Ama kweli mjinga hajijui.. Pole sana mdada, hebu nikusaidie mawili matatu ili ufunguke kiufahamu.
*Taja tofauti kati ya disposable pants na diapers
*tafuta na ufahamu maana ya disposable pants na diapers
*usikariri kuwa diapers ni lazma ifungwe na straps pembeni, cku hizi diapers pia zipo ktk mfumo wa chupi. Waeza hata ziita pull ups.
*ukishaelewa hayo juu ndio anza kujitia ujuaji mwingi.
Kiingereza ni kipana kama kiswahili hivo baki na uafrika maana kiingereza kinakukataa japo unafosi.
*!*mayb and i say again mayb unauziwa un incomplete package ndio maana unakuwa zoba. Isije kuwa wanakupa plastic pant bila ile tissue/absorbpad ya ndani na ww unaona umepatia kumbe wenzako wanafikiri utajiongeza kuvaa chupi ya cotton kwa ndani, ila ww kwa kujiona mjuaji unavaa kavu kavu kama upo hair steaming.