Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,082
- 4,260
Nakubalina na wewe DA,
Eti mapenzi ni kitu cha kumgandisha mtu kwa mwingine? Labda kwa sababu mie ni mwanamume, tena yule wa 1947!!
Labda nimwombe mzee mwenzangu Asprin aje anisaidie kueleza vizuri. Hivi pale tunapotamani kufunua funua sketi na kufuli au kufanya ukaguzi kwa kila mtu kama ule wa week ya nenda kwa usalama, huwa tuna mapenzi kweli??
Kwa perspective ya mwanamume, naelewa jinsi ninavyompenda Bibi DC na ambavyo nisingependa ateseke kwa lolote au aumie kwa sababu ya matendo yangu....Ila kama ni mapenzi, tunafanya kwa sababu mie nina upendo kwake...May be naye ana kachembe ka upendo. Otherwise.....sijui mapenzi yanayoongelewa na MwanajamiiOne!!
Mzee DC (Ulikataa jina la Babu wakati wa Babu wa Loliondo) Haya mapenzi anayozungumzia MJ1 hapa naona ni kujiumiza hivi kweli kwa zama hizi kuna mtu anampenda mwenzie kwa dhati hilo halipoooooooooo!!!! Kataa ukubali huo ndo ukweli...
MJ1 anazungumzia kuumizwa (I guess) maana yaweza kuwa kampenda mtu kwa dhati na jamaa kaonyesha mapenzi kweli kweli akaja kumtenda sio kuambiwa live.....roho imemuuma zaidi.......................Mie siku hizi kiukweli sina mapenzi nina upendo tuu tena roho yangu na ubongo wangu havishirikiani kabisa kukomaa kwa mtu na kuona ananipenda HAKUNA MAPENZI SIKU HIZI BANA