Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

tangu wabunge wa ccm waka perform katika majimbo yao? wabunge wa ccm ni baridi kuanzia bungeni hadi majimboni mwao. hao akina sugu, mdee, mnyika, mbowe, wenje, msigwa, zitto, lissu etc wa chadema unaowasikia kila siku kwenye jf ni kwamba wanawapa pressure ya hali ya juu ndo maana hawaachi kuwataja. mbungeni baridi anakuwa amejipoteza mwenyewe kwenye ramani ya kuwasaidia wananchi wake waliomchagua. kwa kifupi jinsi mbunge wangu (ccm) alivyo baridi kifikra hata mawazo mimi binafsi nimemsahau hata jina lake silikumbuki kwani hana mchango wowote wa kuishtua serikali ili kuleta maendeleo hapa kwetu
 
We maspkyindi nadhani ubongo wako unchelewa kupokea na kutuma signal. Njoo Muhimbili ntakushughulikia bure!! Maana sielewi kilichokukera ni nini kwenye hii post. Sugu kusomesha watoto au kujenga comp lab?
Usiwe na wasi wasi ubongo wangu uko intact.

Bado nasema kwa jiji la Mbeya Sugu mali mbofu.
Nyie mmenunua hasara, nimesema hapa leteni ushahidi wa mafanikio yake kwa miaka yote hii, nyie ni miluzi tu na mistari ya cheap hope, hip hop.
Kila anayeitikia miluzi haleti ushahidi.
Nimesema kama mnampenda sura mkanywe naye chai, sie tunataka maendeleo ya maana kama ilivyo Mwanza au Arusha si bendeji hospitalini, hizo waachieni makatibu kata.

You guys are very very low achievers, with very low targets.
 
Sugu hauziki .
Ni mali mbofu, yeye apige kelele za chama chake na kutukana viongozi.
Sugu is bad news.

Nyie wapumbav.u mmefanya uongozi wa nchi hii ni biashara,auzike kwa faida ya nani na mnunuzi ni nani? Walarushwa na wazembe wakubwa nyie.
 
Usiwe na wasi wasi ubongo wangu uko intact.Bado nasema kwa jiji la Mbeya Sugu mali mbofu.Nyie mmenunua hasara, nimesema hapa leteni ushahidi wa mafanikio yake kwa miaka yote hii, nyie ni miluzi tu na mistari ya cheap hope, hip hop.Kila anayeitikia miluzi haleti ushahidi.Nimesema kama mnampenda sura mkanywe naye chai, sie tunataka maendeleo ya maana kama ilivyo Mwanza au Arusha si bendeji hospitalini, hizo waachieni makatibu kata.You guys are very very low achievers, with very low targets.
My friend ujui ugonjwa unaokusumbua kwa taharifa yako ni CCMSINDROME inayokusumbua. Kazi ya Mbunge siyo kuleta maendeleo yeye mwenyewe maana yeye hana fungu la pesa Serikali ndiyo yenye jukumu la kuwaletea wananchi maendeleo. Kazi ya Mbunge ni kutetea maslai ya wananchi ili wapate maendeleo endelevu na kuipush Serikali ifanye hivyo. Kama ilo halijafanyika ndo useme siyo kuleta blaa blaa za siassa hapa. Nadhani ntakuwa nimekuelimisha kama na hapa ujaelewa utakuwa unahitaji tiba mbadala.
 
Usisumbuke na aina ya ugonjwa unaonisumbua, maana waswahili wanasema nyani haoni kundule.
Hiyo ina apply kwako na wenzako msio na vision, watu ambao upeo wao maendeleo ni wa mtu aliyetoka kijijini jana na kils akionacho mjini anashangaa shangaa(wengine huwaita washamba)

Akipatikana Sugu mwingine Mbeya mjini(aina ya watu wasio na vision) Mbeya itaendelea kuwa mji pekee Tanzania yenye nyumba za matope kati kati ya jiji.
 
Sasa hapo umeongea nini? changia hoja kwa kukubali au kukataa nilichokisema siyo rongo rongo zako hizi. nahisi ntakuwa najibizana na mtu mzee sana ambaye upeo wake wa kuelewa mambo umeanza kufifia. kila la kheri
 
Nami nahisi nabishana na vipimbi vinavyotembeza nguo za mitumba pale Mwanjelwa
Naona ndo umefika,kesho utauza viazi katikati ya barabara na piipoz yako
 
Back
Top Bottom