Hongera Maulid Kitenge

Hongera Maulid Kitenge

Kithenge ni Form Four Failure, mwambieni Aoneshe Cheti. Div 4 Point karibu na 30

Hana Busara ila amekaa kimbea mbea flan tu, kipindi cha Muhdin Ndoranga FAT ya wakati huo sasa TFF alizabwa vibao, huwa hajatulia.

Napie nae ni walewale, nae Form Four Failure, mwambieni atoe cheti muone. Hana Tofauti hiyo wa juu.
Kwa hiyo ni kundi linalitafuta fursa ktk maeneo yasyo na technical skills za maana.

Sijawahi kumkubali zaidi kuona ni mpiga Zumari aliyekuwa anasaka Tonge.

Alipewa Jimbo la Mtam ili Memba achukue nchi, lakini equation iligoma kubalance pale Dodoma.

Tantalila zilipozidi JPM alimtoa ktk misafara yake ya kampeni.

Tunajua, huyu ni kimeo
 
Ngoja niwepe mwanga kidogo ivi maulidkitenge alienda kumkingia nape kifua yye kama nan kajiamini nni

na alipo kuwa anamsukuma yule usalama je akujua kam ni usalama na kama akujua kwanni usalama aliskiliza agizo la kitenge badala la mkuu aliemtuma

Maneno yakitenge kwamba unaharibu anahalibu nni kayatoa wap

majizo kaka jua kitenge anakupeleleza uyo ni usalama kuwa makin

Na yule usalama mbna alipo zuiwa na kitenge akapotea inamana kitenge anasauti kubwä yakumfanya ache alichotumwa au alimuoogopa kitenge sio kweli
Usalama wapo kila mahali kwenye taasisi.Sasa kulikua na haja ya kutoa Bastola?
Kuna mambo ya kustaajabisha kabisa,hop mtoa pisto amekua akiwaza alichokifanya
 
Ila huyo anaitwa usalama ni boya sana kwa scenario ka hiyo unataka umfanye mtu afanye unachotaka kama hana silaha huwez kupiga hatua za kurudi nyuma afu unatoa silaha kama bastola...hapo unamsogelea anayemtaka atii amri afu unamgusisha sila zero contact kwenye mwili wake bila hata public kujua ka mtu ameshikiwa bastola afu unamwambia kwa saut ya chini rudi kwenye gari... sasa si upumbavu huu wa kurudi hatua mita mia na kuonyesha bastola cjui wamejifunza wapi ndo maana hata bongo movie hivi hivi
 
Kithenge ni Form Four Failure, mwambieni Aoneshe Cheti. Div 4 Point karibu na 30

Hana Busara ila amekaa kimbea mbea flan tu, kipindi cha Muhdin Ndoranga FAT ya wakati huo sasa TFF alizabwa vibao, huwa hajatulia.

Napie nae ni walewale, nae Form Four Failure, mwambieni atoe cheti muone. Hana Tofauti hiyo wa juu.
Kwa hiyo ni kundi linalitafuta fursa ktk maeneo yasyo na technical skills za maana.

Sijawahi kumkubali zaidi kuona ni mpiga Zumari aliyekuwa anasaka Tonge.

Alipewa Jimbo la Mtam ili Memba achukue nchi, lakini equation iligoma kubalance pale Dodoma.

Tantalila zilipozidi JPM alimtoa ktk misafara yake ya kampeni.

Tunajua, huyu ni kimeo
Bashite ni Degree holder mwenye upeo wa hali ya juu kama Boss wake wa ngazi za juu ndo maana unawakubali au sio?
 
hahaahah kwa kuwa kazi zao wanafanya kwa siri basi tumejenga picha ni watu wenye akili za hali ya juu, kumbe ukiwaleta hadharani ni ma bashite sana. amini mkuu ndo hao vilaza
Wenye akili walikuwepo enzi za mwalimu, siku hizi wanapeana nafasi kidugu hasa wamu ya nne imeingiza mabashite wengi wasio na vigezo
 
Ngoja niendelee kuunganisha dot ntamjua tuu huyu kitenge ..hili ni tukio la pili namshuhudia akiwa katika shughuli hizi za kusema utaharibu mambo..lakini kwa maneno mengine ...Ingawa kama nini majibu yangu mfukoni tayari ivi
kisaikolojia aliongea hivyo..."Utaaribu Mambo"ili yule mwenye kapelo ajue ni mwenzao ili aogope...Janja janja nyingi Kitenge
 
Mbona maulid kama wanajuana na uyo jamaa maana jamaa alitii amri kutoka kwa kitenge na wala askari wazembe wote walitii amri
 
Ninachojiuliza ni kwanini wale watu wa usalama hawakumfanya chochote kitenge na walikua wa 3 lakini waliufyata
 
Muda wa kuzalisha huu.
Tuache maneno tukapige kazi
 
Mambo yakusema uyo alietoa silaha ni usalama ni uongo akuna kitu kma icho uyo sio usalama akuna usalama pumbavu kma uyo usalama wanatumia akiri na nguvu inakuja baada yaa
Ujinga ni tabia halisi kama sio askari ni nani sasa basi achukuliwe hatua maana alicho fanya ni kosa kubwa, achen utetezi wa kipumbavu wajinga nyie
 
Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na Mke Mwenzie Janet aliefoji vyeti na majina
Mzee umemaliza
 
Hata sikumbuki mara ya mwisho kudownload movies ni lini. Reality show za namna hii zinanitosha sana.
 
Back
Top Bottom