How many pairs of pants do you have?

How many pairs of pants do you have?

ipi tofaut ya boxer na chup?
Chupi kwa ajili ya wanawake, Boxer ni kwa ajili ya wanaume... chupi hazivutiki kwa hiyo zinaumiza..

Mimi nikivaa chupi Nanii itabanwa kutwa nzima sitakuwa na amani... labda nibane kwa kuiangalizia juu... ila niki vaa boxer nanii inakaa vizuri kwa sababu inavutika... naiweka pembeni tu...
 
nmekuelewa now
 
nimecheka sana. sasa kwa nini kuihangaisha hivyo? ina maana haina pamanent pozishen? mbona tukiwafunga nepi tunaiacha palepale. mkishakuwa inahama hama kwa nini?
 
Siyo kuihangaisha... naitafutia position isije niletea aibu... kipindi tunafungwa nepi kinakuwa njiti ya kibiriti... ukikuwa mambo yanabadilika... inakuwa AK47...
 
hahahaaaa....okey
 
Jifunze kuandika vizuri si kama unatuma sms kwa watoto wenzio.

For the last 11 years I have been using disposables, its cheaper, fresher and a lot of savings on soap, water, time and energy, to me at least.
naomba nisaidie namna ya kuzipata hizo bibie FaizaFoxy
 
Jifunze kuandika vizuri si kama unatuma sms kwa watoto wenzio.

For the last 11 years I have been using disposables, its cheaper, fresher and a lot of savings on soap, water, time and energy, to me at least.
Bila shaka unamaanisha diapers.. Sasa mtu mzima mwenzangu uvae diapers kwa rika hilo si ni aibu..!? Ama ndio beki hazikabi hvo unajihadhari..!?

*disposable ni kwa wanao wolewa na wale wazee sana, sasa wew upo kundi lipi..!?
 
S

Huvaa nikitoka tu, nyumbani ni commando. Nikivua siirudii. Ni disposable hauna haja ya kufua, ukivua unaidispose.
Hizo disposable ,are they biodegradable au ndio unachangia kuchafau mazingira kama matumizi ya pampas. Serikali should surely ban matumizi ya pampas watu Warudi kutumia napies.
 
Back
Top Bottom