Hahahaaaa ila nafua ingawa uvivu kweli ninao......Mvivu kufua ww
very nice....light pink ukiongeza kidogo si mbaya...but white saafi
Unarundikaa mpk zile unazopenda kuvaa zikiisha ndio unafuaHahahaaaa ila nafua ingawa uvivu kweli ninao......
Ulijuaje.....utakuwa mtabiri wewe......yani siku nyingine naishiwa kabisa mpaka nafika posta ndo nanunua mpya........Unarundikaa mpk zile unazopenda kuvaa zikiisha ndio unafua
Unanunuliaga posta tu?!Ulijuaje.....utakuwa mtabiri wewe......yani siku nyingine naishiwa kabisa mpaka nafika posta ndo nanunua mpya........
Yap kama nimeamka asubuh afu nikakuta sina ya kuvaa......Unanunuliaga posta tu?!
Unaenda mpk posta tubelesa kama rubii?!Yap kama nimeamka asubuh afu nikakuta sina ya kuvaa......
Sasa kama nafanya kazi posta niende wapi kwa asubuh hiyo?Unaenda mpk posta tubelesa kama rubii?!
Unanunua jiran na homeSasa kama nafanya kazi posta niende wapi kwa asubuh hiyo?
Hilo swali linaegemea upande wa wanawake zaidi...
Kasinde uwe unavaa nguo za ndani...Hahahaaaaaa
(nimejishauri sana niandike hivi au niache, ila nguvu ya kuandika imezidi.........)
Ndo ile boxer moja wiki 3 ndo inafuliwa.......... au hakuna kabisa ni ile kitoka suruali inafata ngozi hehehehee
ole wako hooks ya suruali ishike kwenye kitasa cha mlango au msumari wa benchi la hospitali................ kifuatacho ITV ..................Kichekooooooooo hahahahahahahhahaaaaaa (nasty me)
Maduka ya kuuza hiyo bidhaa hakuna.......Unanunua jiran na home
Na utu uzima huu nisipovaa itakuwa inapwelepweta la nikikaa naiacha kwenye kiti..........................Kasinde uwe unavaa nguo za ndani...
Ng'ombe hazeeki maini... bado mnato wewe.Na utu uzima huu nisipovaa itakuwa inapwelepweta la nikikaa naiacha kwenye kiti..........................