Ndiyo maana jamaa aka cool! Duh! Hawa wakikuweka kwenye 18 yao ni bye bye walahi!Kwani kuna mtu asiyejua kwamba kitenge ni usalama. Yule yupo katika ivi vyombo vya habari kwa kazi maalum. Jezi nambari 9 mgongoni Maulidi mbaraka wa kitenge
Siku ya leo kumetokea tukio la kustaajabisha ktk tasnia ya siasa nchini tanzania. Tukio hilo limetokea dar es salaam wakati aliyekuwa waziri wa michezo na tamaduni Nape nauye akitaka kuongea na waandishi wa habari baada ya kuondolewa katika nafasi yake ya uwaziri. Nape ameondelewa leo hii katika nafasi yake baada ya mh rais kufanya marekebisho madogo katika wizara mbili.
Baada ya mh Nape kuwasili maeneo ya Pritoria hotel kulitokea tafrani baada ya watu walitambuliwa kuwa ni maafisa usalama kumzuia asiongee na waandishi na kumtaka arudi ndani ya gari. Wakati sakata hilo likitokea mmoja wa maafisa usalama alitoa bastola na kumtishia Mh Nape ambaye naye hakustuka . Afisa huyo aliirudisha silaha hiyo kiunoni kisha kuanza kumsukuma Mh nape kumrudisha ndani ya gari. Pasipo kutarajiwa kijana mmoja mtanashati aliyevaa koti jekundu alionekana kujongea kujua kinachoendelea baada ya kuona tafrani ikitokea.
Kijana huyo aliweza kutambuliwa kuwa ni mtangazaji maarufu Maulid Kitenge. Kijana huyoo aliweza kuingilia kati na kumtoa afisa usalama kwa nguvu eneo la tukio huku akimsukuma bila kuogopa. Hakika alifanikiwa akamuondoa eneo hilo na afisa huyo alitii bila shurti. Wengi tumeona na kustaajabu na hatuna budi kumpa hongera maulidi kitenge kwa ujasiri aliouonesha.
ILA
Nimejaribu kujiuliza kwa hali ya kawaida kuna raia wa kawaida anaweza kuwa na ujasiri wa namna hiyoo. Nikapata jibu inawezekana na yeye ni wale watu wanaovaa suti nyeusi(mashushu).mpaka sasa bado sijapata jibu sahihi .
Waungwana ninyi mnaonaje nawasilishaView attachment 485865View attachment 485866View attachment 485867View attachment 485868
Mhhhh......Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na aliefoji vyeti na majina

hata nape ameyatumia msikilize vzr je naye ni mmoja wao.Aya maneno kama wanajuana ivi...unaharibu mambo bwanaaa
AkiriMambo yakusema uyo alietoa silaha ni usalama ni uongo akuna kitu kma icho uyo sio usalama akuna usalama pumbavu kma uyo usalama wanatumia akiri na nguvu inakuja baada yaa

Hapana wala c muhuni ila kuna watu huwa wakichoka husema liwalo na liwe kama kufa wacha na iwe ikifikia hapo ni hatari sana na ndiko tunakoelekea.Kitenge ni Muhuni wa Alharamain Secondary School , usikute alishapasha cha Shaurimoyo kabla ya kwenda kwny press conference halafu Ana hasira sana na aliefoji vyeti na majina
maulid ni mtoto wa mjini anajua namna ya kutuliza boli, kitenge alichofanya ni kumsukumiza jamaa hadi kwenye gari la rpc jamaa kugeuka kamwona boss ikabidi awe mpoleMaulidi ni wakumwangalia jicho la5 nasikia anamwambia uyu usalama wa taifa uchwara utaaribu mambo uku anamsukuma na yy kawa mdogo kweli uyu jamaaa mmmm yaweza kuwa nae ni ......
Narudia tena kuna hatua kifikia mtu amechoka kuonewa au ameona mtu anaonewa roho ya huruma humwijia na akawa tayari kukubali lolote liwalo na liwe hapo roho hujaa sumu mbaya ya kuyakubali mauti na ndipo shida huanzia hapo akili ya uoga hupotea na ndipo yanapotokeza hayo ya kina maulid kitenge na kwa ss tunakoelekea kutokana na sheria zinavyovurugwa tusubiri lkn iko siku tutatafuta aman na hatutaipaKama Yule Jamaa wa bastora ni usalama basi tunataizo kubwa mahari
Usalama anataka kuua mbele ya waandishi wa habari.
Aliyewatuma kawadanganya nchi inatawaliwa kijeshi?
Jamaani mnaoongoza nchi wananchi Hatutaki Madhaifu mnayotuonesha wazi.
Nape tu mnatumia bastora, akija Al shabab mtaita vifaru?
Shame kwa aliye mfunza
Haha; hashtag uchwaraMazoezi ya Efm jogging club yao yanamdanganya dogo na kuna siku atakuja kukutana na wenyewe wenyewe wa kweli hicho Kibwenzi chake kitaoteshwa Ulimini.
Ha ha ha ha ha ha ha haaaah, mjomba, mbele ya bereta lazima uingie ndichi tuHapo Maulid nilimkubali kishenz yaan, jamaa hakuwa mwoga kabsa.
Ila mdogo wangu Harmo rapper alilula kona ni hatari. Alipata kiboko yake pale