How many pairs of pants do you have?

How many pairs of pants do you have?

Ndo mara yangu ya kwanza kuzisikia,na za kiume zipo
Hizo zitakuwa chupi za bei rahisi 500 hivi sasa kutumia 500 kwa siku kuna haja gani ya kufua hio chupi? Haziwezi kuwa high quality underwear. kwenye vi boutique mshenzi tu boxer 7000 sasa mtu ajidai ana boxer 50 kila miezi miwili anazi replace atakuwa anafanyakazi ya kununua boxers tu? mimi nina boxers kama 20 hivi nazivaa na kufua mpaka nione sasa hii imechoka ndio nanunua ingine,kwanza high quality[next,pringles,ck] hazipauki wala kufubaa kwa muda mfupo so siwezi ku replace ndani ya miezi miwili.
 
We mtoto unazo ngapi kwani?

Fua anika juani na piga pasi
Badili kila unapooga
Ukivaa ukishaifua uwe unaweka chini ili uweze kukaa mwezi mzima bila kurudia
Kila baada ya miezi 3 tupa za zamani zote nunua mpya.
nnazo nyng. nkitaka kuvaa cpigi pac i learn somethng new here
 
Yes, disposables zina save kufua, kuanika, muda na always unakuwa fresh na salama, ukichukulia pia material nyingi za underwear siyo za kupiga pasi, vijidudu visivyoonekana kwa macho ni rahisi kuleleka humo.

Moja ya sababu kubwa za UTI za mara kwa mara ni underwear.
Kwa hiyo Mali yako iko salama kabisa bila kijidudu
 
Back
Top Bottom