Hongera Maulid Kitenge

Hongera Maulid Kitenge

Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Hii summary siyo ya nchi hii
 
Afisa alijua Kitenge ni mtu wa sports jezi namba tisa Mgongoni sio wa kumchezea wakati yeye ni mtu wa bwax
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kwangu kafanya Kosa Kubwa Sana na la Hatari kwake .
Unapokwenda Kuoka Tukio la Mtu anayefanyiwa Attack kwa Kutumia Silaha ya Moto ..nilazima uwe Umejiandaa na Silaha Mfanano wa adui anayoitumia , iki pakitokea mazungira ya Matumizi basi uweze kujihami .

Yeye kaenda na koti la Suti la Pink na simu Kubwa Kama Bomu , Halafu anakaribiana na Adui almost Zero Distance.

Mnaomsifia Shame on You
Hujui kitu

Ova
 
Ilaa ki2 ambachoo nashndwa kuelewa hili jeshii la polisi linatumika vipi kwa kawaida polisi lazima aonyeshe kitambulisho sasa nilichoshangaa jamaa kachomoa silaha yakee iyoo iko vipii wadau ?????
Umemaanisha nini hapo,huku sio FB jaribu kuandia kwa usahihi.
 
Siku ya leo kumetokea tukio la kustaajabisha ktk tasnia ya siasa nchini tanzania. Tukio hilo limetokea dar es salaam wakati aliyekuwa waziri wa michezo na tamaduni Nape nauye akitaka kuongea na waandishi wa habari baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya uwaziri. Nape ameondelewa leo hii katika nafasi yake baada ya mh rais kufanya marekebisho madogo katika wizara mbili.

Baada ya mh Nape kuwasili maeneo ya Pritoria hotel kulitokea tafrani baada ya watu walitambuliwa kuwa ni maafisa usalama kumzuia asiongee na waandishi na kumtaka arudi ndani ya gari. Wakati sakata hilo likitokea mmoja wa maafisa usalama alitoa bastola na kumtishia Mh Nape ambaye naye hakustuka . Afisa huyo aliirudisha silaha hiyo kiunoni kisha kuanza kumsukuma Mh nape kumrudisha ndani ya gari. Pasipo kutarajiwa kijana mmoja mtanashati aliyevaa koti jekundu alionekana kujongea kujua kinachoendelea baada ya kuona tafrani ikitokea.

Kijana huyo aliweza kutambuliwa kuwa ni mtangazaji maarufu Maulid Kitenge. Kijana huyoo aliweza kuingilia kati na kumtoa afisa usalama kwa nguvu eneo la tukio huku akimsukuma bila kuogopa. Hakika alifanikiwa akamuondoa eneo hilo na afisa huyo alitii bila shurti. Wengi tumeona na kustaajabu na hatuna budi kumpa hongera maulidi kitenge kwa ujasiri aliouonesha.

ILA
Nimejaribu kujiuliza kwa hali ya kawaida kuna raia wa kawaida anaweza kuwa na ujasiri wa namna hiyoo. Nikapata jibu inawezekana na yeye ni wale watu wanaovaa suti nyeusi(mashushu).mpaka sasa bado sijapata jibu sahihi .

Waungwana ninyi mnaonaje nawasilishaView attachment 485865View attachment 485866View attachment 485867View attachment 485868
Ushaisoma habari ya "Kibanga ampiga mkoloni?"
 
Ilaa ki2 ambachoo nashndwa kuelewa hili jeshii la polisi linatumika vipi kwa kawaida polisi lazima aonyeshe kitambulisho sasa nilichoshangaa jamaa kachomoa silaha yakee iyoo iko vipii wadau ?????
Jamaa hakuwa na kitambulisho wala cheti
 
Kinga ni bora kuliko tiba, usalama alikuwa sahihi kutoa silaha bila kuitumia ili kupunguza uwezekano na ulazima wa kuitumia. watu wakijuu kuwa kuna silaha wanabadilisha tabia.
Labda Hamorapa ndo alibadili tabia mbona akina Maulid walikomaa
 
...Kama ukifatilia Vizuri hiyo clip...Kitenge katoa wapi ujasiri wa kumzui huyo jamaa huku anamuambia unaharibu mambo...
Kama isingelikuwa na yeye usalama asingesema chochote..

Nahisi kitenge mtu wa usalama!
 
Mbona yule polisi alifiata mkia haraka sana
 
Back
Top Bottom