kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,992
- 17,892
Hili ni pigo kwa January na Genge lake, juhudi za kufifisha mradi wa Bwawa la Nyerere zilifeli
Hii ndo faida ya makamba kuondolewa Tanesco bila hivyo hilo bwawa lisingekamilika,katoka tu bwawa linaenda kuwashwa February 2024!!
Kina Nape hawa hawa ndo walikua wanatengeneza uvumi kuwa eti tumekata miti milioni 3!! Yaani watu hata mishipa ya aibu hawana wanafikiri maendeleo yanakujaga hivi hivi tu bila kujisacrifice kama taifa
Marekani wana hydroelectric,China wanazo tena zinatoa mamilioni ya megawatts halafu mjinga mmoja kwa kupewa pesa na wahuni wa solar,upepo na mafuta wanaleta mchezo wa kulihujumu bwawa?
Nilikua sikubaliani na Magufuli katika mengi lakini hili la bwawa nilisimama nae hadi kesho historia itaandikwa kwa wino wa dhahabu kuwa hakuna kiongozi aliyekua na uthubutu kwenye nishati kama magufuli
Sasa January na Maharage limewashuka shuu bila hata haya walikua wanauhujumu huu mradi ili tu wamkomoe magufuli, yaani kuna watu ni wajinga sana, wanaona wakimaliza huu mradi basi sifa zote zitaenda kwa hayati, kwahiyo ni bora uchelechelewe ila sifa ziende kwa mama.
Hamna kitu hao wahuni wataweza kunambia kuhusu bwawa la Nyerere na uzalendo!! Yako wapi hayo mauchafu yao ya Solar na upepo?
Wahuni ni watu wa hovyo sana,ningekua rais wangepigwa risasi mchana kweupe sichekeagi ujinga mimi!!