Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,041
- 4,296
Habari gani Wakuu
Ngoja niende kwenye maada yangu. Kuna mdada mmoja hivi wa Graduate wa CBE -Dodoma nilikutana naye rainbow Dodoma so nikawa nimechukua contacts tukawa tunawasiliana. Baada ya kuwa nimemzoea nikamwelezea vile najisikia juu yake, dada akatolea Nje. Nikakubali tukawa tunawasiliana tu ile kama washikaji basi na sikuoja tena nikamuwashia full ...Nikakomaa tu pamoja na kuwa alikuwa akitoa Majibu yakunikatidha Tamaa...Kama unavyojua bhana wenzetu hawa wanahuruma sijui au ndio wanafundishwa kupenda kama ambavyo watu husema....Si akakubali bhana mahusiano yana kama wiki moja tu hapa. Sasa nikiwa kazini nikasikia simu inaita kuangalia ni yeye mwenyewe Debora (Sio jina lake halisi) nikatoka kwenda sehemu, pembeni ili nikaongee naye comfortably.
Tukawa tunaongea basi nikawa nimemwomba tu nikate simu nikafanye kazi za watu maana tulizumza muda mrefu akakubali nikakata simu. Mara zikaanza kuingia meseji za mahaba za kiingereza sasa navyokiona hiki kiingereza kama amekopi mtandaoni na ku pest kwangu. Message zenyewe ni hizi
1. Hello my love,
Every day with you feels like a step closer to forever, and I can’t wait to spend a lifetime by your side. You make me better, stronger, and happier in ways I never imagined. No matter what life throws at us, I promise to always choose you, love you, and stand with you. Thank you for being my person, my peace, and my greatest adventure. I love you endlessly.
💞💞🥰
2. Hello my love, Every day with you feels like a step closer to forever, and I can’t wait to spend a lifetime by your side. You make me better, stronger, and happier in ways I never imagined. No matter what life throws at us. I promise to always choose you, love you, and stand with you. Thank you for being my person, my peace, and my greatest adventure. I love you endlessly. 💞💞🥰
3. I’ve always wished I could tell someone:
“You’re the one I prayed for without even knowing how to put it into words.”
You’re not just someone I love—you’re the safe place I never knew I needed.
Every part of you feels like home, and I still get butterflies when I think about the fact that you’re mine.
You're not just a blessing—you're my miracle.
And I’ll never take that for granted. Ever.
Nikamjibu hivi
"Thank you 😍
May the Lord bless us with a long life of love, happiness and Serenity. Buckle up your belt mama, the ride has just started. "
Akatuma meseji ya mwisho akisema
"Naona network inasumbua meseji zinakawia kukufikia" 😄
Sasa nawaza tu, Hivi hapa kuna mapenzi kweli aunawekwa vozuri kabla kupigwa na kitako cha Bunduki. Maana hawa viumbe mmh sio poa asee au ni woga wangu tu ??😄😄😄😄