Mdogo wangu FP,
Wanaume na wanawake ni viumbe tofauti kabisa kama siafu na kumbi kumbi....Ndo maana mtu anayecheat na hana heshima kwa mke wake, anaweza kufanya vituko hadi kila mtu akamshangaa...Mfano, kutembea na kila kiumbe cha kike, kutojali mahali alipo na aina ya mtu anayetembea naye...na hata kufikia kuleta mizoga home...
Anachoongea mzee mwenzangu
Asprin (The King wa Ma-Babu wote wa MMU), ndicho kile kilichoko kwenye ule msahafu wa
The Boss....Mtu anahakikisha hata sisimizi hamuoni au kusikikia kama kachepuka!!
Umeeelewa??
Nashukuru sana kwamba umesema wewe NK...na ukizingatia kuwa wewe ni SHE!
Tungesema sie tungetolewa macho....
Hivi tusemeje ili watu watuelewe.....Sex siyo mapenzi ingawa mapenzi yanaweza kujumuisha sex, na mapenzi siyo upendo!!
Nikikosa upendo nitakonda sana ila nikipata upendo naweza kuishi bila mapenzi as longer as mara moja maja nakata kiu kwa delicious dinner!! Na hapa msiniulize mpishi ni nani!
Babu DC!!