Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

Sugu moto chini bravo sugu 93 uko boda unaitafuta south africa leo hii unajichanganya tu america unafika mpaka bamaco sio tu san fransisco huko kote unafika katika kutafuta mshiko ndivyo maisha yanavyochange leo ndani ya terrano kesho vx au range.

sugu moto chini aaaaa
sugu moto chini aaaaa
sugu moto chini a a a aaaa
ni moto chini a a a a a aaaa
 
"Computer lab" ndio kitu gani hebu tufafanuliwe.
Kajenga darasa au kaweka 2nd hand computer kila shule, tuwe makini na tunachoongea.
Pengine kati ya watu waliopoteza oppurtunity nzuri ya kuwaendeleza wana Mbeya ni huyu jamaa, Bw Sugu.

Mbowe mjanja , anuma na kupulizia, alisuka hadi Kikwete alifika kwao Hai na akomba na kujengewa barabara ya lami zaidi ya kilometa 10(sawa na barabara mbadala toka Mbeya mjini na Uyole).

Huyu Sugu anaiga tu siasa za confrontation za akina Slaa ambao hawana jimbo lolote la kutetea.
Wana mbeya wanataka maendeleo halisi ya miundombinu ya kuchochea maendeleo, kitu ambacho Sugu hana idea nacho.
Hayo uliyoyaandika yanaonyesha chuki binafsi ulizonazo kwa Mh.Sugu
1. Inatakiwa ujiulize madarasa yanajengwa na Mbunge? na je hao wabunge waliomtangulia Sugu yupo aliyewahi kujenga Darasa au hata kuwa na Mpango wa Kuweka Computer(unazoziita used) kwenye shule za Sekondari.
2. Unaposema Sugu amepoteza Oppotunity ya kuwaendeleza wana Mbeya sijui unamaanisha nini, ninavyojua mimi katika eneo husika kuna viongozi mbalimbali kama vile Wakurugenzi wa Maendeleo, Madiwani, Meya na mabalaza ya Jiji, RC, DC n.k hivi kwa viongozi wote hawa SUGU yupo juu yao?
Tusiandike vitu kwa chuki tuchanganue na kuandika kitu kwa uhalisia sio kubwabwaja tu.
 
sugu moto chini aaah
sugu moto chini aaah
ni moto chini
aaah aaah aaaaaah ni moto chini
ni naniii SUGU na
naniii CHADEMA na
wapiii MBEYA
yoo yoo yoo
MAGAMBA WAMEKAAA.

bily hahahahahahaa,kitambo sana mdau,,,,,
hata mtoto wa demu wako ananiita anko sugu,,,
wananiita suguuuuu,nani??
Wananita suguuu naniii
su su su sugu,,,
wananita mr II au kwa jina lingine sugu aka mtu wa vurugu
 
Last edited by a moderator:
Sasa ndio umeongea nini?
Ukiona watu wenye akili zao wanatetea mali mbofu basi utegemee kuzorota kwa maendeleo.
Sugu ni mali mbofu.
Mkimpenda kwa sura yake mkanywe naye chai!!

Mbeya ni strategic city na si mahali pa vilaza kama ninyi kutuimbia mistari ya ghetto na uchochoroni.

Tunataka kuona barabara nzuri, maji, usafi wa jiji na sio ujinga wa piipoz.
Hivi hamuoni Mwanza na Arusha na hata Moshi zinavyopendeza??
AAAArrrgh mnanitia kinyaa!!!

Kama angetetea mambo hayo ya maendeleo na sisi tukayaona, hata mimi ningemuunga mkono.
Hamuoni Mbowe anachofanya kwao?, vitu vya maendeleo? au akili zenu ni za kutumikishwa na kupiga deki sebule za wanaowaajiri tu.

We mzee masopakyindi acha bange za chooni kwani unakaribia kurukwa na akili!
Serikali dhaifu ya ccm ndiyo inakusanya kodi zetu hivyo inawajibika kufanya hizo shughuli za maendeleo unazotaja kama miundombinu ya barabara.
Mbunge makini kama Sugu ndiye ana supplement juhudi za wananchi kwa kuchangia katika miradi mbalimbali ya elimu, afya, miundombinu na nyinginezo!
 
Last edited by a moderator:
Please,please,,,dont tell the world what you want to do,show it,mwambieni sugu kwamba ameshazungumza vya kutosha,huu ni muda wa kufanya kazi,aache kupisa soga 24 hours,maendeleo yanaletwa na matendo yenye tija

Asante mkuu umepasha vilivyo.
Kuna watu humu wanashiba miluzi ya Sugu na shati zikiwa zimepasuka mgongoni.

Wangemsaidia sana Sugu kama katika muda wake uliobaki asimaie mradi ambao angekumbukwa nao.
 
We mzee masopakyindi acha bange za chooni kwani unakaribia kurukwa na akili!
Serikali dhaifu ya ccm ndiyo inakusanya kodi zetu hivyo inawajibika kufanya hizo shughuli za maendeleo unazotaja kama miundombinu ya barabara.
Mbunge makini kama Sugu ndiye ana supplement juhudi za wananchi kwa kuchangia katika miradi mbalimbali ya elimu, afya, miundombinu na nyinginezo!

Muraa!
Bangi inalimwa kule kwenu Sirari, kwani hatujui kuwa na wewe una ka ploti!!!

Wewe wa Wancholi na Wanchoka hebu nipatie miradi mitatu tu aliyosimamia Sugu kwa mafanikio, kabla hujarudi kwenye kahobby kenu kule Sirari kupigana kwa mishale na mikuki
 
Last edited by a moderator:
Hapa Sugu mabobish ndo anauza sura!
Sasa mkuu hebu tupe na picha ya Sugu kuonyesha miradi aliyosimamia, zahanati barabara au hata hizo shule na kompyuta alizotoa mashuleni.
Kwakuwa sijaona hata picha moja ya huyu bwana hapa chini akisimamia miradi na makolombwezo mengine uliyoyataja ninaamini Sugu na huyu ndugu hawatofautiani. Ndugu mwenyewe ni huyu.....

Stephen.jpg

wasira%2Bchapa%2Busingizi.jpg
 
duu mtu anajiita great thnker hajui hata computer lab ni nn????
 
Mimi sijaelewa vp anawasomesha shule za kata. Hivi na hizo zina ada? Halafu wewe unajua maana ya computer lab?
 
duu mtu anajiita great thnker hajui hata computer lab ni nn????

Toa ushahidi wako kama Sugu anajua hata computer ni nini, achana na computer lab.

Mtu wenu wa miluzi na nyie miluzi mitupu.
 
Toa ushahidi wako kama Sugu anajua hata computer ni nini, achana na computer lab.

Mtu wenu wa miluzi na nyie miluzi mitupu.

Wana Mbeya wamemkubali sugu hadi wamemwongezea kata ya Iyela iliyokua chini ya Magamba
 
Asante mkuu umepasha vilivyo.
Kuna watu humu wanashiba miluzi ya Sugu na shati zikiwa zimepasuka mgongoni.

Wangemsaidi sana Sugu kama katika muda wake uliobaki ahasasishe mradi ambso angekumbukwa nao

Unawahi posho au? Rudi shule mdogo wangu si kushinda mitandaoni na kuhusu Sugu unajisumbua bure,rais wa Mbeya
 
Unawahi posho au? Rudi shule mdogo wangu si kushinda mitandaoni na kuhusu Sugu unajisumbua bure,rais wa Mbeya
Mkuu kwako huyo ni rais wa kata yako na vile vile upeo wako wa miluzi na mistari ya cheap hope , hip hop.
Watu wa Mbeya tunataka vitu vya uhakika kama Mwanza na Arusha , si kupiga deki kama mnavyofanya na kuishia kuuza mitumba.
 
Sugu hauziki .
Ni mali mbofu, yeye apige kelele za chama chake na kutukana viongozi.
Sugu is bad news.

hicho ni kijicho na wivu kilaza we, CCM miaka yote 50 ya uhuru imeshindwa kuboresha elimu, watu wanakuja mikakati mizuri mnachukia we huna tofauti na mchawi
 
"Computer lab" ndio kitu gani hebu tufafanuliwe.
Kajenga darasa au kaweka 2nd hand computer kila shule, tuwe makini na tunachoongea.
hapa sijui nani anatakiwa makini maana nijuavyo mimi motto anayesoma kwa 2nd hand computer ni bora kuliko asiyeijua computer kabisa. Hii ni hatua kubwa kama ameweza kuweka angalau 2nd hand computer kila shule pongezi kubwa sana
 
Back
Top Bottom