wapigaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jumanne Mwita

    Kumekuwepo na promotion inayoitwa UNICEF FOUNDATION hawa siyo wezi mtandao kweli?

    Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli? Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na kujimwambafai kwamba wamesaidiwa na hili shirika. Mimi utafiti wangu wa mchongo ikabidi nifanye kujiridhisha...
  2. Swahili AI

    Wataalamu wengi wa manunuzi na ugavi ni wezi na wapigaji. Nipingeni kwa hoja

    Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni. Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
  3. Mwande na Mndewa

    Hongera Mama Samia kwa kuvunja genge la Wapigaji, Maharagwe ya January na chemba ya Yakobo

    Iko hivi miradi yote ya upigaji ya Tanesico alikuwa anaifanya Maharagwe na January Kipara,mikataba hiyo ilikuwa inasainiwa kwenye chemba ya Bwana Yakobo,huyu Yakobo ni rafiki sana wa Mzee Kinena,mambo yake mengi ya kisheria yanafanywa kwenye chemba ya Bwana Yakubo, Kwa mara nyingine Mama...
  4. kmbwembwe

    Kila dalili zinaonesha Bwawa la Nyerere kuhujumiwa na wapigaji ili kupata kile wangekosa chini ya Hayati Magufuli

    Kuchelewa kufunguliwa mradi wa bwawa la Nyerere kwa hali yoyote ni njama ya wale ambao mradi kama huo ungewaingizia binafsi mabilioni kwa upigaji au wataathirika upigaji wao kwa mradi mkubwa wa hydro kuzalisha umeme megawati 2000 na zaidi. Kuna maajenti wa mabeberu wa kigeni wako tayari kwa...
  5. BARD AI

    Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
  6. Kamanda Asiyechoka

    Wazalendo Kama Dk Slaa wakitoweka taifa letu litaibiwa kama shamba la bibi. Leo wapo wapigaji wanalazimisha na kuwaona Watanzania Mapopoma

    Nani asiyependa uwekezaji wenye tija manufaa kwa taifa lake? Nikiwahi kuandika humu. Sisi kama Taifa hatuwezi kununua cranes za kisasa kuweza kushusha mizigo kwa wakati na kuongeza ufanisi wa bandari yetu? Kwa nini iwe ni Dp world na Mkataba usiofaa hata kununulia gari bovu? Taifa hili...
  7. Magufuli 05

    TASAF inasaidia nini? Hili ni chaka la wapigaji

    Nionavyo Mimi, Kweli mpango ulikuwa ni mzuri kusaidia kaya masikini. Lakini kwa Hali inavyoendelea kama kuna pesa zimeliwa nchi hii basi ni hizi za TASAF. Zimeliwa kweli. Lakini hapa unamsaidiaje mwananchi kwa kumpa elfu hamsini? Hapa ni kutumia umaskini na ukosefu wa elimu ya mtu kama fursa...
  8. badison

    Naomba kupewa majina ya wapigaji Invoice kutoka USD 37 milioni mpaka USD 86 milioni

    Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo? Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri wa Fedha pamoja na baadhi ya maofisa wa Ikulu...
  9. S

    Mwigulu asiangushiwe zigo. Hata mwenye nchi "anawagwaya" hao wapigaji

    Neno "kugwaya" lina maana sawa kabisa na neno "kuufyata". Neno hili asili yake ni mkoa wa Kigoma. Mama alipoingia tu ikulu akapewa taarifa za upigaji wa mabilioni ya shilingi pale BoT akaunde tume ya uchunguzi ikampa ripoti. .....mama kimya. Ripoti ya CAG ya kwanza ktk utawala wa mama...
  10. Michael Uledi

    Inasemekana Rais kajifungia usiku mzima akichekecha wapigaji. Tutarajie mkeka wakati wowote kuanzia leo

    Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?" Kwa mara ya kwanza tangu nimjue Mama jana ndio katamka maneno magumu ever"Pumbavu".Kwa mara ya kwanza bold kabisa...
  11. M

    Hawa maproducer wote wapigaji

    Kwaanzia Majani, Said Commorien, De Opera, master jay. Wote wapigaji tuu. Wamelostisha wengi sana. Master jay arudi tu uingereza kuchuma matunda. Historia itaendelea kuwahukumu.
  12. Hemedy Jr Junior

    Waajiriwa wengi ni wapigaji

    Ukweli usemwe. Kila ninachosema nina ushaidi nacho kwenye familia kuna watu wamejiajiri na wengine wameajiriwa. Siku nikamcheki aliyeajiriwa ili anikopeshe kiasi fulani akaanza kunambia mambo magumu labda ngoja mwisho wa mwezi sema na hapo mademu mengi. Dukani wananidai kama 100k kwa daah...
  13. Mwananchi Huru

    Shaka: Sasa wapigaji wote uwe CCM au Mpinzani siku zenu zinahesabika kwa vidole

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema kutokana na kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ni pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi. Shaka amesema hayo leo Oktoba 15, 2022 katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na...
  14. MURUSI

    Kama Jeshi la Polisi ni la wapigaji ni vipi linaweza kulinda raia na mali zao?

    Kwenye hotuba ya Mama lao Pale Mosjo anaonekana kulalmikia Jeshi la police hasa kwenye upigaji wa pesa, inavyo elekea wanapiga sana pesa za umma, na hizo ndio hizo hizo tozo tunazo tozwa. Hio moja je Mama ana fikiria Pilice hao wanaweza vipi sasa kulinda Raia na Mali zao? Je, wanaweza saidia...
Back
Top Bottom