Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Toa evidence na uwe mkweli kabisa kwa kumuogopa mungu lini umesikia tahmeed imeanguka au kuwaka moto,halafu nipm namba yako nikutumie mamia ya picha za ajali za kilimanjaro na dar express, mbaya zaidi kwa uongo wako wiki iliyopita kilimajaro imeanguka na kuua wiki iliyopita ikitoka stand arusha

Bro jipange vizuri lasivyo nitakuona hujawahi hata kuipanda hiyo kilimanjaro,maana hapa unatia aibu tu
acha uwongo Kilimanjaro haijapata ajali wiki iliyopita ni magari pekee yanayoaminika kwa wengi ndo mana real Madrid walipokuja bongo walitoka dar-moshi kwa Kilimanjaro kwenda kupanda mlima
 
acha uwongo Kilimanjaro haijapata ajali wiki iliyopita ni magari pekee yanayoaminika kwa wengi ndo mana real Madrid walipokuja bongo walitoka dar-moshi kwa Kilimanjaro kwenda kupanda mlima
Sibishani na mwehu,piga simu uulize arusha.boya we
 
Kwanza kabisa naomba nitoe pongezi kwa kampuni ya mabus ya kilimanjaro kwa kuona thread yangu wiki mbili zilizopita na kuamua kuifanyia kazi

Jumamosi hii ya juzi kilimanjaro express wameanza kufunga ac kwenye bus zao nne ambazo zitaanza kutumia ac siku ya jumatano kesho kutwa,i hope dar express nao watabadilika

Ila sasa nataka niwakosoe kilimajaro express,hivi ni ubahili kiasi gani mlio nao mkaamua kuongeza siti kwenye bus zenu zinazofungwa ac?yaani kwa kifupi haina tofauti na school bus tena za chekechea,mmebana siti ziwe ndogooo hakuna nafasi ya kuweka miguu,yaani ubahili huu umepitiliza,hii yote ni katika kushindana na tahmeed.

tahmees sasa hivi ndio basi peke linaloweza kunipeleka dar na kunirudisha arusha, kuna hewa safi, choo,sehemu ya kuchajia simu, wahudumu safi kabisa, pale sehemu ya kulia mnakaa nusu saa yaani unakula chakula kinashuka
Ni basi ambalo naweza mrecommend mtu apande.
Bravo Tahmeed
 
kwa sisi wengine,hata usemejeme,kilimankaro na dar express ni gafri zetu pasipo ubishi,ziwe nzuri au mbaya,tutapanda tu,luxury has nothing to do with safety na mazoea,klm na dar express zipo saf kiusalama na tumezoea kuzipanda
 
Vingi sana,inshorty kila utakachopata humo hutapata kwenye basi yoyote ya dar nairobi au dar arusha,
ac
Tv za kila kona
Fridge
Choo
Kahawa
Soda
Disposer
Wi-fi
Siti za ngozi
Siti nene za kujiachia
Nk.ukiwa tayari nicheki
Aisee mkuu wanawekaga kwaya? Hiyo ruti bila hiyo kitu abiria wananuna
 
Back
Top Bottom