KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,828
- 12,321
Naomba kujua ka kwenye harusi ya Kana kulikua na ring. Hizi nyingine ni mbwembwe tu.
hahahaha, umeona eeeeh. ujue mpwa wako siogopi? sijui makofidensi gani nimepewa mie. lol
yaani nimeipenda comment yako maana naona sasa umeweza kuyatazama mahusiano kwa jicho la tatu. safi sana, najua usharuhusu moyo wako kupenda tena. lol
Kongosho , kama huyo mtu akiona ameridhika na anatamani kabisa kuwa kwa muda wake wa kuishi uliosalia anataka kuwa nawe basi akuulize kukuoa. na kama ilivyo huwa inatakiwa liwe swali, akuulize kama unapenda kuwa naye katika maisha yenu yaliyosalia, mwanamke pia anaweza akakubali au kukataa kulingana na jinsi ambavyo anaona anamuhitaji huyo mtu.
mambo ya kuulizana utanioa lini? au mbona hueleweki/h
yaani kongosho wewe ndio umenielewa haswaaaa nilipopataka. timeline kama mahusiano yenu mnaona yanaenda vema na hakuna kizuizi chochote cha kuelekea kwenye ndoa, mnapooana mnaweza kujiachia zaidi na kufanyiana mazuri zaidi. kama upo kwenye mahusiano ambayo kila siku ugomvi, unadate na mke/mume/mpenzi wa mtu mjue timeline haiwahusuu.
Kongosho yupo sahihi kabisa, siyo kila mahusiano ni ya kuyadaia pete....
kwa upande wangu (ingawa inawezekana kabisa mimi siyo mfano mzuri sana) pete inatakiwa ije tu, kama huyo mtu akiona ameridhika na anatamani kabisa kuwa kwa muda wake wa kuishi uliosalia anataka kuwa nawe basi akuulize kukuoa. na kama ilivyo huwa inatakiwa liwe swali, akuulize kama unapenda kuwa naye katika maisha yenu yaliyosalia, mwanamke pia anaweza akakubali au kukataa kulingana na jinsi ambavyo anaona anamuhitaji huyo mtu.
mambo ya kuulizana utanioa lini? au mbona hueleweki/husomeki....... ndo yanazuaga yale ya kutosana au kuoana mkaishia majutoni
Umeanza.......
Si nilikuambia mimi Padri......????????......lol!!!!!!!
Kuogopa kufanya jambo kwasababu ya jana ni utoto!!!!!
ha haaa, yaani unadhani huyo mwanaume anataka hiyo ndoa na anashindwa kukuuliza? kama hakuulizi ujue hayupo tayari na labda hana mpango wa wewe kuwa mkewe. Ni sawa unaweza kuuliza hatma ya mahusiano kama tu upo tayari kutoka, na siyo kuulizia pete.na hiyo ndio mentality ya kizamani aliyoongelea steve ya mwanamke kusubiri kuulizwa wakati ndoa waitaka wewe! mimi nahamasisha wanawake walio katika mahusiano ya muda mrefu na wenzi wao waanze kuulizia sio mpaka waulizwe wao
Nakubaliana na wewe hapa.
Lakini kuna watu kwa sababu ambazo sizijui wanaohifia kuingia ktika ndoa, labda historia ya familia zao? Labda majukumu(mtu hayuko stable kiuchumi)? Labda? Labda?
Mtu wa aina hii ukianza kumwekea timeline anaweza ondoka sababu ya hofu tu, si kwamba hakupendi, ila inakuwa kama umemtisha. Je, huoni ni bora kumwacha akakusanya mawazo yake na kuzikabili hofu zake kabla ya kuingia kwenye ndoa au wewe mwanamke kumpa presha za kuingia kwenye ndoa? Na sijui kwa nini wanawake ndio wanatakiwa waweke hii timeline.
Nina binamu yangualifunga ndoa ya kanisani, baada ya mwaka akaanza kulalamika hakuwa tayari kwa ndoa ile. Wamekaa kaa weee, akashindwa kabisa na kutoka kwenye ndoa. Kisa, mwanamke yule alimpelekesha haraka haraka wakaoana, suie tunamtania, kwani alikushikia bunduki kwenda kanisani?
Labda niulize, ni kweli wanamme wanaogopa/hawapendi kuoa?
Kama na wao wanapenda kuoa, kwa nini tuwalazimishe?
Ndo maana hapo juu niliweka kwenye mabano kuwa mimi siyo mfano mzuri sana....Kwanza Fixed Point niseme kwamba niliye naye hata sikufikiria mara mbili kumuuliza "will you marry me?" Maana hadi leo, 15yrs later (yes, you read that correct) sijawahi kujuta
Ila najiuliza what would have hapenned kama angekuwa "amechoka" na kuniuliza "utanioa lini"...ingewezekana nisiwe mimi niliye leo.
So, kwa sigle gals and searching, hii habari ya time limit kiafrika afrika haiapply sana,,,,,,, na by the way tunarudi kule kule kwenye kuwa wawazi mwanzo wa mahusiano kwamba status yenu ipi, malengo yenu yepi, nk,. ndoa itakuja tu automatikale
CC Kongosho, (sijui Zombie kamfikisha wapi masikini) snowhite gfsonwin Mtambuzi amu Paloma Filipo Kaunga Asprin MwanajamiiOne Mbu Mr Rocky Ablessed shansarie Heaven on earth
kwa hali hii ndo maana kila mwanaume anaepropose ndoa wanawake wengi huwa wanasema tu yes! sio kila mtu anafaa kuwa mume ! hakuna haja ya kujichosha ujue! ndo maana ndoa nyingi siku hizi chali...watu hata hawajui kwanini wanaolewa ujue! sijui harusi ..sijui kuonekana hata sijui ...Kuna jambo ambalo naona watu tunasahau hapa, hivi ni kila mtu unayetoka nae anafaa kumake life nae?? and hata hizo timelines mnazozisema hazina determinants??
najaribu kufikiri by then natoka na mtu je kila nlokuwa natoka nae labda kwa miezi ama miaka aliqualify kuwa material husband?? ama mimi niliqualify kwake kuwa material wife??
the first thing ni wewe mhusika kujiassess if at all kwamba una qualify kuwa material wife kwa muhusika before even assessing him. unapotaka kuset timelines za ring lazima kwanza uanze hapa.
and one good thing men are pple creatures ambao once wakimwona material wife huwa hawataki kumwacha manake they are afraid to loose. wala huta anza kuclaim for the ring mwenyewe atakuambia twende tukavae pete
ha haaa, yaani unadhani huyo mwanaume anataka hiyo ndoa na anashindwa kukuuliza? kama hakuulizi ujue hayupo tayari na labda hana mpango wa wewe kuwa mkewe. Ni sawa unaweza kuuliza hatma ya mahusiano kama tu upo tayari kutoka, na siyo kuulizia pete.
Kwa maelezo yako haya inaonekana kwenye mahusiano mengi hakuna mawasiliano
Kama mna mawasiliano kuna mambo yatakuwa wazi kwenu
Kuna haja mwanzo wa mahusiano mkaelezana mnakoenda ili kila mmoja ajue mankoenda
Sio mnapanda basi moja mwingine anajua linaenda Uru kishumundu wakati mwingine anajua linakwenda Sango mjoroni
ni mazoea tu....ni kwanini mwanamke asiulize? ni hofu au nini? kwanini unahisi mwanaume ndio anatakiwa kuulizia ndoa?
na hiyo ndio mentality ya kizamani aliyoongelea steve ya mwanamke kusubiri kuulizwa wakati ndoa waitaka wewe! mimi nahamasisha wanawake walio katika mahusiano ya muda mrefu na wenzi wao waanze kuulizia sio mpaka waulizwe wao
ni kwanini mwanamke asiulize? ni hofu au nini? kwanini unahisi mwanaume ndio anatakiwa kuulizia ndoa?
kulikuwepo na mabalasi ya divai tuNaomba kujua ka kwenye harusi ya Kana kulikua na ring. Hizi nyingine ni mbwembwe tu.