Nimesikitika sana kama kweli hukutaka raisi aongelee suala la madaktari.....sijui ulitaka kusikia nini? eti unasema kuhusu sheria za bunge.....hizo sheria zipo ili kumsaida spika aongoze bunge...WACHAGA BANAAAA!!!!! Any way karibu jf naona umejiunga jana
mbona jk hajasema wagonjwa watatibiwa na nani iwapo madaktari wataacha kazi?
Pambaf wa mwisho wewe kwanini siku zote huendi mahakamani kwaajili ya huo wizi wa vifaa unakimbilia kusemea jf hapa sio takukuru wala mahakamani wala sio polisiTahrir utaenda na nani wewe?
Tumeanza kufuatilia deal zote za madaktari Tanzania kwa ufupi
a. Hawafanyi kazi masaa yanayotakiwa katika hospitali ya taifa muda mwingi wako katika hospitali binafsi wanavuta kati ya tsh 300,000-1,000,000/- kwa siku huku wananchi maskini wakiwapa foleni na kuwapangaia tarehe bila sababu afadhali tuajiri wageni ambaye atafanya kazi full time na wagonjwa wetu watatibiwa
b. Wanatumia vifaa vya serikali (hospitali ya serikali) kufanya diagnosis ya wagonjwa kutoka kwenye hospitali na dispensary zao bila kuilipa Muhumbili chochte, hivyo kufichakaza vifaa vya hospitali, kuongeza foleni kwa wagonjwa muhimbili kupata majibu yao vipimo vyao..tabia chafu na morally inaapropriate..
c. Viongozi wa vitengo (wakuu wa idara) ambao ni madrs kuuza vifaa na spea za goverment hospital facilities kwa private hospital hivyo serikali kuishia kuwa na hasara ya kununua kila mwaka, ...
Bado mengi yataibuka..bado saana..issue yao
Kichwa cha hbr haijaenda sawa na post!
Nilitegemea kuona majina ya Madaktari ambao wangeacha kazi.
Wanatibiwa madrassaKwani sasa hivi walivyogoma wagonjwa wanatibiwa na nani?
we fikiri chanya na toa hoja si umbea sinaga tabia ya kutuka lakin leo umenikera sasa wachaga wamekujaje hapo,jifunzen kuoneza ufaham na kujibu hoja na sikuleta ubaguz hapaNimesikitika sana kama kweli hukutaka raisi aongelee suala la madaktari.....sijui ulitaka kusikia nini? eti unasema kuhusu sheria za bunge.....hizo sheria zipo ili kumsaida spika aongoze bunge...WACHAGA BANAAAA!!!!! Any way karibu jf naona umejiunga jana
Yale Maneno yako iliyo yakariri naona umeyaacha Leo "Tumeshawazoea matusi,jazba,fitina,uzembe,udi ni,ukabila,chuki binafsi,mbwembwe,kukosa hekima na busara hizo ni baadhi ya tabia chafu za Chadema,wanachama na viongozi wao! Wewe wala usishangae ukisema jambo lolote linawauma na watakushambulia kwa maneno makali na matusi mazito ,usikate tamaa wewe sema na endelea kuelimisha jamii ya watanzania kokote ulipo kuwa Chadema hawafahi kupewa madaraka kutokana na tabia zao chafu ili kulinda Amani,Umoja na Mshikamano wa watanzania!"wewe ndiyo mpuuzi,utafanyaje majadiliano na mtu ambaye hataki kuja mezani kukaa nawe? Serikali imewaita na kuwabembeleza sana hawataki,mahakama nayo imewaita na pia ikatoa amri wasitishe mgomo hawataki,wewe ulitaka serikali ifanyekje mbona unailaumu serikali bure si vizuri acha unafiki mbona unaegemea upande mmoja kulaumu serikali tu kwa nini usiwalaumu na madaktari wadai madai yao kwa busara na wala si kwa njia ya mgomo manake ndugu zetu wanakufa roho zao hazitarudi mgomo ukiisha,bila shaka wewe utakuwa mfuasi wa chadema manake nyie chadema inasemekana ndiyo washawishi wakubwa wa fujo,maandamano na migomo yote hapa nchini wenyewe nmnafurahia ili serikali ya CCM ionekane imeshindwa kutatua kero na matatizo yanayowakabiri watanzania!
Wanatibiwa madrassa
Pambaf wa mwisho wewe kwanini siku zote huendi mahakamani kwaajili ya huo wizi wa vifaa unakimbilia kusemea jf hapa sio takukuru wala mahakamani wala sio polisi
President Jakaya Kikwete, a handsome smiling dictator is a fundamentalist moslem who has been always embraced by both western and Islamic countries with much economic support! Tanzanians are unfortunate because although they are blessed with a good number of natural resources, their country is still in a vicious cycle of poverty.
While Kikwete is the first beggar president in the world, corruption is the daily lifestyle in his country. His secret meetings with Iranian officials has led Tanzania to fall under the influence of Moslem radicals. As a consequence, UAMSHO (a terrorist group) which is financially supported by Iran, has emerged in the Island of Zanzibar.
The group is aiming at separating Zanzibar from the Union with Tanganyika/mainland and have its own Islamic state. President Kikwete is quiet and happy with that terrorist movement!
Ukiweka hela za wizi uswisi hizo naona hazifuatiliwiNdio tumeanza kuwafuatilia sasa..achana na zamani...
From now on..ukitumia vifaa vibaya vya hospitali ya taifa kwa biashara binafsi utadakwa
President Jakaya Kikwete, a handsome smiling dictator is a fundamentalist moslem who has been always embraced by both western and Islamic countries with much economic support! Tanzanians are unfortunate because although they are blessed with a good number of natural resources, their country is still in a vicious cycle of poverty.
While Kikwete is the first beggar president in the world, corruption is the daily lifestyle in his country. His secret meetings with Iranian officials has led Tanzania to fall under the influence of Moslem radicals. As a consequence, UAMSHO (a terrorist group) which is financially supported by Iran, has emerged in the Island of Zanzibar.
The group is aiming at separating Zanzibar from the Union with Tanganyika/mainland and have its own Islamic state. President Kikwete is quiet and happy with that terrorist movement!
![]()