witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,838
- 47,741
Kaka ,,,kwanini huamini Kama Mungu yupo????Thibitisha uwepo wake
Elisha alimlaani Gehaz milele 2 falme 5:1-27, Mungu aliposema mpaka kizazi cha NNE hakusema ndo mwisho Bali alisema hadi
Siku ukifanikiwa kuona roho ya binadamu, na Mungu utamuona, Mungu ni roho, ambaye sio rahisi kwenye ulimwengu wa mwili kumwonaThibitisha uwepo wake
Seriously???Mungu ni Mimi na Wewe, Shetani ni Mimi na wewe huyo mnayemwabudu simjui wala sijawahi kumwona
Sentensi yako ya bichwa lako la habari inaonesha lugha ya Malkia imekupiga chenga. Ungeandika Kiswahili tu.Hakuna binadamu anayefikia u-smart alionao Mungu, kwanza kabisa Mungu hawezi vunja sheria aliyojiwekea tofaut na mwanadamu, pili Mungu sio muongeaji ongeaji hovyo, huwa ana maneno machache Kwa sababu kila neno lake ni sheria.
Watu wengi tumekua tukijiuliza Kwa nin Mungu aliruhusu shetani amdanganye hawa, jibu ni kwamba Mungu alimpa mwanadamu option mbili ya kumkata au kumkubali, bahati mbaya Adam akamkataa Mungu, na Mungu bila hiana akakubaliana na adamu kwa-sababu angeingilia angevunja sheria aliyojiweka yeye. Na shetan anamjua Mungu Kwa sababu ameshakaa naye ndo maana alijiamini alivyomfuata hawa.
Ndo maana hata wanadamu wanamtukana Mungu na haingilii, jibu ni kwamba hawez kukulazimisha umtumikie/umfuate, yaan wanafamu tuna Uhuru wa kumkataa Mungu, ndo maana ni Hatar sana kulazimisha watu kumfuata Mungu.
Mungu hawez kuja kuishi duniani Kwa sababu in roho (spirit), ili uishi duniani lazima uwe na mwili (dead body), ndo maana hata majini lazima yamwingilie MTU yaishi ndani yake Kwa sababu ili uishi dunian ni lazima uwe na mwili.
Shetani ilimbidi amuombe nyoka mwili ili autumie mwili wake kumdanganya Adam na hawa Kwa sababu na yeye ni roho
Hata binadamu akifa kinachokufa ni mwili na sio roho, ndo maana baada ya kufa roho haiwez ishi duniani Kwa sababu ni illegal Kwa roho kuish duniani, kwa hy lazima iondoke, ndo maana Mungu alimtuma YESU aje na mwili wa binadamu ili atimize lengo lake.
Ndo maana dhana nzima ya maombi ikaja, Kwa sababu ukitaka kitu lazima umuombe Mungu Kwa sababu ana uhakika unataka jambo fulani au hulitaki, Kwa sababu kabla ya mwanadamu kuasi kulikua na fellowship na sio maombi.
Umenena vyema sanamaada nzuri na mimi kukikazia kazia kidogo ni hivi
1.Asili ya Mungu ni nini? Asili (Nature) ya Mungu ni Roho (YOHANA 4:24).Sasa kama Mungu asili yake ni Roho na kuna roho aina mbali mbali Roho ya mungu ni ya aina gani??,Roho ya Mungu ni TAKATIFU (HOLY).sasa kwa asili ya Mungu kuwa Roho inamaana anapatikana kila mahali,Duniani,chini ya dunia,angani,mbinguni na ulimwenguni koote kwa wakati mmoja!
2.Mungu Hakumtuma Yesu aje na mwili wa Binadamu,kilichofanyika nikwamba Mungu mwenyewe aliumba mwili then akaingia ndani yake,yaani Mungu alijificha kwenye ule mwili ambao ulizaliwa na Mariam,Mungu Mwenyewe alikuwa ndani ya YESU Kristo! angalia maajabu ya Mungu,Muda huo huo alikuwa ndani ya Yesu,Muda huo huo alikuwa Mbinguni kwenye kiti cha enzi,Muda huo huo alikuwa ndani ya Yohana mbatizaji kwakuwa yohana mbatizaji alizaliwa tayari amejaa roho mtakatifu(roho wa Mungu)!,hukusoma andiko lilikuwa linatabiri kuja kwa Yesu na likasema ataitwa Emmanuel maana yake MUNGU PAMOJA NASI?,(ISAYA 7:14),Na pia kuna andiko linasema Mungu alijidhihirisha katika mwili akakaa kwetu? (1Timotheo 3:16) maana yake Mungu alitengeneza mwili then akaingia ndani yake then akaja kwa binadamu,alijidhihirisha katika mwili,kama vile wewe unavyoweza kujidhihirisha kwenye mavazi mbalimbali,ukavaa suti,au jens,au ukajidhihirisha na nguo za cadet nk..zile ni nguo tu ila wewe uko ndani ya zile nguo,na kwakuwa Mungu alikuwa anakuja kukomboa wanadamu ilimbidi aje kwa sura ya kibinadamu aishi na binadamu,awaonyeshe binadamu namna ya kuishi bila kutenda dhambi sasa Mungu ni roho ilimpasa aende kwenye nyumba ya daudi atengeneze MWILI halafu auvae huo mwili azaliwe kwa njia ya mwanamke kama binadamu wengine then atufundishe namna ya kuishi maisha matakatifu na hatimaye kafara ifanyike msalabani kuukomboa ulimwengu woote
Sawa tumekuelewa,Sentensi yako ya bichwa lako la habari inaonesha lugha ya Malkia imekupiga chenga. Ungeandika Kiswahili tu.
Unamdharau MTU ambaye humjui Hagar sana, alafu watanzania tunatabia ya kutafuta weakness ndogo ndogo ambazo hazina mantikiSentensi yako ya bichwa lako la habari inaonesha lugha ya Malkia imekupiga chenga. Ungeandika Kiswahili tu.
Huenda binaadam hatujui vizuri ..tunachukulia simple ability of god.Kwa mantiki hiyo Mungu naye ni mbishi na hataki ushauri wa kiumbe chochote!?
Well, kwa jibu lako hili, kuna Logic/mantiki gani sasa ya kuwa na Mungu au Almighty being as our provider/ruler of our lives? That's one, two, kama ni hiari/decision yangu kumuabudu yaani sio lazima, kwa nini anichome moto/aniadhibu kwa sababu sikumuabudu nikiwa hai? uoni statement zako zinajicontradict meaning hazimake sense yoyote/sio logical/ni illogical? kwanini kitu special na unique kama kuishi/being alive unakikabidhi/unategemea kiwe under control of illogical systems? Yaani kuna mantiki gani sasa hata ya kuwa na ubongo/intelligent being? We unayetegema illogical system idefine maisha ya adhimu unatofauti gani na funza au bata mzinga au nyumbu?Mwanadamu alivyomkataa Mungu means ana Uhuru wa kuchagua maisha anayotakz yeye bila hata kumtegemea Mungu, na still ukapata mafanikio ikiwepo utajiri, na ndo maana nikasema hawez kukulazimisha umtegemee Kwa jambo lolote lile, na ndo ile point ya u-smart inapokuja
Kwa hy swala LA wewe kumtegemea Kwa jambo lolote lile ni swala LA hiari yako
Na hao wanamtegemea Mungu na bado hawafanikiwa, ni simple unapotaka kumtegemea Mungu lazima ujiandae na vita kutoka Kwa shetani. Na pili watu waliokoka hawafanikiwa Kwa sababu wengi wanategemea miujiza na sio akili, ili ufanikiwe lazima utumie akili, kumbuka Mungu alivyosema watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa.
Tatu kuna uhabu wa Mafundisho ya jinsi ya kufanikiwa ki-Mungu, tunajua kuna namna ya kufanikiwa ki-shetani (Freemason na Kwa njia za kichawi), na kibinadamu, lakin ki-Mungu hayo Mafundisho yamekua adimu mengi yaliyoko ni ya uongo
maswali yako ni mazuri na nitayajibu kama ifuatavyoKwahiyo Mungu alijigawa vipande vipande, kipande kimoja kikawa duniani kikiwa kimevaa mwili wa kibidamu na kipande kingine kikawa mbinguni? Hivyo Mungu yesu alivyokuwa duniani akawa anajiomba msaada mwenyewe ili kikombe kimuepuke? Vipi kuhusu hili andiko mbona linaonesha kwamba Mungu ni Mungu na Yesu ni yesu? Au unaweza kunipa ufafanuzi juu ya hili andiko?
Yohana 20:17
Yesu akamwambia, “Usinishike kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini nenda kwa ndugu zangu ukawaambie, ninakwenda kwa Baba yangu na Baba yenu, kwa Mungu wangu na Mungu wenu.”
Sent using Jamii Forums mobile app
Pumba tupumaswali yako ni mazuri na nitayajibu kama ifuatavyo
1.Nature/Asili ya Mungu ni ROHO na ipo kila mahali
>Mungu hakujigawa vipande vipande,na wala Mungu huwa hajigawi yeye Alikuwepo mwanzo,Yupo sasa na Atakuwepo milele na milele,Mungu ni wa MILELE (EVALASTING) (ISAYA 40:28),
>Mungu yupo kila mahali (YEREMIA 23:23-33),Dunia na Mbingu hazimtoshi kukaa ndani yake (1 WAFALME 8:27,ZABURI 139:7-12)
2.swali la pili Kuhusu Mungu YESU
Naweza kuandika kitabu kizima kuhusu Uungu wa YESU kwakuwa ni maada pana sana na inahitaji uelewa wa hali ya juu wa ki biblia kwa mtu kuelewa hapa nitajitahidi kwa Ufupi,
YESU NI MUNGU SASA NA YESU HAKUWA MUNGU KILE KIPINDI YUPO DUNIANI ILA MUNGU ALIKAA NDANI YAKE!
Kumbuka tuna Mungu mmoja tu! narudia Tuna Mungu mmoja tu na ambaye hajagawanyika kwa namna yoyote ile,hana Baba wala hana Mama na hana Wasaidizi,Hakuumbwa,Alikuwepo,Yupo,na atakuwepo! MUNGU NI MMOJA Soma (Kumbukumbu 6:4,Marko 12:32,Wagalatia 3:20, nk.....)
Sasa kwa ufupi nianze kuelezea kwanini Yesu alikuja duniani ,chanzo cha Yesu kuja duniani ni Adam na hawa kutenda ile dhambi pale bustani ya eden Uhusiano wa mwanadamu na Mungu ukavurugika wanadamu woote tukawa tunarithi ile dhambi ya ADAM NA HAWA (Warumi 5:12-15),kutokana na ukaidi wa Adam na Hawa dhambi iliingia kwa vizazi vyoote vya Wanadamu sasa ili kurejesha uhusiano na Mungu,Mungu mwenyewe aliweka Sheria,kanuni na taratibu kwa wanadamu wa kufanya na kuzifuata ili wawe safi machoni pake(wajitakase) utaratibu huo ilikuwa ni Kutoa kafara ya mnyama (MWANAKONDOO AU NG'OMBE nk ALIYENONA),hii iliitwa KAFARA YA MNYAMA ndio hii ilianza kifanywa na ABELna KAINI ndugu yake mmoja kafara yake ilikubaliwa na mwingine ilikataliwa sababu alitoa wanyama ambao hawakunona nadhani story unaijua vizuri ipo (MWANZO 4:4),sasa hizi kafara za mnyama ziliendelea kufanyika kwenye Agano loote la kale kuanzia kitabu cha Mwanzo mpaka Malaki utakutana na kafara za aina hii ambazo zilikuwa ni kama ishara(SYMBOLISM) tu ya kurejesha mahusiano kati ya Mungu na wanadamu na Yule mnyama anayetolewa kafara ndio alikuwa anawakilisha kubeba dhambi za hao wanadamu waliomtolea kafara kupitia damu yake,na ndiomaana kafara zoote mnyama alikuwa anachinjwa au anachomwa moto ili damu itoke ifanye upatanisho kati ya wanadamu na Mungu
Sasa kwa miaka Mingi Mungu alianza kuwaambia wanadamu kupitia manabii na mitume wake kuwa kunakafara Halisi atakuja kuifanya Duniani,MUNGU ATAFANYA KITU KIPYA DUNIANI! (ISAYA 43:19,ISAYA 11:1,ISAYA 7:14,ISAYA 9:6,HESABU 24:17) ,sasa hikikitu kipya ni Kuzaliwa kwa Yesu Kristo na hadi kufa kwake,haya tukija agano Jipya sasa tunaona unabii unatimizwa Mwanamke Bikira anapata Mimba kwa njia ya uweza wa Roho mtakatifu anazaa mtoto wa Kiume jina anaitwa YESU!
> Sasa nirudi kwenye swali lako Je Huyu mtoto wa kiume aliyezaliwa akaitwa Yesu alikuwa ni Mungu??! Jibu ni HAPANA hakuwa Mungu,ukisema yule mwana wa YUSUFU NA MARIAMU aliyeitwa YESU alikuwa ni Mungu utakuwa unapingana na maandiko inamaana kuna Miungu zaidi ya wawili! na wakati biblia yoote inasema Mungu ni mmoja na hajagawanyika!.
> Na pia ukisema Yesu mwana wa Yusufu alikuwa ni Mungu unakosea Sababu utakuwa unaweka Umri Juu ya Mungu wakati Mungu hana umri nimeandika juu hapo kuwa Mungu ni wamilele aliumba vyoote pamoja na MUDA!,Yesu alizaliwa na mwanadamu ila Mungu hakuzaliwa alikuwepo kabla ya mwanadamu na aliumba mwanadamu,Yesu aliitwa Mtume/mwalimu na Nabii (WAEBRANIA 3:1) lakini MUNGU sio mtume wala sio nabii kwasababu hatumwi na kitu chochote lakini nabii na mitume ni watumwa wa Mungu!
>Sasa Yesu ni nani kile kipindi yupo Duniani? Aliitwa MWANA WA MUNGU,kwanini aliitwa mwana wa Mungu sababu kuja kwake hapa duniani ni Mungu mwenyewe alimfanya,kumbuka bikira mariamu alipata mimba kwa uweza wa roho mtakatifu na si kwa kukutana na mmewe YUSUFU! ndiomaana aliitwa Mwana wa MUNGU,mtu mwingine aliitwa mwana wa MUNGU ni ADAMU sababu ADAMU hakuzaliwa na binadamu naye kuja kwake hapa duniani aliumbwa na MUNGU moja kwa Moja (Luka 3:38) ndiomaana kuna mitume walisema na kuandika kuwa YESU alikuwa ADAMU WA PILI (1Wakolinto 15:22)
>Biblia inasema wazi kuwa kabla ya Mungu kuamua kuja duniani kupitia Yesu Kristo ili kufanya upatanisho baina yake na wanadamu alitafuta wa kumtuma ,MBINGUNI,DUNIANI,ULIMWENGUNI NA CHINI YA DUNIANI hakuona anayefaa kwenda kuwakomboa wanadamu (UFUNUO 5:3) hapa inakupa mwanga kuwa kumbe alishuka mwenyewe kuja duniani kufanya upatanisho kati yake mwenyewe na wanadamu sasa alishuka kivipi????, Aliingia kwenye ukoo wa Daudi kama ilivyotabiriwa na Manabii (ISAYA 11:1-2,ZAKARIA 3:8,6:12) then akatengeneza mwili ambao ukazaliwa na mwanamke bikira Halafu Mungu akajificha ndani ya huo mwili (2 Wakorinto 5:17-21),ndiomaana Yesu kazi zoote alizokuwa akifanya hapa Duniani alikuwa anampoint Mungu aliyekuwa ndani yake,aliweza kufufua wafu,kutembea juu ya maji,kuponya wagonjwa na vilema,kulisha maelfu ya watu,vyoote hivyo alivifanya kama chombo tu lakini mfanyaji mkubwa alikuwa ndani yake (YOHANA 5:17-27,Yohana 14:10),Yesu nje alikuwa MTU kwa asilimia 100 halafu ndani alikuwa MUNGU kwa asilimia 100!
>Sasa Muda wa kufanyika kafara ukafika pale masalabani (Hapa ndipo pana akili sana),Mungu mwenyewe alitoa kafara pale msalabani ili kujipatanisha yeye na Wanadamu,wayahudi walipomsulubisha Yesu pale msalabani kuna vitu muhimusana vilifanyika kwenye maisha ya wanadamu Cha kwanza Yesu alisema imekwisha akaisalimisha Roho yake(Yohana 19:30),kimsingi Mungu aliyekuwa ndani ya Yesu akatoka sasa kwenda wapi?,kwenda kuhubiria roho zilizokuwa mateka kuanzia kizazi cha Adamu hadi wakati ule wa Yesu woote walihubiriwa injili kusudi siku ya mwisho woote tuhukumiwe kwa hukumu moja!, then cha pili wayahudi walipokuja mara ya pili kuwavunja Miguu wale watu watatu akiwamo Yesu pale msalabani yeye Yesu hakuvunjwa mahalipopote kumbuka hukomwanzo nimesema mnyama aliyekuwa akitolewa kafara hakutakiwa awe kilema wala mwenye mawaa,ndiomaana Yesu hakufunjwa mguu wowote pale msalabani ili kafara yake iwe parfect! (Yohana 19:32-34) ila wale askari walimchoma ubavuni mwake then ikatoka DAMU na MAJI!!!! Ndio hii kafara ilifanyika pale msalabani na wanadamu tulikombolewa kwa damu ya Yesu kristo na Maji,(nitakufafanulia kwanini ilitoka Damu na Maji kwenye topic zijazo)
Umejibu vizuri mkuumaswali yako ni mazuri na nitayajibu kama ifuatavyo

Bichwa lako la habari ulikusudia nini? Halieleweki. Tupe kusudio lako kwa Kiswahili..Unamdharau MTU ambaye humjui Hagar sana, alafu watanzania tunatabia ya kutafuta weakness ndogo ndogo ambazo hazina mantiki
We ni mjinga nenda arusha na moshi kuna mafly catcher wengi wanajua kingereza lakin hakuna wanajua zaid ya kula unga. Unafikiri kujua kingereza ndo akili sikufahamu unapeo Mdogo hiviBichwa lako la habari ulikusudia nini? Halieleweki. Tupe kusudio lako kwa Kiswahili..
Unasikitisha sana unapoona hilo ni jambo dogo, kumbe huelewi kuwa JF inasomwa na maelfu ya watu duniani. Pole sana.
Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.