ratco mchumba tu Hana bus kumzidi Tahmeed....ratco anazidiwa Na Tashrif sema ratco kwa bei tanga dar yuko juu route ya Tanga arusha kafunikwa na TashrefKWA NJIA YA TANGA MNASUBIRI KWA RATCO, HATA NAULI ZENU NI 18, RATCO 20
ratco mchumba tu Hana bus kumzidi Tahmeed....ratco anazidiwa Na Tashrif sema ratco kwa bei tanga dar yuko juu route ya Tanga arusha kafunikwa na TashrefKWA NJIA YA TANGA MNASUBIRI KWA RATCO, HATA NAULI ZENU NI 18, RATCO 20
ulibugi kupanda SaibabaTatizo basi za Arusha ni mazuri ila huduma mbovu na ubabe mwingi. Kwa mfano basi za Arusha ukizikuta Ubungo ni full AC ila mkishaiacha tu Kimara hiyo AC inazimwa kibabe.. kuna basi tulishalipeleka polisi Chalinze kwa upuuzi wao. Imagine Saibaba ya Nairobi haina entertainment yoyote???? Mabasi ya Tanga yako vizuri kwa huduma safi na jamaa hawana tamaa wana hofu ya Mungu. Ninasema hivyo kwa sababu ukiachilia mbali nafuu ya nauli pia vifurushi ni nafuu kusafirisha na salama. Tahmeed walishawahi kunisafirishia kifurushi kwa bei poa na nikakipata bila usumbufu. Hao KLM na Dar Express wanajifanya wadogo zake Mungu kwa kuweka bei kubwa hatari kwenye vifurushi. Ukifika unaulizwa kifurushi kina gharama ya Tsh ngapi? Huwa najiuliza nikiwatajia gharama ndo inakuwaje? Wataukatia bima? Bora waulize humo kuna nini na wapime ni kilo ngapi. Kwa mfano kwa huduma anazotoa RATCO akasema aweke basi Dar-Arusha lazima hiyo KLM ipate wakati mgumu. Nawashauri mabasi ya Arusha muwe na hofu ya Mungu na mjishushe mbele ya wateja wenu ili na wao wawapandishe.
Bogus usibishane naeToa evidence na uwe mkweli kabisa kwa kumuogopa mungu lini umesikia tahmeed imeanguka au kuwaka moto,halafu nipm namba yako nikutumie mamia ya picha za ajali za kilimanjaro na dar express, mbaya zaidi kwa uongo wako wiki iliyopita kilimajaro imeanguka na kuua wiki iliyopita ikitoka stand arusha
Bro jipange vizuri lasivyo nitakuona hujawahi hata kuipanda hiyo kilimanjaro,maana hapa unatia aibu tu
Heshima yako Mpwa, upo Moshi/Dar,Mbezi beachTahweed yametulia we we uwezi linganisha NA ngangafu kilimanjaro
New force hana full luxury ni Tahmeed,Shabiby na Ratco tuu seat 1x2,Ac,Wifi,toilet,charger,screen kila sitiTanzania nzima Tahmeed Na jason wa New Force ndio wana bus nyingi luxury
hawaridhishwi na huduma ya choo au ?Aisee mkuu wanawekaga kwaya? Hiyo ruti bila hiyo kitu abiria wananuna
Vingi sana,inshorty kila utakachopata humo hutapata kwenye basi yoyote ya dar nairobi au dar arusha,
ac
Tv za kila kona
Fridge
Choo
Kahawa
Soda
Disposer
Wi-fi
Siti za ngozi
Siti nene za kujiachia
Nk.ukiwa tayari nicheki
Exactly ukweli tupuNew force hana full luxury ni Tahmeed,Shabiby na Ratco tuu seat 1x2,Ac,Wifi,toilet,charger,screen kila siti
Yupo njianiHeshima yako Mpwa, upo Moshi/Dar,Mbezi beach
Mkuu falcon ninataka kusafirisha parcel yangu from Moshi-Dar, approximately 25 kg. Nishauri basi zuri lisilo na longolongo na atleast charges zake zisiwe juu sana. Sitegemei unitajie Kilimanjaro/Dar ExpressExactly ukweli tupu
Ulipanda bus gani mkuuStory kila mahali ni tahmeed juz natoka moshi kwenda Dar ikatupita speed abiria wakaanza kuisifu kwamba is the only luxury bus katika hii route, KLM,Dar Exp ni enzi hizo nilikua nazipend but kwa sasa nikienda ubungo au stend moshi/arusha naangalia kwanza plate no ya gar kama ni current then naangalia sifa nyingine ili niweze toa pesa ya nauli
Contacts in case itakuwa vyema...Mkuu falcon ninataka kusafirisha parcel yangu from Moshi-Dar, approximately 25 kg. Nishauri basi zuri lisilo na longolongo na atleast charges zake zisiwe juu sana. Sitegemei unitajie Kilimanjaro/Dar Express
Nicheki inbobo nikupe namba ya mtu atakae kupa risiti ya mzigo tahmeedMkuu falcon ninataka kusafirisha parcel yangu from Moshi-Dar, approximately 25 kg. Nishauri basi zuri lisilo na longolongo na atleast charges zake zisiwe juu sana. Sitegemei unitajie Kilimanjaro/Dar Express
Nicheki inbobo nikupe namba ya mtu atakae kupa risiti ya mzigo tahmeedMkuu falcon ninataka kusafirisha parcel yangu from Moshi-Dar, approximately 25 kg. Nishauri basi zuri lisilo na longolongo na atleast charges zake zisiwe juu sana. Sitegemei unitajie Kilimanjaro/Dar Express
Nimeshakucheki mkuuNicheki inbobo nikupe namba ya mtu atakae kupa risiti ya mzigo tahmeed
Sasa hivi tahmeed zinaenda arusha hadi nairobiTatizo basi za Arusha ni mazuri ila huduma mbovu na ubabe mwingi. Kwa mfano basi za Arusha ukizikuta Ubungo ni full AC ila mkishaiacha tu Kimara hiyo AC inazimwa kibabe.. kuna basi tulishalipeleka polisi Chalinze kwa upuuzi wao. Imagine Saibaba ya Nairobi haina entertainment yoyote???? Mabasi ya Tanga yako vizuri kwa huduma safi na jamaa hawana tamaa wana hofu ya Mungu. Ninasema hivyo kwa sababu ukiachilia mbali nafuu ya nauli pia vifurushi ni nafuu kusafirisha na salama. Tahmeed walishawahi kunisafirishia kifurushi kwa bei poa na nikakipata bila usumbufu. Hao KLM na Dar Express wanajifanya wadogo zake Mungu kwa kuweka bei kubwa hatari kwenye vifurushi. Ukifika unaulizwa kifurushi kina gharama ya Tsh ngapi? Huwa najiuliza nikiwatajia gharama ndo inakuwaje? Wataukatia bima? Bora waulize humo kuna nini na wapime ni kilo ngapi. Kwa mfano kwa huduma anazotoa RATCO akasema aweke basi Dar-Arusha lazima hiyo KLM ipate wakati mgumu. Nawashauri mabasi ya Arusha muwe na hofu ya Mungu na mjishushe mbele ya wateja wenu ili na wao wawapandishe.
Nilikua kwenye buffaloUlipanda bus gani mkuu