How many pairs of pants do you have?

How many pairs of pants do you have?

kuwa na chupi nyingi ni anasa tu. Mbili tu zinatosha kwa ajili ya kushilia vitakia. Kwa mimi niliyekwisha fika menopoz wala sihitaji hata moja. hiyo elfu 5 ya chupi si matofali manne??
 
kuwa na chupi nyingi ni anasa tu. Mbili tu zinatosha kwa ajili ya kushilia vitakia. Kwa mimi niliyekwisha fika menopoz wala sihitaji hata moja. hiyo elfu 5 ya chupi si matofali manne??
Hahahaha... Unajenga tu mpk uzeeni
 
Vigezo vipi vinazingatiwa kupata za kuchoma?
itakuwa zile zilifubaa katikati. mimi zote mbili nilizokuwa nazo ni blaki tu. mambo ya kusugua pichu hadi vidole vinapata moto au badala ya kununua simenti unaenda kununua pant liner ili pichu isifubae si ubadhirifu huo?
 
Huu sasa uongo. .. ....lazma ikuloanishe......[/QUOTE
Inafuliwa kabla ya kuoga, inaanikwa juu ya jiwe, maji yakiacha kuchuruzika ndipo naonga, hii ni applicable kwa mm ninaeoga ziwani.
 
mimi boxer saba zote nyeupe nakaaga uch kwa kushusha surual makusud na kupandisha shat au tshirt hua naopoa sana warembo kwenye daladala wanasemaga huyu kaka msafi
hahaha wejamaa kiboko duh..
 
More than 20 pairs pink and white lakini cha ajabu sivaagi mara nyingi mpaka niende mwezini!! napenda upepo upite mpakaaa ....
Maneno ya Ney wa Mitego ni kweli kumbe,ila si dhambi mimi mwenyewe sijuwi mara ya mwisho mwaka gani bukta full stop
 
Back
Top Bottom