Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

Sugu hauziki .
Ni mali mbofu, yeye apige kelele za chama chake na kutukana viongozi.
Sugu is bad news.

Jinga sana wewe .Umetawaliwa na chuki binfasi ndiyo unaleta mawazo mfu kwa thinkers ? Waongo wakubwa nyie kalipeni watumishi mishahara na waambie ukweli watanzania juu ya 7 billion $ za US na umeme kwamba ni kwa nchi 8 na Tanzania inapata ka poortion tu .Then mtuletee gharama za ziara ya Obama .
 
Sasa ndio umeongea nini?
Ukiona watu wenye akili zao wanatetea mali mbofu basi utegemee kuzorota kwa maendeleo.
Sugu ni mali mbofu.
Mkimpenda kwa sura yake mkanywe naye chai!!

Mbeya ni strategic city na si mahali pa vilaza kama ninyi kutuimbia mistari ya ghetto na uchochoroni.

Tunataka kuona barabara nzuri, maji, usafi wa jiji na sio ujinga wa piipoz.
Hivi hamuoni Mwanza na Arusha na hata Moshi zinavyopendeza??
AAAArrrgh mnanitia kinyaa!!!

Kama angetetea mambo hayo ya maendeleo na sisi tukayaona, hata mimi ningemuunga mkono.
Hamuoni Mbowe anachofanya kwao?, vitu vya maendeleo? au akili zenu ni za kutumikishwa na kupiga deki sebule za wanaowaajiri tu.
 
Malayale Sugu kazi yake kutekekeza agenda anazopangiwa na Slaa, hana agenda na maendeleo ya Mbeya.
Yeye akapigwe mabomu Arusha na kupata ajali huko sisi hatusikitiki.
Kwani wewe uko Mbinguni?Kama uko duniani kuna siku na wewe utapata ajali watu hawatasikitika.
 
"Computer lab" ndio kitu gani hebu tufafanuliwe.
Kajenga darasa au kaweka 2nd hand computer kila shule, tuwe makini na tunachoongea.
Pengine kati ya watu waliopoteza oppurtunity nzuri ya kuwaendeleza wana Mbeya ni huyu jamaa, Bw Sugu.

Mbowe mjanja , anuma na kupulizia, alisuka hadi Kikwete alifika kwao Hai na akomba na kujengewa barabara ya lami zaidi ya kilometa 10(sawa na barabara mbadala toka Mbeya mjini na Uyole).

Huyu Sugu anaiga tu siasa za confrontation za akina Slaa ambao hawana jimbo lolote la kutetea.
Wana mbeya wanataka maendeleo halisi ya miundombinu ya kuchochea maendeleo, kitu ambacho Sugu hana idea nacho.

mdau kuna maeneo hata used hayana,,,umeshawai kuiona shule ya msingi SOFU IPO KISARAWE??ANGALIA AVATAR YANGU KAMA UNATUMIA PC,,,,,,
 
Safi sana mbunge kwa kufanya kazi za kibunge,tuwaache mazombi ya masisiem yaendelee kupiga meza na kusinzia hovyo!!
 
Sasa ndio umeongea nini?
Ukiona watu wenye akili zao wanatetea mali mbofu basi utegemee kuzorota kwa maendeleo.
Sugu ni mali mbofu.
Mkimpenda kwa sura yake mkanywe naye chai!!

Mbeya ni strategic city na si mahali pa vilaza kama ninyi kutuimbia mistari ya ghetto na uchochoroni.

Tunataka kuona barabara nzuri, maji, usafi wa jiji na sio ujinga wa piipoz.
Hivi hamuoni Mwanza na Arusha na hata Moshi zinavyopendeza??
AAAArrrgh mnanitia kinyaa!!!

Kama angetetea mambo hayo ya maendeleo na sisi tukayaona, hata mimi ningemuunga mkono.
Hamuoni Mbowe anachofanya kwao?, vitu vya maendeleo? au akili zenu ni za kutumikishwa na kupiga deki sebule za wanaowaajiri tu.

Nasikia sikuhz vijana wa Lumumba mumenunuliwa na solar kabisa munatembea nazo kwenye mabegi ili musivyoonekana online musijisingizie muliishiwa charge,Yataka moyo kutumikia taasisi inayoonyesha dalili zote za kuelekea kufirisika.Kwikwikwikwiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Kumbe unajua tuanenda kidigitali!
Sasa mpe Sugu salamu zangu, hatutaki miluzi
Tunataka maendeleo.
 
Sugu hauziki .
Ni mali mbofu, yeye apige kelele za chama chake na kutukana viongozi.
Sugu is bad news.

120.JPG
 
Kuuzika kwa ccm ni kugawa vitenge na kofia si computer lab...zinduka bro nchi inataka ukombozi
 
sugu moto chini aaah
sugu moto chini aaah
ni moto chini
aaah aaah aaaaaah ni moto chini
ni naniii SUGU na
naniii CHADEMA na
wapiii MBEYA
yoo yoo yoo
MAGAMBA WAMEKAAA.
 
Katika kuhakikisha kila mtoto mjini Mbeya anapata elimu sawa na wengine wenye uwezo, mbunge kupitia mfuko maalum wa elimu Mbeya amesaidia zaidi ya wanafunzi 200.Na sasa mfuko huo unafanya kazi kuhakikisha kila shule ya kata inakuwa na computer lab.

Haya ndo tuliyotaka katika kukamilisha ahadi zako!

mwanzo mzuri na ageukie swala zima la afya nalo serikali yetu sikivu imesahau wajibu wake
 
Sugu moto chini bravo sugu 93 uko boda unaitafuta south africa leo hii unajichanganya tu america unafika mpaka bamaco sio tu san fransisco huko kote unafika katika kutafuta mshiko ndivyo maisha yanavyochange leo ndani ya terrano kesho vx au range.
 
Please,please,,,dont tell the world what you want to do,show it,mwambieni sugu kwamba ameshazungumza vya kutosha,huu ni muda wa kufanya kazi,aache kupisa soga 24 hours,maendeleo yanaletwa na matendo yenye tija
 
Back
Top Bottom