Taarifa za kuaminika manesi wote wanagoma kuanzia kesho,na hapo jibu litakuwa ni lipi kweli?Sio kabariki kama Daktari anaona mshahara mdogo akatafute kazi sehemu ingine.
Taarifa za kuaminika manesi wote wanagoma kuanzia kesho,na hapo jibu litakuwa ni lipi kweli?Sio kabariki kama Daktari anaona mshahara mdogo akatafute kazi sehemu ingine.
subiri tamko wewe acha kutapatapa!
Sio kabariki kama Daktari anaona mshahara mdogo akatafute kazi sehemu ingine.
Taarifa za kuaminika manesi wote wanagoma kuanzia kesho,na hapo jibu litakuwa ni lipi kweli?
Nadhani madaktari wengi watatafuta kazi sehemu nyingine, na wale watakaobaki watakuwa wanafanya kazi hiyo bila moyo; hivyo kuishia kuwa tunapewa placebos nyingi badala ya tiba halisi. Fortunately, viongozi wetu watakwenda kutibiwa india na ulaya, hivyo watakaokula placebos hizo ni sisi walalahoi. Najua Kikwete hanyimwi usingizi na matatizo ya mlalahoi, ndiyo maana alitoa kauli hiyo.
hi serikali ya nani? Je madaktari hawana haki kusema katika mazingira hayo magumu, je kuwafukuza ni dawa swali kwako je wanasiasa wanalipwa kiasi gani na ukilinganisha wao na madaktari wetu ni nani wana kazi ngumu?:deadhorse:
Kauli zako hazina mashiko, unaendeleza nyimbo tu za DHAIFU eti Serikali haina uwezo bila kutoa tathmini ya kuonyesha jinsi ulivyofikia hitimisho hilo. Weye ndio wale wale ambao badala ya kukaa chini na kutafakari kwa kina huwa mnakurupuka na kusifia Viongozi DHAIFU huku nchi ikizidi kuangamia
Kikwete hawajui Madaktari,umafia wake kwao unaishia miguuni,na aombe mungu asianguke tena jangwani
Katika debate kuwa mtulivu na mvumilivu. Hoja ndizo tunazozitoa hapa. Kama we umeajiriwa na serikali,
je unapata mshahara ambao madaktari wanadai kufikia milioni 7?
Je ni swa mwenye degree ya kwanza sekta nyininge za umma kupata laki 4 na madaktari waanzaji kupata karibu milioni?
Kwa dhamiri yako safi unafikiri serikali ina uwezo wa kuwalipa kiasi hicho cha mishahara? Watumishi wangine wa umma hawatadai nao wafikishiwa kima hicho au cha karibu na kima hicyo?
Je, majukumu ya serikali ni mishahara tu hakuna shughuli nyingine za maendeleo?
Elimu je?
Miundo mbinu je?
Mashirika mengine ya umma je?
Matumizi ya kawaida ya serikali je?
Tunapojadili mada kama hizi tuwe wapana wa kuangalia mambo yote muhimu ya kitaifa. Pamoja na kuzuia mianya ya uvujaji wa pesa za serikali, je pesa za rada zimeishia wapi? Matatizo yameisha kwa pesa za rada au yako palepale? Hizo ni tone tu katika hazina na hatuwezi kusema pesa hizo ndizo zitatosha kuwalipa mishahara madaktari na watumishi wengine wa umma kwa maisha yote kuktokana na kuzirudisha hazinani zilizochotwa. Kuna mengi ya kufanya na hata upinzani ukiingia hakutakuwa na maisha ya peponi, mambo yatabaki pale pale. Mataifa tajiri na makubwa duniani yanayumba kiuchumi sembuse mchi maskini kama Tanzania. Kulalamika si suluhisho ila kutuliza bongo na kufanya kazi ndiyo kujikomboa. Sioni mantiki ya kuona ubaya tu upande wa serikali. Tuwe wachambuzi wazuri tunaoweka katika mizani pamoja mizani kuegemea mabaya lakini kuna mazuri pia yanafanyika.
Pia nashauri jumuiya ya madaktari wamfiche dr. ulimboka na aende kwenye ubalozi wa marekani au nchi nyingine makini akahifadhiwe kwani popote alipo atafuatwa aangamizwe! Na wale wenye nyeti na ushahidi wa kuteswa kwake wajifiche wapiganie vita hii mafichoni na wauweke ushahidi wao kwa maandishi na kurekodi na wawape mawakili na wawakilishi wa vyama vya upinzani na jumuiya za kimataifa ushahidi wao kabla hawajawindwa na kuangamizwa.
Mungu ibariki Tanzanian, madaktari na Dr. Ulimboka.
subiri tamko wewe acha kutapatapa!
ZombaAsiyetaka ajitoe, asietaka kujiondoa anabaki akiwa na chuki kazin nan anateseka raia au kikwete?
Ni maamuzi ya kipuuzi na ya kitoto, hayapaswi kutoka kwa rais wa nchi.
Je umejuwa hao
Wagen malipo yao/head kiasi gan? Huko
na kwanin. Mtoto mgonjwa anapokataa kula unamwacha afe kwa hasara ya nani? Kama sio mzazi.
Wamegoma watu wanakufa, anasema asietaka aende je ametoa suluhisho gan? Hakuna, is he a man to make and give critical decision? Or a
Normal citizen? What distinguish
him as a president from the least of us? Ni ujinga kutegemea wagen badala kuendeleza wako.
Tengeneza wako wakuhudumie utaomba vingapi? Fedha uombe, technology uombe, vifaa uombe, hata madakitari na waalimu pia?
Ni upuuz kuzan wagen wataziba pengo
-hakuna vifaa wala madawa
-lugha kikwazo
-hawajui tamadun zetu
-watahudum katika hospital ngapi?
-watatoa bure huduma mpaka lin
-tutawalipaje hizo gharama
-Watafika mpaka vijijin au?
Hekima nikutatua mgogoro kwa faida ya watanzania na ajira bora kwa madakitari wetu
jamani huyo rais wetu ni mjinga sana. Huko rwanda wanalipua madaktari $1,500 kwa hivyo anasema eti walipua tshs 900,000/- hiyo ni akili ??? Jk kweli ni mjinga sana ajasoma kabisa. Yani kweli ni mjinga kweli kweli kwa sababu anazungumza kitu ajui. Kwanini wabunge pesa upo yakuwalipa hata kama wana lala bungeni lakini wadaktari anaona serikali aina pesa. Kweli avai kabisa kwa rais. Asiwatishe madaktari aje basi kufahiyo joho kufanya kazi ya udaktari au mwanae. Mshenji jana --- anatuboa hotuba yake
aende kutupia watoto wa nursery. Mshenji awafukuzwe basi ili afanyekazi yeye huko hospital. Kikwete enda shule pombavu. Usiwatishe madaktari.