How many pairs of pants do you have?

How many pairs of pants do you have?

Ng'ombe hazeeki maini... bado mnato wewe.

Weewee wasemaa, haya mie nilijua maini ni ya mwanaume pekeyake..........

Kumbe hata sie tuna maini wacha nijirosti sikujua........🙂🙂🙂
 
Hahahaha... usivae chupi...chuchumaa weka kioo chini... jitazame... utaona bado hujazeeka kabisa...
 
Si dhani kama wasichana wa siku hizi wanavaa pichu...maana ukipishana nao ukimgeukia utaona makalio yake yanapiga makofi ndio fashion za wasichana wa mjini ni mwendo wa nguo raiini chupi tupa kule wanatangaza biashara zao.....kiukweli wanaovaa pichu kiu hakika na wakajisitili haswaa ni wamama watu wazima tena kwa asilimia 35 % tu hawa wana vaa mpaka magaguro..... yani pichu na gaguro lake
 
Hhahahhaaaa hilo zoezi litaninifanya niende haja bila kutaka juu ya kioo maana nati zenyewe zimelegea.
Labda nikalie camera (na kamera yenyewe ishikiliwe na chupi halafu niwe natazama taswira ya hukoo kwenye screen iliyounganishwa na hiyo kamera teh...🙂🙂🙂

Usicheke utu uzima shiidaaarr
 
Tafuta msaada wa mtu akushikie kioo..
 
Tafuta msaada wa mtu akushikie kioo..

hahahahaaa
simuamini mtuu siku hizi, wema wachache sana. Hata wa jinsia ya kike siamini. Acha tuu maana zoezi limeshashindikana kama ni ukaguzi atakagua hapo hapo wakati na siku ya tukio........... atakachokikuta ndo atakachotumia teh aamue kusuka au kunyoa looh🙂🙂🙂
 
Unabania kukaguliwa kitaliwa na nyenyere...
 
=kunaathiri
Hahaha...hapa tu huwa unanifurahisha

Unafanya jambo la kheri sana lakini hii ni shughuli ambayo hautaimaliza milele

Watu wanajifunza lugha,wengine wameathiriwa na lugha mama, Bado makosa ni mengi wakati wa kuandika (kuchapa) hivyo unachokifanya ni kizuri ila kinachosha na kuchekesha pole usikate tamaa!
 
Si dhani kama wasichana wa siku hizi wanavaa pichu...maana ukipishana nao ukimgeukia utaona makalio yake yanapiga makofi ndio fashion za wasichana wa mjini ni mwendo wa nguo raiini chupi tupa kule wanatangaza biashara zao.....kiukweli wanaovaa pichu kiu hakika na wakajisitili haswaa ni wamama watu wazima tena kwa asilimia 35 % tu hawa wana vaa mpaka magaguro..... yani pichu na gaguro lake

Mkuu wana zile chupi zao zina mkanda mmoja unaopita kati ya makalio. Nadhani ndo za wanazotumia wadada wa mjini.
 
Unabania kukaguliwa kitaliwa na nyenyere...

Hhahahahaaa haya bana umenikumbusha wakati niko sekondari nikiwa njuka, wasichana wa form 2 hadi form 4 (walikuwa wanatukuwadia kwa wavulana wa form 2 hadi form 4) na walikuwa wanatuimbia hivi, ''siuzi mimi wala sitoi buree, unaibana bana italiwa na nyenyeree'' ......................
haaa ila nilikuwa napata woga masikini Kasie mie nilikuwa innocent sikujua hata. Ila nashukuru mungu hawakufanikiwa kunifanyia ukaguzi hadi nikamaliza shule looh (was so innocent kwakweli)
 
Unapenda kusema ulikuwa innocent... soon nitakukagua..
 
Hhahahahahaaa kabla hujanifikia, utapingwa ngwala......... usiniulize utapigwa na nani we jiandae tuu 🙂🙂🙂
But that is naked truth.............I was super innocent...........
 
Ukiwa bondia usiogope ngumi za uso... nitakufikia tu... na nitakukagua mpaka ufurahi kunifahamu..
 
Ooooh my Goosh!! you are betting sio hehehee........... hao wanakuja sasa hivi na wanakusoma muelekeo wako....
Sikutishi ila jipange....... sio ngoma ya kitoto hii, kumbuka Kasie ni old grandma mie.............
Or........... is it catch me if you can.............. while I know you can't..........???🙂🙂🙂
 
Sijawahi shindwa kitu.... na kwenye vita yoyote ile nipo imara... iwe hata kwa silaha za nyuklia vita itapigwa tu..

The winner takes it all..
 
Back
Top Bottom