Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Kuna mmoja nilipiga nae story , kaniuliza unakula kisamvu cha kopo? nikashangaa sielewi.. Basi siku nakutana nae kwenye mechi, Kila wakati anasema shuka chini mimi sielewi. Mwisho nikashuka chini kumsubiria, aisee nilichoambulia nakijua mwenyewe kumbe alitaka nimtigolize.
Haa ha haaa...nouma sana
 
Leo unakataa kuruka ukuta ,kesho unatoa mimba ,kuna aliyemzidi mwenzie hapo?,wote ni motoni tu
Ndio kuna aliyemzidi mwingine,kuruka ukuta ni kitendo kibaya kinachozidi unyama,kutoa mimba ni unyama,ndio maana wanaoruka ukuta wengi hawana ujasiri ukimwangalia machoni,lazima aangalie chini au akwepe coz ameshatoka kwenye state ya ubidadamu na unyama pia yupo kwenye ushetani full
 
unakuta huyo ndo your future wife, God forbid! [emoji30]
d8a575d7e1605c33908bf8cdb909bc3e.jpg
Khaaaa!!
 
Sababu huko mbele tunakuwa vibamia. Nyuma angalau hakuja chezewa sana.
 
Huu ni mtandao wa jamii na kazi yake ni kuelimisha jamii.

Kuna hii tabia imeibuka ya ufanywaji mapenzi kinyume cha maumbile. Dunia imeharibika hii sio mchezo. Asilimia kubwa ya wanawake tulishapitia dhahama ya kuombwa huo mchezo na wengine wameshafanyishwa kabisa.

Najiuliza jamani haya mambo nyie wanaume mmejifunzia wapi? Yana raha gani mkiulizwa? Na msipofanya mtakuwaje?

Acheni kuwachezea watoto wa watu hao ndo mama na binti zenu wa kizazi kijacho

cc kwa serikali
Ombi kwa serikali yetu, kuna haja ya kufanya kampeni juu ya jambo hili, vijana wa kike na wa kiume wanapaswa kujulishwa madhara yake, wanapaswa wajitambue.
Wengi huharibika shuleni wakiogopa kupata mimba na wengine kulinda bikira zao..
 
Ni ujinga Kupakua na kupakuliwa mtaro laana hii, mwisho waja, hivi mtu wazibua chemba Seriously bila wasiwasi dushe lakusimama kabisa na mwanamke nawe wakata mauno mwachezea matope kabisaaa ptyuuuuu laana sumakah
 
Back
Top Bottom