Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

New force hana full luxury ni Tahmeed,Shabiby na Ratco tuu seat 1x2,Ac,Wifi,toilet,charger,screen kila siti
sijsema full luxury....ila ni luxury bus nyingi ambazo zimedominate sehem nyingi
 
pole sana mkuu,next time usirudie makosa kupanda basi lisilo na ac,choo,drinks na kahawa,wi-fi,charging system ,tv ziko nane,ni full movie hadi unafika
Hata hizi Happy Nation mpya ziko vizur zina AC na usb charging system nikarudi Moshi na Hai Express full AC kutoka Dar ila tulivyofika same wakazima AC
 
Hata hizi Happy Nation mpya ziko vizur zina AC na usb charging system nikarudi Moshi na Hai Express full AC kutoka Dar ila tulivyofika same wakazima AC
Gosh kwanini wazime ac same na moshi ni mbali ilipaswa wazime baada ya nyinyi kushuka kabisa
Next time panda team farasi(tahmeed)
 
Acheni kutaja gari za kinamama hizo, mashine ni ilasi nyumbu ya dar tunduma, kama unajua milio ya scania pale ndo penyewe
 
Tahmeed ni mwsho Dar Express na Kilimanjaro wakasome namba,imenibidi nijihakikishie mwenyewe
 
Labda mkuu Falcon ungetupa ratiba ya kila siku ya huyu mnyama ili JF members tusiende kwa kuviziavizia.
Kila siku mnyama anaruka dar to mombasa dar to tanga dar to nairobi dar to arusha,mombasa to nairobi ,mombasa to lamu,mombasa to malindi,mombasa to kisumu,mombasa nakuru ,mombasa eldoret,monbasa kampala,mombasa kigali,mombasa to kisii etc
 
Acheni kutaja gari za kinamama hizo, mashine ni ilasi nyumbu ya dar tunduma, kama unajua milio ya scania pale ndo penyewe
Nyumbu zote ni daraja la kawaida sana,hamna hata daraja la kati
 
Back
Top Bottom