mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 623
- 430
Mimi sikuwepowakati tukitawaliwa na wazungu lakini huwa najiuliza maswali mengi sana juu ya binadamu mweusi.Haya yanayotokea sudani ya kusini yalinifanya niisome tena hii hotuba. Hakika mtu mweusi ni majanga.Najua wengi wenu mtakuwa mlishaisoma lakini nataka tu tujikumbushe ili tujione kama kweli tunabadilika.