Acha kujifanya unawajua sana. Tunawajua wa enzi za Mwl, acha kuleta za ufalme juha hapa.Unawajua usalama wew??? Tuulize sis tunaokaa huku makumbusho usilopoke usichokijua
Acha kujifanya unawajua sana. Tunawajua wa enzi za Mwl, acha kuleta za ufalme juha hapa.Unawajua usalama wew??? Tuulize sis tunaokaa huku makumbusho usilopoke usichokijua
Shame on you too!Kwangu kafanya Kosa Kubwa Sana na la Hatari kwake .
Unapokwenda Kuoka Tukio la Mtu anayefanyiwa Attack kwa Kutumia Silaha ya Moto ..nilazima uwe Umejiandaa na Silaha Mfanano wa adui anayoitumia , iki pakitokea mazungira ya Matumizi basi uweze kujihami .
Yeye kaenda na koti la Suti la Pink na simu Kubwa Kama Bomu , Halafu anakaribiana na Adui almost Zero Distance.
Mnaomsifia Shame on You
'95 mpaka '98 ni muda mrefu sana.Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Haituhusu.Kithenge ni Form Four Failure, mwambieni Aoneshe Cheti. Div 4 Point karibu na 30
Hana Busara ila amekaa kimbea mbea flan tu, kipindi cha Muhdin Ndoranga FAT ya wakati huo sasa TFF alizabwa vibao, huwa hajatulia.
Napie nae ni walewale, nae Form Four Failure, mwambieni atoe cheti muone. Hana Tofauti hiyo wa juu.
Kwa hiyo ni kundi linalitafuta fursa ktk maeneo yasyo na technical skills za maana.
Sijawahi kumkubali zaidi kuona ni mpiga Zumari aliyekuwa anasaka Tonge.
Alipewa Jimbo la Mtam ili Memba achukue nchi, lakini equation iligoma kubalance pale Dodoma.
Tantalila zilipozidi JPM alimtoa ktk misafara yake ya kampeni.
Tunajua, huyu ni kimeo
Sure! Lilikua ni kosa la kijinga Sana! Adui ambaye naye akiwa Na siraha akuangalie kwa sekunde zote 3 Wakati unaigeuza silaha Ili uishike Vizuri!Nilishangaa yule ofisa anachomoa bastola Kwa mkono wa kushoto halafu anaishika Kwa mkono wa kulia.....nikajua moja Kwa moja jamaa hana mafunzo..... mmmmh
Kwa hiyo hata ile zero yake ya Al-haramain ni ya Kiusalama usalama! Naskia Bashite nae Usalama!Kwani kuna mtu asiyejua kwamba kitenge ni usalama. Yule yupo katika ivi vyombo vya habari kwa kazi maalum. Jezi nambari 9 mgongoni Maulidi mbaraka wa kitenge
Francis CizzaHivi radio anayotangaza kitenge, mkurugenzi ni nani vile?
Duuuh. Na kuna ile avatar palee!mkuu hiyo signature,duh!!!!
Duuh.....blaza husomeki....too ambiguous...Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Ngoja niwepe mwanga kidogo ivi maulidkitenge alienda kumkingia nape kifua yye kama nan kajiamini nni
na alipo kuwa anamsukuma yule usalama je akujua kam ni usalama na kama akujua kwanni usalama aliskiliza agizo la kitenge badala la mkuu aliemtuma
Maneno yakitenge kwamba unaharibu anahalibu nni kayatoa wap
majizo kaka jua kitenge anakupeleleza uyo ni usalama kuwa makin
Na yule usalama mbna alipo zuiwa na kitenge akapotea inamana kitenge anasauti kubwä yakumfanya ache alichotumwa au alimuoogopa kitenge sio kweli
Sasa hii choma na kitimoto swaaafiHamorapa bwana..ngoja niburudike mie nilale maana mambo ya bashite magumuView attachment 485893
Wewe umejuaje kama hakupitia mafunzo? Alijiamini ndio maana alisogea walikuwepo wengi pale lakini hawakuthubutu kusogea. Wewe unamjua maulid kama mwandishi wa habari ila humjui nje ya uandishi ni mtu wa aina gani. Kwako ni hatari yawezekana kwake ni kawaida tuSijakipinga Kitendo cha Kishujaa alichokifanya Maulid Baraka Kitenge ila najaribu tu kumtahadharisha kuwa siku zingine ajitahidi kuwa makini sana kwani katika matukio kama yale umakini huhitajika mno kuliko kujipendekeza kwani huwezi jua temper ya Mtu ipoje pale hasa ambaye ameshapewa maagizo maalum kutoka kwa Mtu au Taasisi maalum.
Laiti ungekuwa angalau tu umepitia JKT kidogo au umeiva katika Sanaa za Kimapigano nadhani ungenielewa hicho nilichokiandika hapo ila kwa povu lako Kwangu nimegundua Wewe ni mtupu Kimedani ya Kivita au ya Kimapigano. Leo tunamsifi Kitenge ila nikuhakikishie tu Mkuu kuwa Kitendo chake kile cha jana kilikuwa ni cha hatari na alikuwa anajihatarishia pia na yeye.
Tuwe makini sana hasa katika Emotional gatherings kwani huwezi jua adui yako hapo ni nani.
Kila la kheri Mkuu.
makamu wa RaisBashite ndio nani?