johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Umoja wa kitaifa ni muhimu!Makofi na Vigelegele kwa Mamaa!!! Tuijenge nchi yetu!
Sasa mama ndo ANA'MAKE TANZANIA GREAT AGAIN"Mataga ntaambia nini watu mimi
Wahamiaji wa kununuliwa hakinabtena maana akiwahitaji atawatafuta maenyewe.
Kwani na wewe ni mpinzani?Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabafiliko yatakayoleta Umoja wa kitaifa.
Source TBC!
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika serikali yake.
Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabafiliko yatakayoleta Umoja wa kitaifa.
Source TBC!
Unanijua? Làbda weweNini wewe??
Akionjeshwa uongozi serikalin uchaguzi unaofuata ni lazime aunge juhudi. Hii ni hatari sana kwa afya ya upinzaniMakofi na Vigelegele kwa Mamaa!!! Tuijenge nchi yetu!
Nenda kwenye kaburi la Jiwe then jipige kifuani ukilia ukisema"Kayafa ulitulisha ujinga na upumbavu"Mataga ntaambia nini watu mimi
Bwashee umekuwa Sigara kaliUmoja wa kitaifa ni muhimu!