Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Wahudumu hasa wadada siku hizi siyapandi wanafanya biashara mazoea tu. Kuna siku walimfokea abiria na nyodo.

Ndicho hicho wenye mabasi hawatazami kabisa, may be wanakuwa na mahusiano zaidi ya kazi ndiyo maana wahudumu wao wanakuwa vile.... it is hard to believe wahudumu wanakuwa na kauli mbaya, dharau, majivuno as if wengine si watu....wanakutazama abiria kama vile umejipakaa choo...very bad
 
Kwanza kabisa naomba nitoe pongezi kwa kampuni ya mabus ya kilimanjaro kwa kuona thread yangu wiki mbili zilizopita na kuamua kuifanyia kazi

Jumamosi hii ya juzi kilimanjaro express wameanza kufunga ac kwenye bus zao nne ambazo zitaanza kutumia ac siku ya jumatano kesho kutwa,i hope dar express nao watabadilika

Ila sasa nataka niwakosoe kilimajaro express,hivi ni ubahili kiasi gani mlio nao mkaamua kuongeza siti kwenye bus zenu zinazofungwa ac?yaani kwa kifupi haina tofauti na school bus tena za chekechea,mmebana siti ziwe ndogooo hakuna nafasi ya kuweka miguu,yaani ubahili huu umepitiliza,hii yote ni katika kushindana na tahmeed.

Sasa kilimanjaro mmebana siti ili waingie watu wengi,tv moja tu,hakuna wifi,siti sio za ngozi,charging system hakuna,fridge na disposer hakuna,halafu leo hii mnataka kushindana na TAHMEED

Ikumbukwe katika njia ya dar moshi arusha nairobi SUMATRA wamethibitisha ni TAHMEED pekee ndio bus la kifahari kwa kubandika sticker ya blue mlangoni kuthibitisha kuwa ni bus la daraja la juu sana

Mbaya zaidi TAHMEED imeleta mabus mapya zaidi ya 25 yapo yard kufikiria ziende route ipi ,hii imewaletea wamiliki wa mabus wa kaskazini waliozoea kufanya biashara kwa mazoea kitu kinachoitwa TAHMEED fever

Kigoma mbeya mwanza songea kahama singida jiandaeni
We mshkaji si bure
 
Kilimanjaro ni wasikivu mno na ndiyo maana wamekuwepo tangu mimi nikiwa mtoto kabisa enzi hizo zilikuwa zinaitwa KBS enzi mzee Maeda akiwa hai..
KBS(1967)ltd(Maeda)...... ni tofauti na kilimanjaro huyu wa sasa (Sawaya).
 
Toa evidence na uwe mkweli kabisa kwa kumuogopa mungu lini umesikia tahmeed imeanguka au kuwaka moto,halafu nipm namba yako nikutumie mamia ya picha za ajali za kilimanjaro na dar express, mbaya zaidi kwa uongo wako wiki iliyopita kilimajaro imeanguka na kuua wiki iliyopita ikitoka stand arusha

Bro jipange vizuri lasivyo nitakuona hujawahi hata kuipanda hiyo kilimanjaro,maana hapa unatia aibu tu
Tahmeed ziko barabarani toka mwaka gani?....na wewe hapo kuwa mkweli na kumuogopa Mungu.
 
Mm pia nlitaka kuuliza ili wakati ujao nijipandie
Kwakifupi hadi sasa hakuna bus nyingine zaidi ya tahmeed iliyothibitishwa na sumatra kuwa ni ya hadhi ya juu zaidi ya tahmeed hii ni kwa njia ya dar moshi arusha nairobi
 
Ndicho hicho wenye mabasi hawatazami kabisa, may be wanakuwa na mahusiano zaidi ya kazi ndiyo maana wahudumu wao wanakuwa vile.... it is hard to believe wahudumu wanakuwa na kauli mbaya, dharau, majivuno as if wengine si watu....wanakutazama abiria kama vile umejipakaa choo...very bad
Wakati mwingine abiria ndo wanafanya wahudumu wawe hivo. Mtu unakuta hajawahi kuhudumiwa kwa kunyenyekewa hata cku moja bac akiingia humo ndo analeta nyodo so wahudumu wanavumilia mwisho wanaona MTEJA NI FALA..
 
Hehehe wanawake kipare hawaendagi hata kutengeneza nywele saloon wenyewe wananyoa tu baaasi
Hahahahah kuna mmja namfahamu anasemaga kwann akatengeneze kucha, anachofanya ananunua anajipaka yy
 
Kwakifupi hadi sasa hakuna bus nyingine zaidi ya tahmeed iliyothibitishwa na sumatra kuwa ni ya hadhi ya juu zaidi ya tahmeed hii ni kwa njia ya dar moshi arusha nairobi
Taja na sifa zingine basi bwana na ww,huduma zake, kuna kitu gani na gani hahahaha cjui ndo nmepatia, naenda Pasaka mwenzako na umenishaiwishi nlipande
 
Wakati mwingine abiria ndo wanafanya wahudumu wawe hivo. Mtu unakuta hajawahi kuhudumiwa kwa kunyenyekewa hata cku moja bac akiingia humo ndo analeta nyodo so wahudumu wanavumilia mwisho wanaona MTEJA NI FALA..

Infact hiyo pia inawezekana lakini in most cases unaona mhudumu amelalamikiwa na watu zaidi ya wanne au watano walioko kwenye seats tofauti au huduma za bus fulani ndilo linalalamikiwa mara nyingi definately utajifunza kuwa mhudumu ni tatizo
 
Taja na sifa zingine basi bwana na ww,huduma zake, kuna kitu gani na gani hahahaha cjui ndo nmepatia, naenda Pasaka mwenzako na umenishaiwishi nlipande
Vingi sana,inshorty kila utakachopata humo hutapata kwenye basi yoyote ya dar nairobi au dar arusha,
ac
Tv za kila kona
Fridge
Choo
Kahawa
Soda
Disposer
Wi-fi
Siti za ngozi
Siti nene za kujiachia
Nk.ukiwa tayari nicheki
 
Vingi sana,inshorty kila utakachopata humo hutapata kwenye basi yoyote ya dar nairobi au dar arusha,
ac
Tv za kila kona
Fridge
Choo
Kahawa
Soda
Disposer
Wi-fi
Siti za ngozi
Siti nene za kujiachia🙂
Nk.ukiwa tayari nicheki
Wine je 🙂
 
Infact hiyo pia inawezekana lakini in most cases unaona mhudumu amelalamikiwa na watu zaidi ya wanne au watano walioko kwenye seats tofauti au huduma za bus fulani ndilo linalalamikiwa mara nyingi definately utajifunza kuwa mhudumu ni tatizo
Hapana usiwatetee,hao hawajapitia somo la psv na customer care
 
Back
Top Bottom