati mwenzio ambae hajavikwa pete ndio anaekula goodtime. Stress zote za jamaa uta-deal nazo wewe, uchovu wake na matatizo yote ya kifedha na kiafya yatakuhusu wewe na pete yako kidoleni.

Nnachojaribu kusema ni kwamba watu wanaoa na kuolewa kwasababu za kila aina. Vile vile watu hawaoi na kuolewa kwasababu za kila aina. Unaweza ukawa na mtu asikuvishe pete lakini akawa anakuthamini, anakujali na kukupenda zaidi ya ambae anataka kukuvalisha pete kwasababu pete sio moyo useme ndo anakuwa amekukabidhi utembee nao. Pete ni kama mkufu tu, unaweza kuvalishwa ili utumike bila kuhisi/kuona unatumika.

Jambo la muhimu ni kuomba umpate atakaekuthamini with or without the ring. Usiweke thamani kubwa kwenye pete, weka thamani kubwa kwenye matendo yake na namna alivyokuweka kwenye maisha yake. Kama ana nia ya kukupa hiyo pete atakupa tu bila hata kuiulizia au hata kuitaka. Besides, kuiomba kunapunguza ile hisia ya wewe mwanamke kuombwa uwe mke wa fulani. Acha yeye mwenyewe akupe, mwenyewe aonyeshe nia ya kukuoa usije ukawa unalazimisha.

Ila kama mtu anataka pete alimradi pete . .mwambie tu "Ebwana ehhhh..mi nshachoka kuvaa na kuonyesha 'cocktail ring' tu kila siku..nataka na ya ndoa sasa, tusichoshane bila kuweka alama kidoleni".

kula BIG LIKE MKUU from the bottom of my heart.
Jaman kiuhalisia pete is nothing kama hamna mapenz ya dhat yadhihirikayo kimatendo.
 
nimekupendaje dia mi kuna ambaye namfahamu anapete ni mwaka wa 7sasa na hajaolewa kweli pete mapambo tu
kama anakupenda na anaona umuhimu wako basi atafata taratibu zinazotakiwa kufuatwa na ataonyesha anakuthamini.
cha muhimu jamani tuwe smart ktk haya mahusiano ukijibweteka sana ukajitoa mZimamzima with no favour in return tuna create makofu yasiofutika
 
Last edited by a moderator:
Lizzy karibu sana na mada hii ni nzuri sana kama tunapata mawazo kama yako Husninyo hiyo issue ya time line ni majanga kwa kweli yaani bora tuu tuendelee na utaratibu huu huu ambao najipanga kivyangu kukuvisha hiyo pete ila ukiniwekea hizo time line zako kwa kweli nitakuvisha na itakaa kidoleni mwako mpaka iote sugu na ndoa hutaiona
Tukubaliane na tuwe na msimamo wa pamoja na uangalie na muda wangu mimi je niko tayari au unanilazimisha maana kuna wakati inafika unakuwa huna ujanja lazima ndoa iwepo ila kama muda wangu bado nataka kula good time na wewe unaleta za kwako kuwa muda wako wa pete umefika au muda wa ndoa kwa kweli utaingia kusiko kabisa
 
Last edited by a moderator:
wapenzi Mr Rocky, shansarie na wengine hapo pete nimemaanisha ndoa jamani. so tujadilini namna ya kuwin hizo ndoa kama tumute mpaka kieleweke au tufunguke kwa hivi vijeba vyetu. lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom