Hongera Maulid Kitenge

Hongera Maulid Kitenge

Me nasema iv izi bastola walivyo ziacha acha njee maana namuona na uyu mwenye shati nyeupe nae bastola inachungulia kiunoni je angetokea mtu mwenye akili ndogo akawachomolea pale nakuanza kufyatua ovyo ingekuwaje
Yaani kama hawa ni wana usalama wamefanya makosa mengi sana Leo na ni wana usalama uchwara over
Hata mimi nimeshangaa sana wanausalama gani silaha zimekaa kama bongo movie wako location kiasi kwamba akitokea mtu aliyejichokea anamalizana nao hapo hapo
 
Hayo maneno ya unaharibu kitenge kachukua kwa nape ndo aloanza kusema hivyo pia yule usalama alitegemea akitoa bastola nape Atakimbi so ambavyo hakukimbia jamaa kakosa nguvu + kutokujiamini maana ukitoa Silaha ukamtishia mtu halafu asiogope Ukairudish lazma upoe ni sawa na kushuka mlima ukaanza na gia namba tano ukaona kama gari haikimbii ukaweka moja et lishuke mlima kwa speed lazm gar iwe nzito speed ndogo..

So jamaa kaja na speed kubwa alivoona watu hawaogop zaid ya harmorapa akapoa ndo maana Maulidi mtoto wa kihuni kamchimba mkwara jamaa kapoa afu huenda jamaa ni shabiki mzr wa maulid so Kumuona akajisahau kazi akaleta za ushabiki yaan km ukiwa unapigana afu diamond ghafla anatokea anaanza kukwambia cool down bro acha ugomvi lazm upoe.

Pia Maulid naamn sio usalama maana huwez msukuma workmate wako mbele ya hadhara wao hupeana signal na ukikosea wanaenda kukosoana ofisini hawawez gombana on the mission.

All on all EFM imepata heshima km mm ndo ningekua boss wake namuongezea posho.
Kwa hili Maulid apewe tuzo ya mwanahabar bora wa mwaka katetea maslahi ya wanahabari pia kaonesha ujasiri.
 
Ngoja niendelee kuunganisha dot ntamjua tuu huyu kitenge ..hili ni tukio la pili namshuhudia akiwa katika shughuli hizi za kusema utaharibu mambo..lakini kwa maneno mengine ...Ingawa kama nini majibu yangu mfukoni tayari ivi
mkuu hiyo signature,duh!!!!
 
Kwangu kafanya Kosa Kubwa Sana na la Hatari kwake .
Unapokwenda Kuoka Tukio la Mtu anayefanyiwa Attack kwa Kutumia Silaha ya Moto ..nilazima uwe Umejiandaa na Silaha Mfanano wa adui anayoitumia , iki pakitokea mazungira ya Matumizi basi uweze kujihami .

Yeye kaenda na koti la Suti la Pink na simu Kubwa Kama Bomu , Halafu anakaribiana na Adui almost Zero Distance.

Mnaomsifia Shame on You
 
Ilaa ki2 ambachoo nashndwa kuelewa hili jeshii la polisi linatumika vipi kwa kawaida polisi lazima aonyeshe kitambulisho sasa nilichoshangaa jamaa kachomoa silaha yakee iyoo iko vipii wadau ?????
 
Mambo yakusema uyo alietoa silaha ni usalama ni uongo akuna kitu kma icho uyo sio usalama akuna usalama pumbavu kma uyo usalama wanatumia akiri na nguvu inakuja baada yaa
mambulula wapo kila idara alitaka kujionyesha ni nani akasahau media walikuwa wanarecord mwanzo mwisho usalama wenzie hata pisto hazijaonekana boya limetoa fasta
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Vyovyote iwavyo....tukio lilijaa uhuni mwingi kuliko professionalism,atleast kitenge alionyesha utofauti..hongera mshambuliaji nambari kenda mgongoni!
 
Ngoja niendelee kuunganisha dot ntamjua tuu huyu kitenge ..hili ni tukio la pili namshuhudia akiwa katika shughuli hizi za kusema utaharibu mambo..lakini kwa maneno mengine ...Ingawa kama nini majibu yangu mfukoni tayari ivi
Tukio lingine ni lipi?
 
Usalama bongoooo??!! Nenda zako hukooo!

Mbona Usalama wenye gwanda zao kabisa zile Mpauko walivamia Clouds lakin Hakuna aliekumbuka kuomba clip ya CCTV camera na kufuta sehemu ya Uvamizi iliyoonekana?
Kama naliona hv tukio ingekua mbele whole cctv system inakua hacked jamaa wanapiga tukio wakimaliza hawaachi ushahd hata wa finger prints ila blaza bashite anafungua tu milango with bare hands.

We have problem with our nation security team.. these guys are not smart maana hakuna nchi isiyofanya mambo mabaya kwa lengo la kulinda maslahi ya serikal ila mwisho huwa ni vigumu kujua kama ni home job au ni tukio la kihalifu.

Kama hawa wa leo mibastola inaonekana kwenye nguo kama vile bongo jambazi la bongo movie afu wanamzuia mtu asiongee na media kwa kumtishia bastola while wangeweza hata kufake tukio la wizi bank ya karibu kwenye saa sita hv afu polisi wanaenea mji mzm barabara zinafungwa angeendaje kule thn jion anaitwa kuombwa anyamaze au aseme content anazotaka kusema ili wajue.

Kama wangejua Ataonge haya aloyasema wangemlipia hata serena hotel akafanyie press ila walikurupuka wakajua atatoa siri za nchi anazozijua na atajiunga upinzani.

All in all wananchi tumejua jinsi tulivyochagua mkuu mwenye maamuz ya hasira na tumebahatika kujua udhaifu wa usalama kupitia uvamizi wa clouds na jambaz lililovua viatu nje likaingia peku ndan kwenye bongo movie.

Naona aibu kusema nilimpenda sana mkuu japo sikubahatka kupiga kura ila ilibak kidogo nitoke dar kwenda mwanza kupiga kura ila nikakosa nafasi ningeenda saiz ningejutia kura yangu
 
Huenda jamaa alichanganyikiwa badala atoe kitambulisho katoa mguu wa kuku .hahahhahahaaaaaaa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ngoja niwepe mwanga kidogo ivi maulidkitenge alienda kumkingia nape kifua yye kama nan kajiamini nni

na alipo kuwa anamsukuma yule usalama je akujua kam ni usalama na kama akujua kwanni usalama aliskiliza agizo la kitenge badala la mkuu aliemtuma

Maneno yakitenge kwamba unaharibu anahalibu nni kayatoa wap

majizo kaka jua kitenge anakupeleleza uyo ni usalama kuwa makin

Na yule usalama mbna alipo zuiwa na kitenge akapotea inamana kitenge anasauti kubwä yakumfanya ache alichotumwa au alimuoogopa kitenge sio kweli
 
jamaa na mikwara ya bastola ila kalitoa mbio na likaufyata. hili bwana linajifahamu halina uwezo ndo maana silaha kwake ni kimbilio la kwanza jinga sana
Kinga ni bora kuliko tiba, usalama alikuwa sahihi kutoa silaha bila kuitumia ili kupunguza uwezekano na ulazima wa kuitumia. watu wakijuu kuwa kuna silaha wanabadilisha tabia.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yaani maulid angekuwa afisa usalama angepandishwa cheo suala sio nguvu ushawishi tu. Ndio maana proceedure za polisi zipo wazi anajitambulisha anakueleza kosa anakuomba muelekee kituoni.

Ukikataa bado harusiwi kutumia nguvu na ikibidi kutumia nguvu sio kutoa au kutumia silaha.
Na kama ukitumia force bas it has to be reasonable force
 
Kinga ni bora kuliko tiba, usalama alikuwa sahihi kutoa silaha bila kuitumia ili kupunguza uwezekano na ulazima wa kuitumia. watu wakijuu kuwa kuna silaha wanabadilisha tabia.
mbona alifeli, alifanikiwa mkimbiza hammorapa tu ila nape hakutetemeka wala kubadili mawazo yake.tabia wanabadiri waoga kama hammorapa.
 
Hamorapa bwana..ngoja niburudike mie nilale maana mambo ya bashite magumu
IMG_0017.JPG
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom