Hongera Maulid Kitenge

Tutamuelewa mheshimiwa baada ya muda. Hao kina dkt. Machache wanafiki mno. Awamu wamebanwa kila kona. Hakuna kupenyeza kimemo ili kupata upendeleo. Hapa kazi tu
Mtu kama wewe utakuta hata kibaruwa cha kuokota chupa tupu huna, umekalia kuimba kama kasuku tu eti hapa kazi tu.
 
Pamoja na waliowapanga kuandika.kalam zenu mkzitumia vizuri zitaleta maendeleo. Mwakiyembe kafanye kazi. Roho inaniuma hakuna freedom ya namana hiyo. Twafaaa. Naipenda tz
 
Kwangu kafanya Kosa Kubwa Sana na la Hatari kwake .
Unapokwenda Kuoka Tukio la Mtu anayefanyiwa Attack kwa Kutumia Silaha ya Moto ..nilazima uwe Umejiandaa na Silaha Mfanano wa adui anayoitumia , iki pakitokea mazungira ya Matumizi basi uweze kujihami .

Yeye kaenda na koti la Suti la Pink na simu Kubwa Kama Bomu , Halafu anakaribiana na Adui almost Zero Distance.

Mnaomsifia Shame on You
Una uhakika kuwa na Yeye hakuwa na Silaha?!
 
Sasa Maulid Kitenge kwa akili yako anatoa wapi silaha.. usije sema na Harmorapa alitaka kuchomoa yake
Kama Mwandishi Jerry Murro anamiliki Bastola na Pingu, atashindwa vipi kua nayo Mwandishi Maulid Kitenge??
 
Siku ya leo kumetokea tukio la kustaajabisha ktk tasnia ya siasa nchini tanzania. Tukio hilo limetokea dar es salaam wakati aliyekuwa waziri wa michezo na tamaduni Nape nauye akitaka kuongea na waandishi wa habari baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya uwaziri. Nape ameondelewa leo hii katika nafasi yake baada ya mh rais kufanya marekebisho madogo katika wizara mbili.

Baada ya mh Nape kuwasili maeneo ya Pritoria hotel kulitokea tafrani baada ya watu walitambuliwa kuwa ni maafisa usalama kumzuia asiongee na waandishi na kumtaka arudi ndani ya gari. Wakati sakata hilo likitokea mmoja wa maafisa usalama alitoa bastola na kumtishia Mh Nape ambaye naye hakustuka . Afisa huyo aliirudisha silaha hiyo kiunoni kisha kuanza kumsukuma Mh nape kumrudisha ndani ya gari. Pasipo kutarajiwa kijana mmoja mtanashati aliyevaa koti jekundu alionekana kujongea kujua kinachoendelea baada ya kuona tafrani ikitokea.

Kijana huyo aliweza kutambuliwa kuwa ni mtangazaji maarufu Maulid Kitenge. Kijana huyoo aliweza kuingilia kati na kumtoa afisa usalama kwa nguvu eneo la tukio huku akimsukuma bila kuogopa. Hakika alifanikiwa akamuondoa eneo hilo na afisa huyo alitii bila shurti. Wengi tumeona na kustaajabu na hatuna budi kumpa hongera maulidi kitenge kwa ujasiri aliouonesha.

ILA
Nimejaribu kujiuliza kwa hali ya kawaida kuna raia wa kawaida anaweza kuwa na ujasiri wa namna hiyoo. Nikapata jibu inawezekana na yeye ni wale watu wanaovaa suti nyeusi(mashushu).mpaka sasa bado sijapata jibu sahihi .

Waungwana ninyi mnaonaje nawasilishaView attachment 485865View attachment 485866View attachment 485867View attachment 485868
Hahaha!!! No protea siyo pritoria
 
hahaahah kwa kuwa kazi zao wanafanya kwa siri basi tumejenga picha ni watu wenye akili za hali ya juu, kumbe ukiwaleta hadharani ni ma bashite sana. amini mkuu ndo hao vilaza
Aliongozwa na sifa akijua kuwa watu wote wataogopa mguu wa kuku ule...aaaha wapi.angepiga risasi kwa Nape yule bwana angetekea kwa matari na kamera zile.
 
Ukiiangalia clip ya tukio utangundua yafuatayo.

1:Mwanausalama/askari alitakiwa atekeleze agizo lake kwa haraka ili kupunguza madhara endapo wananchi wajekaribia eneo hilo(mob psychology), alipomkuta mh Nape aliongea nae kwa sekunde kadhaa, sekunde hizo zinatosha kujitambulisha na kumuomba arudi kwenye gari(mh hakutii), angalia anamgusa begani bado mh hakutii ndio akatoa bastola.

2: Ili kuonesha tukio ni la halali mlinzi wa Mh(japo sijui kuwa ni wa serikali au binafsi) alisaidia kumuingiza mh kwenye gari japo mh aligoma na kushikilia mlango.

3:Tuje kwa maulid, kitendo cha kuingilia kazi ambayo haimuhusu,tena kukiwa na wana usalama wenye bastola viunoni ni cha kukemewa na wapenda amani wote, yeye si mwanausalama wala security detail ya Nape (tunamfahamu kama mwanahabari). jiulize anavomshukuma mwanausalama na huyo mwanausalama akataka kujihami kwa kutumia silaha ingekuwaje, je mwanausalama akajikwaa risasi ikajifatua nani wa kumlaumu, je wananchi wanaomjua kitenge wangeingilia kati hilo sakata nini kingetokea.

4:Mwanausalama baada ya kuona wananchi wamejikusanya akaamua aondoke kuepusha shari zaidi lakini kabla alimsihi kitenge asiingilie,,,,kuna maneno kama bro sikiliza...

5:Angalie matendo aliyofanya jamaa mwingine mwenye fulana nyeusi(nahisi nae ni mwanausalama), kwa heshima alimfungulia mh mlango na kumuonesha aingie ndani ya gari alipoonesha kusita alimshika mkono kumvuta, Pale palikuwa na watu wanne tu nape angeingia kwenye gari kwa nini alikaidi, kitendo kilitakiwa kiwe kimya kmya ila mh ndie alifanya kazi ikawa ngumu kwa kukaidi. Mwenye fulana nyeusi alipoona kitenge anakuja alimsisitiza mlinzi wa mh afanye juhudi mh aingie ndani..kuna maneno yanasikika unasubiri nini. Alipoona kitenge kaingilia kati aliinama kidogo akafanya kitu wakasukumana na kujitawanya.

Kwa mtazamo wangu; Wana usalama walifanya kazi yao kwa ustadi mkubwa bila kuhatarisha usalama. Mh Nape alikosea kukaidi amri/ushauri wa kuingia kwenye gari. Kitenge alihatarisha usalama wa raia kwa kuingilia kaza za wana usalaama.

Rai yangu:

1: Wanahabari kwenye sakata kama hilo jiwekeni mbali muwaache wana usalama wafanye kazi yao.
2: Wana usalama kwenye mikusanyiko ya watu tukiacha wale wanaolinda VIP jitahidini kuhifadhi silaha zenu vizuri.
3: Wanasiasa na watu mashuhuri jitahidini kutii sheria/amri bila shuruti.

NI KWA MTAZAMO WANGU TU
 
Umejuaje kama ni mwana usalama?Ilikuaje asitoe kitambulisho?
 
Wacha kutetea Ujinga wewe, umeandika maneno meeeengii lakini yote pointless
 
Yani bado siamini kama tuna wana usalama ndezi kiasi hiki! Yani he was completely unproffesional aisee!:confused:
una mu aproach mtu mwenye heshima zake ukiwa hovyo hovyo,nguo zenyewe hazieleweki,hakuna personality yoyote,lazima akushangae kwanza.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hiyo inaitwa "abrupt secretion of adrenaline hormone" Hiyo ilitokea inaweza kuelekeza kwa moja ya matukio yafuatayo: 1. Fright! Ikitokea hivyo mtu anaingiwa na woga wa ghafla na mtu anajikuta anakimbia kutoka kwenye tukio aliloliogopa! Tulimwona mtu mmoja pale alipotimua mbio! 2. Fight! Ikitokea adrenaline ikamwelekeza mtu kwenye fight, hapo mtu hujikuta amekasirika na kupata nguvu na ujasiri wa ajabu wa kupigana! Ndivyo ilivyotokea kwa Maulidi Kitenge! Nguvu zote za mwili huelezwa kwenye misuli na umakini wa kuzidi kawaida! Ndiyo maana alipokuwa anamtoa kwenye eneo alipokaidi alimsukuma kwa nguvu na akamweza!
Yule askari alipatwa na mshtuko na ilibidi aondoke! Maana alijiuliza huyu anajua nina cha moto lakini hajasita kunikabili! Na maaskari wanajua kuwa bastola iliyoko kiunoni huwezi kuwahi kuitumia dhidi ya mtu makini ambaye yuko zero distance! Ukijaribu kuichukua mkono ushadakwa siku nyingi na itaelekezwa kwako! Alihisi yawezekana Maulidi Kitenge ni bingwa wa martial arts mwenye black belt! Ikabidi awe mpole, na kuondoka kama ifuatavyo!
 
Back
Top Bottom