he is a failure leader hafai hata kidogo analete bifu za mtaani kwenye jambo lamaana kama hili anafikiri ni bongo movie wanaetafuta sterling, hata nchi kubwa kama marekani wasingethubutu ku treat madaktari wao tena wa public sector kama huyu mtu anavyotaka kuonesha, hiii kw amtu mwenye akili anajua kwamba with or without kumuua ulimboka inatosha tena sana kuondoa serikali yake madarakani, na hapa ndipo napomuona lowasa muoga let him come out now atangaze kutokubaliana na serikali inavyohandle swala la madaktari, hata mimi nisiyekkubaliana na wizi wake ntakua upande wake, maana pesa alizoiba zinaweza kurudi lakini sio wagonjwa wanaotiririka kufa kama sisimizi mahospitalini na sisi tunamuangalia tu huyu ****** akicheza makida makida, mapinduzi yanataka uongozi, na huu ndi muda wa lowasa kutuonyesha tofauti ya yeye ni huyu boys to men, tulipofika Tanzania inataka kiongozi jasiri, Lowassa haihitaji CCM isipokua CCM inamuhitaji lowasa huu ndio ukweli, hakuna amri ya kukamata itakayotekelezeka juu ya Lowasa come out now Morani man ili Tanzania ipone humiuhitaji kikwete wewe kutafuta urais, show us the difference today, tunataka action kwa sasa toka i am telling you utakua musa wa Tanzania leo, Ulimboka could be fred wako ama any of those young people unaojua hawana makosa wanaingizwa kwenye haya kwa kuwa JK hana uwezo ni DHIFUEST MARA ELFU, come out now I am challenging you uone mungu atakavyokuinua na jeshi kubwa la wananchi litakavyokupokea huhitaji chama kuwa kiongozi,na huhitaji urais kuwa shujaa, do it now historia itakuandika soma hii hotuba ya kuandikwa na wakina michuzi na premy na Kim Kimbanga ndio utaelewa tuna deal na kituko gani