Jamani mi nimesema tu Nilionana na NN, anavutia kwa muonekano wake,Aah sana. Naona umejisalimisha kwa NN, mwenzie kanunaje.
Mpashe apashike na ajue hizi sio zama za kusubirisubiri huku unaumia Moyo, ni zama za kusema nae.
Gaijin we ndie unapuliza moto hapa sasa. ha ha ha ha haMwali hapindui kwa Bu'yaka inaonyesha
Na usikute hii thread ni ya kumrusha roho
:dance:
mmmhh? Is it? Kama kweli yalitokea hayo unayo sema, na kama una interest na huyo mngineVinywaji gani? Kamati ya nini? Kama hujui Nyani Ngabu tulishamfanyia kamati ya vinywaji zamani sana, i mean ana mke tayari na dini yake haimruhusu kuoa mke wa pili.....
Mwali utaishia kula kwa macho tu dia , kaa mbali na Nyani Ngabu manake ukizubaa utajarushiwa vitu vyenye ncha kali tukukose!
Ngoja nikimbie, hii si sred ya kukaa hapa.
Mhusika akija hapa, lazima palipuke
Gaijin we ndie unapuliza moto hapa sasa. ha ha ha ha ha
Bu'yaka anaweza kuja tena kujibu hii post yako tukaanza ku-draw attention on the repugnant tena wakati mi ka-thread kangu nilitegemea ni ka kutabasamisha.
jamani wadada tumebarikiwa wizi, lol! nimechekaje sasa hapo!Niliipenda sana. The juice itself was nice, but i liked something else about it.
Si unakumbuka ile round ya pili na wewe ulichukua kama yangu (Mix ya passion and pinaple)?
nilivokua naskilizia ladha yake I was happy that our tongues were feeling the same taste...
@FP!!!!!!!!! ha ha ha ha hajamani wadada tumebarikiwa wizi, lol! nimechekaje sasa hapo!
hebu wadada wenzangu kuja kipande hii kusomea wizi toka kwa Mwali.... Ciello, snowhite, Nyamayao, gfsonwin, cacico, mwaJ, Madame B, Kongosho, King'asti, Dena Amsi, MwanajamiiOne, afrodenzi, Smile, Preta, AshaDii, Kipipi; lara 1 na Zinduna najua ni mafundi pande hizi, lol!
hapa Nyani Ngabu atatoka kweli? sidhani
haya, stay tuned for the pestilence and fragrance.
*Nyani Ngabu
my dear hicho ni kipaji kwetu, na hakika tumejaliwa! hata wenye PHD zao hunasa hapo kama kumbikumbi kwenye taa!!jamani wadada tumebarikiwa wizi, lol! nimechekaje sasa hapo!
hebu wadada wenzangu kuja kipande hii kusomea wizi toka kwa Mwali.... Ciello, snowhite, Nyamayao, gfsonwin, cacico, mwaJ, Madame B, Kongosho, King'asti, Dena Amsi, MwanajamiiOne, afrodenzi, Smile, Preta, AshaDii, Kipipi; lara 1 na Zinduna najua ni mafundi pande hizi, lol!
hapa Nyani Ngabu atatoka kweli? sidhani
jamani wadada tumebarikiwa wizi, lol! nimechekaje sasa hapo!

rafiki yaani hapo tu nikaona kweli tumebarikiwa, lol! chezeya watoto wa kike weye....@FP!!!!!!!!! ha ha ha ha ha
yaani katika mambo yote nimesema
hapo tu ndio umeona udraw attention?
umeona eeeh! shosti.....my dear hicho ni kipaji kwetu, na hakika tumejaliwa! hata wenye PHD zao hunasa hapo kama kumbikumbi kwenye taa!!
ha haaaaaaaa, mlongo wangu ungetia neno tuMi nimeona nikamezea tu, heheh nikaamua kujipitia zangu!
jamani wadada tumebarikiwa wizi, lol! nimechekaje sasa hapo!
hebu wadada wenzangu kuja kipande hii kusomea wizi toka kwa Mwali.... Ciello, snowhite, Nyamayao, gfsonwin, cacico, mwaJ, Madame B, Kongosho, King'asti, Dena Amsi, MwanajamiiOne, afrodenzi, Smile, Preta, AshaDii, Kipipi; lara 1 na Zinduna najua ni mafundi pande hizi, lol!
hapa Nyani Ngabu atatoka kweli? sidhani
Umeniangusha Nyani Ngabu, na natamani kulia ujue! Sitaki kuamini kuwa huu uzi umekufanya ukatabasamu na kuchekelea !Dah! I know...I know.
My dear, itabidi nikutafute, naona upo serious kuliko hata mimi nilipoandika huu uzi.Umeniangusha Nyani Ngabu, na natamani kulia ujue! Sitaki kuamini kuwa huu uzi umekufanya ukatabasamu na kuchekelea !