Honestly, Isnt it Possible?? (Je ni Kweli haiwezekani kabisa??)

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Kweli haiwezekani??

Kuishi bila mapenzi (Kwa maana halisi ya mapenzi)?
Ni kweli kuwa tunaishi katika nyakati ambazo maana halisi ya neno mapenzi imepotea au inachukuliwa kirahisi sana (Q-Chilla aliimba " Kwani neno nakupenda, limekuwa kama salamu, maana hata hata watoto wadogo sasa naona wanapendana......." Lakini pamoja na kulitambua hilo (Kwa wale ambao tunatendwa, na kutendwa na kutendwa tena, kuna haja ya kuendelea kusimamia katika hii imani??

I am not a professional in this field. I am just a person who loves love and all that it offers towards me ni maumivu.

Am just asking
Haiwezekani kuishi bila mahusiano ya kimapenzi?
Kama haiwezekani ni kwa nini?

Ninawaza kwa sauti tu wapendwa.........................
 
mi nayapenda mapenzi
napenda kupenda
napenda kupendwa
napenda kufurahia mapenzi
mapenzi huniliza mapenzi hunipa furaha
so nakuleewa sana unavyowaza kwa sauti,lakini usiumie maana si wote huwa wanaamini katika mapenzi na pengine ndo hao unnakutana nao,bado unastahili kupendwa na kupenda
bado uanstahili kuamini na kuaminiwa
umeanguka katika penzi hili,simama jipanguse,tizama mbele ukiendelea kuyafurahia maisha kuna siku moja love,actually true and real love will come!na wala huna haja ya kusimama kituoni na kulingoja endelea na maisha,mapenzi yatakufuata na yakikufuata usiyape nafasi maumivu yako ya nyuma kukufanya usifuarahie utakachokipata baadae!
 
Sometimes kuwa busy sana looking for it
ndo tunapokosea.....usually utalipata when unapokuwa hauko that desperate ..looking....
 
Mi niko interested na muda uliorusha hii sredi. Hakuna msukumo wa kimiminika umehusika hapa? Anyway: jibu la fasta, kuna uwezekano kwa kuwa kupenda si lazima.

Babu Bwana mbona mapema?? Watu bado wako viti virefu aisee, bado mapema ati so muda usikutishe

Nimelipenda jibu lako la mwisho!
 
mi nayapenda mapenzi
napenda kupenda
napenda kupendwa
napenda kufurahia mapenzi
mapenzi huniliza mapenzi hunipa furaha
so nakuleewa sana unavyowaza kwa sauti,lakini usiumie maana si wote huwa wanaamini katika mapenzi na pengine ndo hao unnakutana nao,bado unastahili kupendwa na kupenda
bado uanstahili kuamini na kuaminiwa
umeanguka katika penzi hili,simama jipanguse,tizama mbele ukiendelea kuyafurahia maisha kuna siku moja love,actually true and real love will come!na wala huna haja ya kusimama kituoni na kulingoja endelea na maisha,mapenzi yatakufuata na yakikufuata usiyape nafasi maumivu yako ya nyuma kukufanya usifuarahie utakachokipata baadae!

Aksante aisee hii post yako imenitoa machozi!! nashukuru kwa kutupa moyo wale wote tulioangukia mikononi mwa modomo ya Mbwa mwitu maharamia wa mapenzi, ingawa ni ngumu kuamini tena katika hilo.!
 
huna sababu ya kulia mwaya!
-jipende sana,maana naamini pia katika kujipenda kunaleta mapenzi upande uliopo
-usijilaumu katika mahusiano yaliyokuumiza,
-jitambue upekee/umalum wako upo ndani yako si ndani ya mtu mwingine
-kubali kuwa bado mapenzi ya dhati na wanaopenda kwa dhati wapo
-pokea upendo kutoka kwa marafki,ndugu na jirani (cases say watu wengi wanapofail kwenye mapenzi hawakubali upendo kutoka kwa wengine(marafiki,ndg,amjirani,coworkers)kataa hiyo kwani kupitia kwao ndo utagain tena trust automatically
-jifunze kwa waliofanikiwa kwenye mapenzi.
 
Sometimes kuwa busy sana looking for it
ndo tunapokosea.....usually utalipata when unapokuwa hauko that desperate ..looking....

Well for some us love just dont love us...nimejaribu hiyo trick ya kuli ignore but its like i'm pushing it further away, i mean come on The Boss what do u want a girl to do? Do you knw how hard and cold it is to sleep, cry, eat, shower alone? How can one not be desperate?
 
Last edited by a moderator:

Pole sana
itabidi huu ujumbe wako niutafakari kwa kweli....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom