How many pairs of pants do you have?

How many pairs of pants do you have?

Ninanunua nyingi kadri niwezavyoo, napenda white pichus, lkn pia nazichoma sana moto, kila jumamosi ya mwisho wa mwezi lazima nichambue za kuchoma moto
 
Fashion magazine wamesema watu wangu wana nguo nyingi viatu lakini chupi wanazo 2 nyeusi na nyekundu. Watu wengi hawapendi kununua chupi.

Kwanini watu wangu hawapendi kununua chupi?

We una chupi ngapi?

Wamesema ukivaa leo ukivua unatakiwa usivae mpaka siku 4 zipite ndo uirudie kuivaa.
We mtoto unazo ngapi kwani?

Fua anika juani na piga pasi
Badili kila unapooga
Ukivaa ukishaifua uwe unaweka chini ili uweze kukaa mwezi mzima bila kurudia
Kila baada ya miezi 3 tupa za zamani zote nunua mpya.
 
Fashion magazine wamesema watu wangu wana nguo nyingi viatu lakini chupi wanazo 2 nyeusi na nyekundu. Watu wengi hawapendi kununua chupi.

Kwanini watu wangu hawapendi kununua chupi?

We una chupi ngapi?

Wamesema ukivaa leo ukivua unatakiwa usivae mpaka siku 4 zipite ndo uirudie kuivaa.
"One & Only"
 
Back
Top Bottom