Haituhusu.
Si tunajadiri Ujasiri wake wa Jana.
Tabia zako za Kishoga, sio mahala pake.
Maandazi Kabisa wewe!
Tz ya vi.wonder=Tz ya vi.maajabuNilishangaa yule ofisa anachomoa bastola Kwa mkono wa kushoto halafu anaishika Kwa mkono wa kulia.....nikajua moja Kwa moja jamaa hana mafunzo..... mmmmh
Siku ya leo kumetokea tukio la kustaajabisha ktk tasnia ya siasa nchini tanzania. Tukio hilo limetokea dar es salaam wakati aliyekuwa waziri wa michezo na tamaduni Nape nauye akitaka kuongea na waandishi wa habari baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya uwaziri. Nape ameondelewa leo hii katika nafasi yake baada ya mh rais kufanya marekebisho madogo katika wizara mbili.
Baada ya mh Nape kuwasili maeneo ya Pritoria hotel kulitokea tafrani baada ya watu walitambuliwa kuwa ni maafisa usalama kumzuia asiongee na waandishi na kumtaka arudi ndani ya gari. Wakati sakata hilo likitokea mmoja wa maafisa usalama alitoa bastola na kumtishia Mh Nape ambaye naye hakustuka . Afisa huyo aliirudisha silaha hiyo kiunoni kisha kuanza kumsukuma Mh nape kumrudisha ndani ya gari. Pasipo kutarajiwa kijana mmoja mtanashati aliyevaa koti jekundu alionekana kujongea kujua kinachoendelea baada ya kuona tafrani ikitokea.
Kijana huyo aliweza kutambuliwa kuwa ni mtangazaji maarufu Maulid Kitenge. Kijana huyoo aliweza kuingilia kati na kumtoa afisa usalama kwa nguvu eneo la tukio huku akimsukuma bila kuogopa. Hakika alifanikiwa akamuondoa eneo hilo na afisa huyo alitii bila shurti. Wengi tumeona na kustaajabu na hatuna budi kumpa hongera maulidi kitenge kwa ujasiri aliouonesha.
ILA
Nimejaribu kujiuliza kwa hali ya kawaida kuna raia wa kawaida anaweza kuwa na ujasiri wa namna hiyoo. Nikapata jibu inawezekana na yeye ni wale watu wanaovaa suti nyeusi(mashushu).mpaka sasa bado sijapata jibu sahihi .
Waungwana ninyi mnaonaje nawasilishaView attachment 485865View attachment 485866View attachment 485867View attachment 485868
Wewe umejuaje kama hakupitia mafunzo? Alijiamini ndio maana alisogea walikuwepo wengi pale lakini hawakuthubutu kusogea. Wewe unamjua maulid kama mwandishi wa habari ila humjui nje ya uandishi ni mtu wa aina gani. Kwako ni hatari yawezekana kwake ni kawaida tu
'Mke mwenzie' unamaana ipi?Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Aliekuambia hilo ni nani ? Kwa kigezo kipi unauthibitishia uma yakua jamaa ni Usalama?Kwani kuna mtu asiyejua kwamba kitenge ni usalama. Yule yupo katika ivi vyombo vya habari kwa kazi maalum. Jezi nambari 9 mgongoni Maulidi mbaraka wa kitenge
nakubaliana na wewe mkuu, anaeongoza nchi hii ana kazi kubwa, kumechipuka udini, ukabila, na kujuana. namuombea mungu afanikiwe. ana safari ndefu na ngumu. siwezi au nashindwa kuelezea. mungu ilinde Tanzania...!! nawaza kwa sauti tu..!!!!!.Tufanye kazi. Tuache maneno. Nchi hii ni tajiri sana tatizo watu wavivu.
Niwa kispoti bana usimchukulie poa.Afisa alijua Kitenge ni mtu wa sports jezi namba tisa Mgongoni sio wa kumchezea wakati yeye ni mtu wa bwax
Hamorapa break ya kwanza chalinze.Hapo Maulid nilimkubali kishenz yaan, jamaa hakuwa mwoga kabsa.
Ila mdogo wangu Harmo rapper alilula kona ni hatari. Alipata kiboko yake pale