Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake.

Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa.

Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye weledi na umahiri anayeweza kuleta manufaa kwa Taifa nitamuingiza afanye kazi, sitochagua huyu katoka Chama kipi yule katoka Chama gani lengo letu ni kujenga umoja wa Watanzania

Rais.png


FULL:


 
Bado matakwa yetu Watanzania ya kutaka Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi yako pale pale. Hii danganya toto haisitishi matakwa hayo. Zitto ameula Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. 😜😜
Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika serikali yake.

Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabafiliko yatakayoleta Umoja wa kitaifa.

Source TBC!
 
84 Reactions
Reply
Back
Top Bottom