Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

Hot discussion: Wanaume wa Tanzania na mapenzi

WASICHANA WANATABIA YA KUTAFUTA SUKARI KWENY CHUMVI,matokeo yake akikosa anamlaumu mwanaume.

Sifa ya mwanaume ni UANAUME,Sasa ktk ulimbukeni WA kumridhisha mpenziwe,huingia ujingani NA KUCHIMBA KABURI LAKE LA SIKU ZIJAZO.

-Mungu atuepushe SODOMA&GOMORRAH
 
Kuna wanawake ukisoma comment zao unajua mtumiaji...
Mtu anasema hataki fanywa ila kushikwa anakubali LadyRed upooooo
 
Umeonaeee. Halafu tatizo lake analazimishia na kulazimisha huko analazimishia kwenye mambo ya kipumbav*

Pia nimeamua kumuweka kwenye lile kundi la wale wanaume ambao hawajakamilika sababu kwa mwanaume aliyekamilika hawezi kuanza kumfuata fuata mwanamke pasi sababu za msingi .

Na mazowea hayakatazwi ila tucheke kwa vitu vya msingi sio vile vya kipuuz*.

Nashukuru sana dadake. Ubarikiwe.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nani anataka mazoea na wewe mnuka mavi?
 
Mkuu, mfiraji na mfirwaji hawatauona Ufalme wa MUNGU kamwe kama hawatatubu na kuacha kabisa uchafu huu. Wanawake siyo kisingizio hata kidogo. Sisi wanaume pia wengi wetu tunapenda sana huo "ufirauni" na mara zote tumekuwa tukiona ni sifa kuwafanya wanawake kinyume na maumbile yao.

BABA MUNGU amenyamaza kimya tu kwa sababu ya upole wake, huruma na uvumilivu. Lakini siku hasira zake zitakapofurika atapiga kelele kama mwanamke aliye kwenye utungu wa kuzaa na hapo ndipo watu watakapolia na kusaga meno.

ISAYA 42:14, imeandikwa hivi; "siku nyingi nimenyamaza kimya, nimenyamaza nikajizuia; sasa nitapiga kelele kama mwanamke aliye katika kuzaa; nitaugua na kutweta pamoja pia".
Unachokisema upo sawa lkn umesoma vizuri mleta uzi alichoandika...?!Huo mzigo wametuangushia.....hapo ndo nilipopata shida kubwa kumuelewa....
 
Endelea kumtumikia shetani siku akikuchoka utajuta!
Basi tuacheni tabia za kutumia viungo visivyostahili wakati wa mapenzi. Ulimi kuzama ni kinyume, mdomo kushika mic ni kinyume pia, wengine wanaenda as far as kulamba tigo.
 
Basi tuacheni tabia za kutumia viungo visivyostahili wakati wa mapenzi. Ulimi kuzama ni kinyume, mdomo kushika mic ni kinyume pia, wengine wanaenda as far as kulamba tigo.
Acha kabisa
 
Ndio kuna aliyemzidi mwingine,kuruka ukuta ni kitendo kibaya kinachozidi unyama,kutoa mimba ni unyama,ndio maana wanaoruka ukuta wengi hawana ujasiri ukimwangalia machoni,lazima aangalie chini au akwepe coz ameshatoka kwenye state ya ubidadamu na unyama pia yupo kwenye ushetani full
Kwa wanaume inakua staha ishamtoka jmn..akiongea utasema hee uyu vp jmn ni crazy ama ni vp...manaa anayoyafanyaa chaa...
 
Back
Top Bottom