How GOD is smart

Mkuu Kama nimekuelewa hapa umesema Yesu ni yule yule Mungu baba wala hakuna nafsi. Naomba niwaulize.

1 kama Yesu ni yule yule Mungu baba na hakuna nafsi....Yesu alikuwa anaenda kuomba....anaomba kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika, kuna sehemu Nabii alimwomba Mungu ampatie kibali kuwaadhibu Watu wawili waliokuwa wanamsanifu Mungu kupitia huyo huyo Nabii, Mungu alimruhusu yule Nabii aliamuru ardhi ipasuke na kuwameza wale Watu. Ardhi ilipasuka pale pale na kujifunika tena muda ule ule.

Sasa tujiulize, Je ardhi inasikia na kufanya kazi sawa na sisi Binadamu?

MUNGU NI MUNGU TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
maswala ya mungu ni chai tu hana lolote
Katika pitapita yangu ya kujisomea, Nilisoma mahali kwamba kila kauli (statement) ni ama KWELI au UONGO.

Mtoa kauli bila shaka anaamini kauli yake n kweli, kwamba MASWALA YA MUNGU NI CHAI HANA LOLOTE, mimi namuacha na swali la kutafakari khs kauli yake, JE NI KWELI??

IS IT TRUE?? Kama huna uhakika, ni afadhali ukafanya utafiti kabla hujatoa kauli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini utende maasi tu ambayo hata wewe ukitendewa utanung'unika na hutaona maana ya kuishi duniani ukienjoy maisha kwa furaha? Ndiyomaana hata sisi kwa sisi Binadamu tumewekeana mipaka ya uhuru kwa kufata sheria kupitia serikali, yani ukikanyaga katiba tu tunakufikisha gerezani Segerea mara 1 sababu Binadamu hatufanani wala kulingana kwa hekima na busara na wapo wengine pasipo kutumia nguvu ya sheria hawajitambui, ndiyomaana Mungu aliweka sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na atuthibitishie pa1 na mbwembwe zooote lkn bado tu Mungu alimuamuru hakika kufa atakufa, kwanini hakuna awezaye kukataa kifo ikiwa Mungu hayupo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleka neno, kwenye misukosuko wewe nenda, wakikataa, nawa mikono ushukuru maana Mtu kuukubali ukweli ni kazi ya Roho Mtakatifu.

Hivi ni yupi kati yao hawa wanaopinga hapa JF habari za Mungu alikuwa mbishi kama Paulo?

Paulo hakufikia hatua kuongoka na kutangaza vizuri habari za Mungu hadi kuwa shujaa kupigwa na mawe(Sauli)?

Wakati mwingine Mungu huwafanya Watu kama hawa kuwa chachu ya wengine tuzidi kupambanua habari zake vizuri ili tumjue kwa undani zaidi.

Pia Mungu huwafanya mioyo yao kuwa migumu zaidi na zaidi ili ajitwalie utukufu kwa kishindo zaidi kama ilivyokuwa kwa Farao alivyokuwa mbishi kuwaruhusu wana wa Israeli toka Misri kwenda Kanani, hatimaye Mungu alisimama na Musa hadi wachawi na waganga wa Farao kushindwa kuivuka bahari ya shamu.
Tatizo lipo kwa anaowajibu
Hawapo tayari kujifunza...akili zao hazipo kufahamu
Wamekuja kimitego..kukejeli tu..Hakuna lingine

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen
Nadhani wadau wamejitahidi Sana kuwaelewesha.. mwenye sikio na asikie
Mungu mwenyewe atajua namna ya kuwabadilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kumwomba Mungu kwanza kabla hujaanza kusoma na kuutafakari ukuu wake maana Roho Mtakatifu ndiye hutupatia ufahamu wake Mungu hasa.

Hapo Yesu alimaanisha kuwa ni yule yule wa jana, leo na hata milele "kamwe habadiliki ktk uhalisia wake wa kiungu"

Mfano.

Yesu akikuahidi atatenda au kukuletea baraka zake basi atakuletea kwa wakati haijalishi hata ipite miaka mingapi maana kila jambo hufanywa kwa wakati wake na kwa kusudi la mbingu MUHUBIRI 3:1-15.

Mungu hatamkagi neno lake sababu lina ukweli ndani yake la hasha! bali kabla hata hajatamka neno lake tayari ni kweli tupu.
Mkuu Kama nimekuelewa hapa umesema Yesu ni yule yule Mungu baba wala hakuna nafsi. Naomba niwaulize.

1 kama Yesu ni yule yule Mungu baba na hakuna nafsi....Yesu alikuwa anaenda kuomba....anaomba kwa nani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry mkuu sijauliza hayo.
Nimeuliza tofauti ya Mungu na Yesu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
asa kwanin mungu na shetani wasielewane.? yaan wamalize tofauti zao .mungu hua anasamehe kwa asimsamehe xhetani.? alaf makosa aliyafanya adam na eva 'c.c yanatuhusu nin.?
Shetan ana roho ya uasi hawez Paraná tens na Mungu
 
Kwa nini aliuumba huo mti hali akijua Adam na Eve, assuming they were real, wangeula?
Ule mti ulikua unamaanisha shetan yupo na ana mfumo wake wa maisha tofaut na Mungu ambao mwamadamu ukila matunda yake utakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…