Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

Hongera Mh. Mbilinyi kwa hili, ndo Mbeya tunayoitaka!

Vijana wa Lumumba wanapata Taabu sana namna Wananchi waliofunguka Kimawazo wanavyowapa Shida Baba Zao.
 
Sasa ndio umeongea nini?
Ukiona watu wenye akili zao wanatetea mali mbofu basi utegemee kuzorota kwa maendeleo.
Sugu ni mali mbofu.
Mkimpenda kwa sura yake mkanywe naye chai!!

Mbeya ni strategic city na si mahali pa vilaza kama ninyi kutuimbia mistari ya ghetto na uchochoroni.

Tunataka kuona barabara nzuri, maji, usafi wa jiji na sio ujinga wa piipoz.
Hivi hamuoni Mwanza na Arusha na hata Moshi zinavyopendeza??
AAAArrrgh mnanitia kinyaa!!!

Kama angetetea mambo hayo ya maendeleo na sisi tukayaona, hata mimi ningemuunga mkono.
Hamuoni Mbowe anachofanya kwao?, vitu vya maendeleo? au akili zenu ni za kutumikishwa na kupiga deki sebule za wanaowaajiri tu.

Mkuu wewe siyo type ya buku 7,kitu gani hii unaandika? Kwa usomi wako na kukulia mjini natarajia huwe na upeo mkubwa na uheshimu chaguo la wana Mbeya mjini mwaka 2010!
 
huna jipya yakuuma nini?MBONA MIZENGO MLOPOKA OVYO NA KUBWA JINGA LA IKULU WOTE WALISALIMU AMRI HADI KUMUOMBA AJE MBEYA KUTULIZA FUJO NA AKAFANIKIWA?toa hoja si ujinga wako ------ wewe.
 
You guys mngejua huo mchakato wa izo computer ulianza lini na wapi msingesifia kitu hapa...na bado hazijafika tuu since 2010
 
masopakyindi; Jina lako kama linamaanisha "macho penye ugali" sidhani kama utapenda masuala yale yasiyohusu kula!
 
Last edited by a moderator:
Katika kuhakikisha kila mtoto mjini Mbeya anapata elimu sawa na wengine wenye uwezo, mbunge kupitia mfuko maalum wa elimu Mbeya amesaidia zaidi ya wanafunzi 200.Na sasa mfuko huo unafanya kazi kuhakikisha kila shule ya kata inakuwa na computer lab.

Haya ndo tuliyotaka katika kukamilisha ahadi zako!

Hilo swala la computer lilikuwa ni sera yake 2010 na aliahidi akishinda tu angelifanyia kazi mpaka leo hakuna hata computer moja wakazi mby wanamwita mbunge yo yo yo .sugu ni janga
 
Kiongozi anayeruhusu uhalifu ni janga and the most bad news ever in our country
 
Naóna na íle barabara ya meta inafanyiwa marekebisho!!!
 
mbona hata mama yako hauziki lakn alikuzaa wewe au alibakwa?
Pole you dont deserve a civilised audience.
You perfectly know where you belong
You are low class.
Bwana mdogo nenda kwenye vijiwe watu saizi yako ambao wanaweza kukuelewa
Kama ni supporter wa Sugu, basi mustakabali wa wapenzi wake ni wa hali ya chini mno kuwa na manufaa kwa nchi
 
Mbeya tunamkubali Sugu ndio maana tumenyang'anya Kata ya Iyela kutoka CCM tukawapa CDM
 
Hivi mbona hatuletewi wanachofanya kina lusinde,serukamba,kigwangala nwa wengineo wengi kwenye majimbo yao? kila siku wa cdm tu,au nd'o kusema wabunge wa ccm wapo majimboni mwao kama walivyo kwenye vikao vya bunge
 
Asante mamii,hala hala na mshindani wako!Mzee wa masilaha hajamaliza mizunguko.
We maspkyindi nadhani ubongo wako unchelewa kupokea na kutuma signal. Njoo Muhimbili ntakushughulikia bure!! Maana sielewi kilichokukera ni nini kwenye hii post. Sugu kusomesha watoto au kujenga comp lab?
 
Ukiweka ishu za siasa pempeni: Ni jambo Jema sana Kusaidia Watoto wa Maskini anagalau wajikomboe kwa kupata Elimu.

Mungu akubariki sana Sugu.
 
Kazi ya sugu mby inaonekana kwanzia hospitali ya rufaa mby vitanda vya kisasa mazingira safi jhuduma inapatikana nzuri japo kuna watumishi wachache wakorofi.
 
Back
Top Bottom