Honestly, Isnt it Possible?? (Je ni Kweli haiwezekani kabisa??)

MwanajamiiOne, let me start by saying we need to eat and drink in order to stay alive. Without liquid to drink/food to eat we just come to an end. But in order to live in any real sense of the word, we also need love. Life without love is a subhuman kind of existence. There is a built-in need in us to receive love. We need the love of our parents. We need the love of family and friends. We need to be part of a loving community. But just as much as we need to receive love, we also need to give love. We are not truly human if we cannot love.

But let`s be clear; True love does not begin with us. The capacity for the love is created in us by our creator. God`s love always precedes our love. Whatever else we say about love, this point is crucial.....!!

True love is not an impulse, but a divine principle, a permanent power. The unconsecrated heart cannot originate or produce it. Only in the heart where Jesus reigns it is found.`we love Him, because He loved us first`(1John4:19).

The famous British author C.S.Lewis uses the term `Gift-love` and `Need-love` to differentiate between Gods love and human forms of love. While God wants our love more than anything else, He does not need our love in the same way in which we need love from Him and from fellow human beings.`We must begin at the real beginning with love as the Divine energy. This primal love is Gift-love. In God there is no hunger that needs to be filled, only plenteousness that desires to give.

Our human love needs to be transformed by divine love, so that-while we continue to yearn for love from others-we will be able to give love in a truly Christlike manner.
 
huna sababu ya kulia mwaya!
-jipende sana,maana naamini pia katika kujipenda kunaleta mapenzi upande uliopo
-usijilaumu katika mahusiano yaliyokuumiza,
-jitambue upekee/umalum wako upo ndani yako si ndani ya mtu mwingine
-kubali kuwa bado mapenzi ya dhati na wanaopenda kwa dhati wapo
-pokea upendo kutoka kwa marafki,ndugu na jirani (cases say watu wengi wanapofail kwenye mapenzi hawakubali upendo kutoka kwa wengine(marafiki,ndg,amjirani,coworkers)kataa hiyo kwani kupitia kwao ndo utagain tena trust automatically
-jifunze kwa waliofanikiwa kwenye mapenzi.

Nimeipenda hii. Nilishasahau kabisa kitu mapenzi, na siamini km kuna mapenzi, kupendwa au kupenda.
Ila haya majibu yako, km yameniingia moyoni vilee. Ngoja ntafakari.
But inawezekana kabisa kuishi bila mpenzi na kutofikiria kabisa hiyo habari.
 
Inaeezekana kwa muda, namsupport The Boss; when we are not desperately looking is when love comes.

Kama una mtoto au watoto u are not that lonely, at least kuna new purpose of ur living. Lkn ukiwa peke yako ndipo unapokuwa lonely zaidi na desperate!

Kujibu swali la Ngabu, kwangu mimi ni ngumu sana kuinvolve an occasional sex bila kuingiza emotions ndani yake; kufanya hivyo lzm iwe kwa mtu ambaye hana sifa kabisa ninazozihitaji in a man ukiachia uwezo wa kudisa tu!

Back to you MwanajamiiOne, labda tupunguze expectation from relationship huenda ikapunguza hii kitu. Nawatamani sana wale ambao hawapendi 'kihivyoooo'.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa desperate for love lazma utendwe na kutendwa tena! Ni muhimu ukawa precise na kile utakacho maishani. Daring to say I am not afraid to move on. Usikubali mtu asielipa rent moyoni mwako kukutia headache!
Take your time, focus on the good things that life has to offer! Halafu don't chase love, let love chase you. Hakuna starehe kubwa kama stopping chasing and be chased,lol! Be evil!
 
Isn't love a verb? I think we confuse love the feeling and love the verb...I believe love is more to do with actions the lovers do to each other than the issue of being connected because of feelings...
 
Hakuna Mapenzi siku hizi kudanganyana kwiiiingiiiiii Love ni msemo tu kama misemo mingine lakini si watu wanamaanisha mtu anakwambia "I Love you so much DA" akigeuka "I Love you so much MJ1" wapi na wappi..............
MJ1 usitegemee sana vile wewe unavyompenda Asprin (mfano) ndivyo yeye anavyokupenda
 
Nimeipenda hii. Nilishasahau kabisa kitu mapenzi, na siamini km kuna mapenzi, kupendwa au kupenda.
Ila haya majibu yako, km yameniingia moyoni vilee. Ngoja ntafakari.
But inawezekana kabisa kuishi bila mpenzi na kutofikiria kabisa hiyo habari.

Hakuna Mapenzi siku hizi kudanganyana kwiiiingiiiiii Love ni msemo tu kama misemo mingine lakini si watu wanamaanisha mtu anakwambia "I Love you so much DA" akigeuka "I Love you so much MJ1" wapi na wappi..............
MJ1 usitegemee sana vile wewe unavyompenda Asprin (mfano) ndivyo yeye anavyokupenda

Nakubaliana na nyie kabisa,

Sina hakika kama najua hata maana ya mapenzi yanayoongelewa hapa....

Kama hii mada ingekuwa inaongelea upendo ambao unaweza kuwa ule wa binadamu kwa mwenzake halafu ukavuka mipaka kidogo kuelekea kwa watu jinsi mbili tofauti labda ningeelewa!

Haya maigizo mengine huwa siyaelewi kabisa!

Babu DC!!
 
Ahsante sana SW...Kupendwa na kupenda (ukibahatika) raha sana bana asikwambie mtu.

mi nayapenda mapenzi
napenda kupenda
napenda kupendwa
napenda kufurahia mapenzi
mapenzi huniliza mapenzi hunipa furaha
so nakuleewa sana unavyowaza kwa sauti,lakini usiumie maana si wote huwa wanaamini katika mapenzi na pengine ndo hao unnakutana nao,bado unastahili kupendwa na kupenda
bado uanstahili kuamini na kuaminiwa
umeanguka katika penzi hili,simama jipanguse,tizama mbele ukiendelea kuyafurahia maisha kuna siku moja love,actually true and real love will come!na wala huna haja ya kusimama kituoni na kulingoja endelea na maisha,mapenzi yatakufuata na yakikufuata usiyape nafasi maumivu yako ya nyuma kukufanya usifuarahie utakachokipata baadae!
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na nyie kabisa,

Sina hakika kama najua hata maana ya mapenzi yanayoongelewa hapa....

Kama hii mada ingekuwa inaongelea upendo ambao unaweza kuwa ule wa binadamu kwa mwenzake halafu ukavuka mipaka kidogo kuelekea kwa watu jinsi mbili tofauti labda ningeelewa!

Haya maigizo mengine huwa siyaelewi kabisa!

Babu DC!!

Hiyo bluu Mzee DC inahusika sana maana may be iwe hiyo ya kuwa DA na DC ni marafiki tu wa JF hapo nakubali lakini tukishaingia kwenye huo upande wa pili eti DA ni mpenzi wa DC hakuna kupendana ni kumaliziana hamu na kuishia basi fullstop.......................
 
Kwanza nataka nikusahihishe kidogo.Huwezi kuishi bila upendo lakini unaweza kuishi bila mapenzi(mahusiano yanayohusisha ngono).Upendo ni far different na mapenzi.Hata huyo Q Chilla ameonesha upofu wa ufahamu wa tofauti hiyo,there is nothing wrong watoto wakipendana.Upendo ndo unafanya uhai na kila kitu kipo,mapenzi kwa upande mwingine ni mahusiano yanayohusisha ngono,upendo hauna mahusiano na ngono!
 
Ukiwa desperate for love lazma utendwe na kutendwa tena! Ni muhimu ukawa precise na kile utakacho maishani. Daring to say I am not afraid to move on. Usikubali mtu asielipa rent moyoni mwako kukutia headache!
Take your time, focus on the good things that life has to offer! Halafu don't chase love, let love chase you. Hakuna starehe kubwa kama stopping chasing and be chased,lol! Be evil!

Ha,ha,ha,ha,ha,haaaa!Nina dada wa ukweli,ndo maana mahofu ya kumwagwa na Kaunga sina. . . . Lol!I knw my lovely dada will be there for me!But i know Kaunga hatanipiga kibuti,she love me sanaaa. . .Lol!
 
Hiyo bluu Mzee DC inahusika sana maana may be iwe hiyo ya kuwa DA na DC ni marafiki tu wa JF hapo nakubali lakini tukishaingia kwenye huo upande wa pili eti DA ni mpenzi wa DC hakuna kupendana ni kumaliziana hamu na kuishia basi fullstop.......................

Nakubalina na wewe DA,

Eti mapenzi ni kitu cha kumgandisha mtu kwa mwingine? Labda kwa sababu mie ni mwanamume, tena yule wa 1947!!

Labda nimwombe mzee mwenzangu Asprin aje anisaidie kueleza vizuri. Hivi pale tunapotamani kufunua funua sketi na kufuli au kufanya ukaguzi kwa kila mtu kama ule wa week ya nenda kwa usalama, huwa tuna mapenzi kweli??

Kwa perspective ya mwanamume, naelewa jinsi ninavyompenda Bibi DC na ambavyo nisingependa ateseke kwa lolote au aumie kwa sababu ya matendo yangu....Ila kama ni mapenzi, tunafanya kwa sababu mie nina upendo kwake...May be naye ana kachembe ka upendo. Otherwise.....sijui mapenzi yanayoongelewa na MwanajamiiOne!!
 
Last edited by a moderator:
Kwanza nataka nikusahihishe kidogo.Huwezi kuishi bila upendo lakini unaweza kuishi bila mapenzi(mahusiano yanayohusisha ngono).Upendo ni far different na mapenzi.Hata huyo Q Chilla ameonesha upofu wa ufahamu wa tofauti hiyo,there is nothing wrong watoto wakipendana.Upendo ndo unafanya uhai na kila kitu kipo,mapenzi kwa upande mwingine ni mahusiano yanayohusisha ngono,upendo hauna mahusiano na ngono!

Kweli kabisa,

Na kwetu sie wa 1947, tunaamini kwamba ngono unaweza kupata sehemu yoyote...iwe ya vodafasta au pay monthly!!

Babu DC!!
 
Ahsante sana SW...Kupendwa na kupenda (ukibahatika) raha sana bana asikwambie mtu.

wala si utani BAK,ni raha iliyoje maana unajikuta tu mambo yote yanaenda sawa!mi nikiwa sina furaha au amani mapenzini hata hela sijui pa kuitafuta!
 
Last edited by a moderator:
Aksante aisee hii post yako imenitoa machozi!! nashukuru kwa kutupa moyo wale wote tulioangukia mikononi mwa modomo ya Mbwa mwitu maharamia wa mapenzi, ingawa ni ngumu kuamini tena katika hilo.!

Hii post inasikitisha, hasa pale unamuita mwenzi wako haramia. Mimi siamini kama kuna maharamia wa mapenzi hata kidogo. Tuangalia sana vyanzo vinavyoweza kumfanya mtu kuwa haramia, mwizi etc. Wake kwa waume tumeyafanya mapenzi kuwa kama comedy fulani hivi, kitu ambacho kinatupelekea kuwa desperate na kutoaminiana.

Kwa mtazamo wangu, mapenzi ni matamu sana, ila ukiamua kwa hiari yako mwenyewe yanaweza kuwa machungu. Mapenzi siyo ya lazima ila ni muhimu, unaposema siyo lazima uwe na mpenzi au kuwa kwenye penzi nahisi unajinyima haki ya msingi. Tuangalie vitu muhimu vya kukuza penzi, mapungufu yarekebishwe uone kama kutakuwa na haramia wa mapenzi hata mmoja.

Pia tujenge ustaarabu wa kusahau mabaya na kukumbuka mazuri, nafikiri humtendei mtu anayekuelezea upendo wake kwako na kumfananisha na aliyepita kwa ubaya. Forgive and forget. Wanawake tuwaombee waume zetu kwa bidii.
 
Pata kitu roho inapenda, kwa binadamu wa kawaida mwenye afya below 35yrs it is impossible, utaishia kuvimba macho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom