Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,198
- 162,745
Hoteli zao za njiani msosi elfu 7,huu si wizi?
Wewe jamaa kila kitu unalalamika, hakuna jema kwako.Hoteli zao za njiani msosi elfu 7,huu si wizi?
Aisee mimi pia ananishangaza kwakweli,mtu umelipa nauli ya bus vip kisha mpelekwe kula kwa mama ntilie?Wewe jamaa kila kitu unalalamika, hakuna jema kwako.
Una matatizo makubwa ya kisaikolojia
Hata mimi Kuna siku nilipanda hai express ac wamekuja kuwasha kimara toka arusha. Niliapa siji kupanda tena.Hata hizi Happy Nation mpya ziko vizur zina AC na usb charging system nikarudi Moshi na Hai Express full AC kutoka Dar ila tulivyofika same wakazima AC
Mkuu samahani kama nitakukwaza.. mimi nipe ratiba ya basi za Arusha ili niache kukariri hiyo ya saa tatu.Kila siku mnyama anaruka dar to mombasa dar to tanga dar to nairobi dar to arusha,mombasa to nairobi ,mombasa to lamu,mombasa to malindi,mombasa to kisumu,mombasa nakuru ,mombasa eldoret,monbasa kampala,mombasa kigali,mombasa to kisii etc
Kilimanjaro ni wasikivu mno na ndiyo maana wamekuwepo tangu mimi nikiwa mtoto kabisa enzi hizo zilikuwa zinaitwa KBS enzi mzee Maeda akiwa hai..
huo ni uongo chips kuku/nyama ni elfu 6Hoteli zao za njiani msosi elfu 7,huu si wizi?
Iko ya saa 12 saa 2 saa 5Mkuu Kilimanjaro hii si ile KBS ya yule mama mbabe wa Arusha. Hii ya sasa ilikuwa inaitwa Sawaya those days.
Hehehe hutaki kuokoka?Tatizo la kilimanjaro ni kama uko kanisani, kwaya mwanzo hadi mwisho sipandi tena
Nimepanda tahmèed arusha -Dar full AC tatizo hotelini Liverpool kuchafu sana.
Ana mapepo huyoHehehe hutaki kuokoka?
Mkuu hapo umenimaliza nguvu zote. Hii hotel ya Liverpool hata bure huwa sili. Chakula kibovu mno. Tahmeed kama basi wako vizuri ila hotel kama ni hiyo wajirekebishe.Nimepanda tahmèed arusha -Dar full AC tatizo hotelini Liverpool kuchafu sana.
Nami nina mpango wa kusafiri na Tahmeed soon...Wakuu juzi nimekata mzizi wa fitna baada ya kupanda Tahmeed LIVE from Tanga to Dsm. Jamaa wako vizuri mno. Ni waungwana hakuna ujanjaujanja. Safari ilikuwa nzuri kupitiliza. Nimeamua kwa safari zangu zote za Tanga au kokote Tahmeed inapopita niwe naipanda.
Nimecheka sanaTatizo la kilimanjaro ni kama uko kanisani, kwaya mwanzo hadi mwisho sipandi tena
Tahmeed imeungua jana, una swali lingine?Toa evidence na uwe mkweli kabisa kwa kumuogopa mungu lini umesikia tahmeed imeanguka au kuwaka moto,halafu nipm namba yako nikutumie mamia ya picha za ajali za kilimanjaro na dar express, mbaya zaidi kwa uongo wako wiki iliyopita kilimajaro imeanguka na kuua wiki iliyopita ikitoka stand arusha
Bro jipange vizuri lasivyo nitakuona hujawahi hata kuipanda hiyo kilimanjaro,maana hapa unatia aibu tu