Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

kwenye vitisho ni kweli, maana kasema doc akifukuzwa kazi itabidi aachie nyumba ya serikali within 24 hrs. kama sio kutishana ni nini? lakini pia nimepata point nyingine, hivi mtu anaweza kupata nyumba ya kupanga within 24hrs? inabidi hili nalo liangaliwe.

Kosa kama ni la mwajiri hapo si haki, lakini kama ni ukiukwaji wa ajira uliofanywa na madaktari wenyewe, basi na wabebe mzito wao wenyewe. Maana nyumba hizo zitahitajika kwa ajili ya madaktari wengine watakaohamishwa toka Hostpitali kuu ya songea kwenda Muhimbili.
 
"Kama kuna mtu wa Serikali kafanya, itakuwa kwa sababu zake binafsi na siyo za Serikali au kwa kutumwa na Serikali".

Kwa maneno haya JK amethibitisha kuhusika moja kwa moja kwa vyombo vya usalama vya serikali
na sasa wanajipanga namna ya kuudanganya umma wa watanzania, wakini wakumbuke kuwa wanaweza kuwadanganya watu fulani kwa wakati tu lakini kamwe hawawezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote, kama alivyosema Abraham Lincolin


 
Mbona povu linakutoka namna hiyo, hivi unadhani Ma Dr. ni kama walimu. Ngoja wakutane watoe tamko lao baada ya hutuba ya rais utalipenda tu.

Tamko lao halina mshiko kwa sasa. Asiyeenda kazini ana ugomvi si na Kikwete ana ugomvi na mahakama na hakuna cha kumlinda.
 
kikwete ni strong dictator alianza kuwazima waalimu sasa ni madactari.


si dictactor kama uwezo wa kulipa hana we unafikiri afanyeje?
Kikubwa hapa amesema ukweli kuliko kuhaidi ahadi hewa.
 
Kweli hapa hatuna kiongozi wala serikali...
Mabadiliko ni lazima kwa gharama yoyote
 
Kauli zako hazina mashiko, unaendeleza nyimbo tu za DHAIFU eti Serikali haina uwezo bila kutoa tathmini ya kuonyesha jinsi ulivyofikia hitimisho hilo. Weye ndio wale wale ambao badala ya kukaa chini na kutafakari kwa kina huwa mnakurupuka na kusifia Viongozi DHAIFU huku nchi ikizidi kuangamia

:cheer2:Zamani nilikuwa nafikiri hivi hivi kwa vile sikujua kinogaubaga. Nilipokabidhiwa jukumu katika kampuni fulani na majukumu na kuingia na kutoka unashtukia unababaika namna ya kupata za kuwalipa wafanyakazi. Rahisi kumnyooshea kidole mchezaji uwanjani ukaonekana ni mchezaji mzuri, laini kama ungeingia wewe pale uwanjani kingekuwa kichekesho cha kuwavunja mbavu watazamaji kukaba miguu ya mtu wakati mpira ulishaondoka zamani.:cheer2:
 
"kama kuna mtu wa serikali kafanya, itakuwa kwa sababu zake binafsi na siyo za serikali au kwa kutumwa na serikali".

Kwa maneno haya jk amethibitisha kuhusika moja kwa moja kwa vyombo vya usalama vya serikali
na sasa wanajipanga namna ya kuudanganya umma wa watanzania, wakini wakumbuke kuwa wanaweza kuwadanganya watu fulani kwa wakati tu lakini kamwe hawawezi kuwadanganya watu wote kwa wakati wote, kama alivyosema abraham lincolin



penye hotoba tafsiri huwa nyingi sana,hivyo yaonekana ni mtizamo wako.
 
Dada Chama watarudi kweli?

sema mume Chama; kurudi lazima watarudi serikali iliashaanza kutekeleza madai yao, sasa na wao waje na ripoti yao inayopingana na ile ya Raisi.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 

Mkuu hiyo Hotuba aliitolea wapi? Kwani "Michuzi Blog" ndo Kurugenzi yake ya Mawasiliano kwa wananchi siku hizi?




Tatizo ni kupata habari au tatizo ni Michuzi's Blog?
 
"separation of powerz na sakata la madaktari, kumbe upande mmoja unaweza kufanya maamuzi wakat suala lipo mahakamani (serikali) lakini upande wa pili unaambiwa uheshimu amri ya mahakama(bunge, madaktari), the exit point of the government !!!!!!! The best way of dispute resolution iz "negotiation and dialogue" na kutoa option kwenye "diedlock". Serikali imeshindwa kwenye "diedlock option" na kukimbilia mabavu"

moj ya comments za wadau

na hapo kwenye deadlok ndio panahitajika caucas,tena ikiwekana hata rhodes fomula itumiwe.
 
Hivi mbunge mmoja kwa mwezi analipwa mshahara pamoja na marupurupu shilingi ngapi na anafanya kazi gani hasa ukilinganisha na daktari.Wengi kazi yao ni porojo na matusi na ahadi hewa.
Swali lingine ni kiasi gani kila mbunge alikopeshwa mara baada ya kuanza hiyo kazi.Hizo fedha zilitoka wapi kama siyo hazina yetu?Kwanini iwezekane kwa wanasiasa na sio watumishi wengine wa umma?Mbunge anapostaafu baada ya miaka 5 analipwa kiasi gani na hizo fedha zinatoka wapi kama sio hii hazina yetu?Kwanini inawezekana kwa wanasiasa tu?
Tuna macho,masikio,akili timamu na kamwe hatuwezi kudanganywa na wanasiasa hawa.
 
rais anachopaswa kuelewa suala la ulimboka ni RISK AREA YAANI NI RAHISI KUABIKA NA UWEZEANO HUO N MKUBWA SANA sababu ziko nyingi sana kubwa ni kwamba ulimboka bado yupo hai.pili taarifa kuwa ulimboka ametekwa ziliwafiia polisi mapema saana na hawakufanya kitu chochote hii inamaana walihusika by ommision or commision


Kimsingihatuambiwi nini cha kuamini na rais ,tunamsubiri ulimboka aongee, NA yeyote anayejaribu kutuambia nini cha kuamini akiwemo pinda na wabunge wa chama chake na sasa rais anajisumbua na wanajisumbua

Swala la ulimboka limewagawa watz wanaomini kuwa serikali imehusika na wasioamini litle can be done to change that fact
 
A=Excellent
B=Very good
C=Good
D=Average
E=Satisfactory
S=Weak (Dhaifu)=JK
F=Poor
 
Sio kabariki kama Daktari anaona mshahara mdogo akatafute kazi sehemu ingine.
 
Kikwete hawajui Madaktari,umafia wake kwao unaishia miguuni,na aombe mungu asianguke tena jangwani
 
Jamani huyo Rais wetu ni mjinga sana. Huko Rwanda wanalipua madaktari $1,500 kwa hivyo anasema eti walipua Tshs 900,000/- hiyo ni akili ??? JK kweli ni mjinga sana ajasoma kabisa. Yani kweli ni mjinga kweli kweli kwa sababu anazungumza kitu ajui. Kwanini Wabunge pesa upo yakuwalipa hata kama wana lala Bungeni lakini wadaktari anaona Serikali aina pesa. Kweli avai kabisa kwa Rais. Asiwatishe madaktari aje basi kufahiyo joho kufanya kazi ya udaktari au mwanae. MSHENJI JANA --- ANATUBOA HOTUBA YAKE

AENDE KUTUPIA WATOTO WA NURSERY. MSHENJI AWAFUKUZWE BASI ILI AFANYEKAZI YEYE HUKO HOSPITAL. KIKWETE ENDA SHULE POMBAVU. USIWATISHE MADAKTARI.
 
Back
Top Bottom