Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Kilimanjaro ni wasikivu mno na ndiyo maana wamekuwepo tangu mimi nikiwa mtoto kabisa enzi hizo zilikuwa zinaitwa KBS enzi mzee Maeda akiwa hai..
Mzee hizi sio KBS ni za Sawaya
 
Tangu nije DAR miaka kumi na saba iliyopita sijawahi kupanda gari nyingine zaidi ya DAR express na KIlimanjaro
Mhhhhh acha uongo, mbona kuna siku nimekuona umepanda Sai Baba???
 
Toa evidence na uwe mkweli kabisa kwa kumuogopa mungu lini umesikia tahmeed imeanguka au kuwaka moto,halafu nipm namba yako nikutumie mamia ya picha za ajali za kilimanjaro na dar express, mbaya zaidi kwa uongo wako wiki iliyopita kilimajaro imeanguka na kuua wiki iliyopita ikitoka stand arusha

Bro jipange vizuri lasivyo nitakuona hujawahi hata kuipanda hiyo kilimanjaro,maana hapa unatia aibu tu
Klm iliyoanguka Arusha haikuua nilikuwepo kwenye eneo la ajali usipotoshe watu kwa kujipigia debe
 
Vingi sana,inshorty kila utakachopata humo hutapata kwenye basi yoyote ya dar nairobi au dar arusha,
ac
Tv za kila kona
Fridge
Choo
Kahawa
Soda
Disposer
Wi-fi
Siti za ngozi
Siti nene za kujiachia
Nk.ukiwa tayari nicheki
Choo hakitumiki kaka acha uongo
 
Nilichojifunza hapa kua huyo falcon Mombasa anafanya kujitangaza kupitia mgongo wa Kilimanjaro na wakati mwingine ukiona mtu anamponda mwenzie badala ya kusema yake basi ujue kua huyo anaesemwa ni zaidi na tishio kwake sasa kama nauli zao za kutoka dar to Arusha ni 25,000 to 22,000 mbona bei rahisi hivyo na Kilimanjaro ni 33,000 na anajaza bus 5-6 kwa siku kwa nn nyie tahmeed msitafute njia yakujipigia debe wenyewe kuliko kutumia jina la Kilimanjaro jaribuni kufanya publicity ya mabasi yenu bila kutumia jina la mwingine
 
Kwanza kabisa naomba nitoe pongezi kwa kampuni ya mabus ya kilimanjaro kwa kuona thread yangu wiki mbili zilizopita na kuamua kuifanyia kazi

Jumamosi hii ya juzi kilimanjaro express wameanza kufunga ac kwenye bus zao nne ambazo zitaanza kutumia ac siku ya jumatano kesho kutwa,i hope dar express nao watabadilika

Ila sasa nataka niwakosoe kilimajaro express,hivi ni ubahili kiasi gani mlio nao mkaamua kuongeza siti kwenye bus zenu zinazofungwa ac?yaani kwa kifupi haina tofauti na school bus tena za chekechea,mmebana siti ziwe ndogooo hakuna nafasi ya kuweka miguu,yaani ubahili huu umepitiliza,hii yote ni katika kushindana na tahmeed.

Sasa kilimanjaro mmebana siti ili waingie watu wengi,tv moja tu,hakuna wifi,siti sio za ngozi,charging system hakuna,fridge na disposer hakuna,halafu leo hii mnataka kushindana na TAHMEED

Ikumbukwe katika njia ya dar moshi arusha nairobi SUMATRA wamethibitisha ni TAHMEED pekee ndio bus la kifahari kwa kubandika sticker ya blue mlangoni kuthibitisha kuwa ni bus la daraja la juu sana

Mbaya zaidi TAHMEED imeleta mabus mapya zaidi ya 25 yapo yard kufikiria ziende route ipi ,hii imewaletea wamiliki wa mabus wa kaskazini waliozoea kufanya biashara kwa mazoea kitu kinachoitwa TAHMEED fever


Kigoma mbeya mwanza songea kahama singida jiandaeni
unapopost kitu jaribu kuwa mkweli,hizo bus mpya za kilimanjaro express hata haujaziona unasema zimeongezwa seat ,hizo bus zina seat 47 hebu tueleze ni seat ngapi zimeongezwa?tahmeed ya 2*2 ina seat zaidi ya 50 sasa usitafute kick kuipaisha tahmeed kilimanjaro express tutazidi kuwaburuza tu.pia hizo bus n mpya sasa tuambie hizo ac ambazo uliziongelea ww mpaka ukasikiwa ndio zikafungwa wakati hizo bus zimekuja tokea mwaka jana december,punguza propaganda.
 
Kilimanjaro imebase sana kwenye abiria na mizigo wale jamaa wanapiga sana hela kwenye mizigo waache tu ubahili uwezo wanao wakukimbizana na hyo Tahmeed"
Naskia sana Sifa za Tahmeed itabidi siku nibuni kisafari nijionee mwenyewe.
kilimanjaro express hatupo kwa ajili ya kukimbizana na tahmeed tupo kwa ajili ya biashara na hata tukitaka ligi hawatuwezi mchina na scania wap na wap?
 
michina ipo body tu engine,gear box na diff n scania,mchina cyo basi ya kudumu mwaka m1 tu hakuna gari.
 
Back
Top Bottom