Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Hongereni Mabasi ya Kilimanjaro Express

Wasalimie shivers au babilon
Uwe mwana una dharubu ka nini! Waifya, usiriche mamboyo. Msalimie odo, karibu kibiboni,mtimbwani, manza,petukiza, mwaboza, moa,zingibari, mbuluni,duga sigaya,duga maforoni mpaka horohoro, pasipo kusahau jesani
 
Hehehehe hayo ni maeneo ya wadigo na waduruma,kutoka hapo unapotaja hadi mombasa ni bado ni mbali sana.uvuke boda uingie lungalunga kisha uanze kuitafuta kaunti ya kwale kisha mwishoni kabisa ndio kaunti ya mombasa
Mimi sio mtu wa tanga
 
Acheni ushoroo,Tahmeed hana pumzi kuleta bus route ndefu za tanzania kwa sababu za viwango vya barabara,kigali to mombasa barabara ni high grade surfaced pavement sio kama huku tanzania kwenye poorly surface dressed pavement roads..ruti fupi ndo muafaka ndefu zitachoka mapema xana
 
aya mabas ya tahmed ni ya waarabu wazee wa majini kufukuzia ud hutupandi mkuu sisi wachaga tunapanda ya wachaga wenzetu babaake ayo peleka tanga kwenye wafuga majini
badilisha hiyo dp yako.
 
Naul ya hiyo gari ilodhibitishwa na Sumatra arusha dar ni kias gan
Nauli elfu 33. Ukipigwa 35tau. Fringe benefits: Kuna roundcake 1, one soda/water, ivory pipi 3 na maji tena. Ukifika Korogwe unapumzika for Lunch kwenye Five star restaurant. Lunch 7000tau(chips/kuku/nyamachoma).
 
Kilimanjaro ni wasikivu mno na ndiyo maana wamekuwepo tangu mimi nikiwa mtoto kabisa enzi hizo zilikuwa zinaitwa KBS enzi mzee Maeda akiwa hai..

Hizo ni kampuni mbili tofauti mkuu.
 
Exactly umesema ukweli asilimia mia
Halaf wewe unaongea lakin humjui vizuri huyo Mmmiliki wa Tahmeed nilipokwambia ni mtu wa Tanga ukasema wa duga maforoni, ha ha ha ha hata kama anaishi Mombasa kwa sasa ila Makorora ndoa alipokulia na Sahare ndipo alipomjengea mama yake. kwahiyo ni Mtanga asili Duga mafuroni kama unavyotaka, na asili ya uarabuni anayo.
 
tumekushutukia..tutazidi kupanda dar express mabasi yenu ya majini pelekeni mombasa tahmeed ndo nini?
Duhhhhhh.....

This time nitawajaribu hawa Tahmeed nione wamekuja kivipi, basi zangu ni Dar Express na Klm, ya sasa wamekuwa malimbukeni kwa hii route ya Kaskazini,customer care is almost a NIL labda itakuwa wamezidiwa wateja, Tahmeed wakiwa vizuri na kama longolongo hamna nitahamia kwao moja kwa moja,pia family na marafiki waliokuwa Dar xpress na Klm nitawashawishi wahamie huku pia...
 
Toa evidence na uwe mkweli kabisa kwa kumuogopa mungu lini umesikia tahmeed imeanguka au kuwaka moto,halafu nipm namba yako nikutumie mamia ya picha za ajali za kilimanjaro na dar express, mbaya zaidi kwa uongo wako wiki iliyopita kilimajaro imeanguka na kuua wiki iliyopita ikitoka stand arusha

Bro jipange vizuri lasivyo nitakuona hujawahi hata kuipanda hiyo kilimanjaro,maana hapa unatia aibu tu
Weka picha chache ambazo hazikubani kisheria,
 
Toa evidence na uwe mkweli kabisa kwa kumuogopa mungu lini umesikia tahmeed imeanguka au kuwaka moto,halafu nipm namba yako nikutumie mamia ya picha za ajali za kilimanjaro na dar express, mbaya zaidi kwa uongo wako wiki iliyopita kilimajaro imeanguka na kuua wiki iliyopita ikitoka stand arusha

Bro jipange vizuri lasivyo nitakuona hujawahi hata kuipanda hiyo kilimanjaro,maana hapa unatia aibu tu

hivi falcon bado zipo kweri?
 
aya mabas ya tahmed ni ya waarabu wazee wa majini kufukuzia ud hutupandi mkuu sisi wachaga tunapanda ya wachaga wenzetu babaake ayo peleka tanga kwenye wafuga majini
Hahahahahaha eti Mchagga, Mmeru, Masai, Mpare, Muarusha apande gari inaitwa "TAHMEED" aache Kilimanjaro, Dar Express na Ngurika.. Thubutuuuu
 
Halaf wewe unaongea lakin humjui vizuri huyo Mmmiliki wa Tahmeed nilipokwambia ni mtu wa Tanga ukasema wa duga maforoni, ha ha ha ha hata kama anaishi Mombasa kwa sasa ila Makorora ndoa alipokulia na Sahare ndipo alipomjengea mama yake. kwahiyo ni Mtanga asili Duga mafuroni kama unavyotaka, na asili ya uarabuni anayo.

TAHMED, TAQWA, SPIDER, NA CLASC wote ni Watanzania, ila sikuwa najua kama Spider ni mbongo
 
Back
Top Bottom