Hongera Maulid Kitenge

Hongera Maulid Kitenge

hahaahah kwa kuwa kazi zao wanafanya kwa siri basi tumejenga picha ni watu wenye akili za hali ya juu, kumbe ukiwaleta hadharani ni ma bashite sana. amini mkuu ndo hao vilaza
Namshangaa wapo wengi vilaza sana wapo huko waliingizwa kimazabe
 
Kwangu kafanya Kosa Kubwa Sana na la Hatari kwake .
Unapokwenda Kuoka Tukio la Mtu anayefanyiwa Attack kwa Kutumia Silaha ya Moto ..nilazima uwe Umejiandaa na Silaha Mfanano wa adui anayoitumia , iki pakitokea mazungira ya Matumizi basi uweze kujihami .

Yeye kaenda na koti la Suti la Pink na simu Kubwa Kama Bomu , Halafu anakaribiana na Adui almost Zero Distance.

Mnaomsifia Shame on You
Hizo chuki zako binafsi,hazituusu
 
Tutakuja kujua nini thamani ya amani tuliyo nayo ... Mabavu ya watu wachache yataharibu mema yote yalio jengwa miaka 50 iliopita..
 
huyo jamaa amenikera sana unaweza ukanunua kesi ukiwa karibu unamtishia Mtu bunduki Bongo ili iweje sasa..
 
Harmorap nasikia mpak mda hajulikani aliko daa hahahaa yaan nikikumbuka mpak nacheka hvi ingefyatuliwa risasi pale Harmorapa angejikuta yupo mtwara bila kujua kafikaje
 
Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Mke mwenzie janet?! Haaa, yamekuwa hayo! Haya buana. Lakini mbona mke mkubwa hana ki-front front?
 
Ngoja niwepe mwanga kidogo ivi maulidkitenge alienda kumkingia nape kifua yye kama nan kajiamini nni

na alipo kuwa anamsukuma yule usalama je akujua kam ni usalama na kama akujua kwanni usalama aliskiliza agizo la kitenge badala la mkuu aliemtuma

Maneno yakitenge kwamba unaharibu anahalibu nni kayatoa wap

majizo kaka jua kitenge anakupeleleza uyo ni usalama kuwa makin

Na yule usalama mbna alipo zuiwa na kitenge akapotea inamana kitenge anasauti kubwä yakumfanya ache alichotumwa au alimuoogopa kitenge sio kweli
Kwahiyo Majizo akuamini wewe kuliko kitenge?
 
Nampa Hongera Kitenge kama aliweza kumwondoa yule mchumia tumbo na kabastola kake.
 
Alimwambia nanukuu UNAHAARIBU UNAHARIBU BHANA,alafu jamaa kaishiwa nguv kbx,nazan alikua anamkumbusha maadil ya kaz
 
mwandishi katetea(kitenge), msanii kala kona(hamorapa)
Mmmakonde yule kazoea mishale sio chuma....ana mbio, inasemekana hata ingefyatuliwa risasi isingempata kwa mwendo aliochomoka nao.
 
Kwangu kafanya Kosa Kubwa Sana na la Hatari kwake .
Unapokwenda Kuoka Tukio la Mtu anayefanyiwa Attack kwa Kutumia Silaha ya Moto ..nilazima uwe Umejiandaa na Silaha Mfanano wa adui anayoitumia , iki pakitokea mazungira ya Matumizi basi uweze kujihami .

Yeye kaenda na koti la Suti la Pink na simu Kubwa Kama Bomu , Halafu anakaribiana na Adui almost Zero Distance.

Mnaomsifia Shame on You
unaweza kukabiliana namwenye silaha bila silaha..na waweza kumpokonya hata silaha yake na ukammaliza nayo vilevile...
 
Back
Top Bottom